Phillipo Bukililo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 18,487
- 13,611
Huyo bilionea aachane na mipango yake aje bongo kuwekeza! Huyo Bill Gates ukimuona bongo jua anafuatilia masuala ya afya ambayo anafaidika nayo.Mbwembwe zip mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo bilionea aachane na mipango yake aje bongo kuwekeza! Huyo Bill Gates ukimuona bongo jua anafuatilia masuala ya afya ambayo anafaidika nayo.Mbwembwe zip mkuu
Mkubwa stay with mavi yakoWhat kind of person you are?
Elon anawaza kupindua meza yaani kufanya vitu unique au vya pekee ili ajijengee heshima
Elon ni mjanja mjanja tu, a napenda kutengeneza hype lakini sio innovator mzuri.Elon hawazi Faida mkuu
Elon anawaza kupindua meza yaani kufanya vitu unique au vya pekee ili ajijengee heshima
Anawaza watu kwenda kwenye mwezi au Sayari ya Mars iwe ni usafiri wa kawaida tu kama unavyotoka Tanzania kwenda Marekani
Ana waza mtu aweze kusafiri kwa kasi zaidi kuliko sasa anavyosafiri kwa ndege
Ana waza ukifumba macho toka Airport Dar ukifumbua ndani ya Dk moja uwe Marekani
Elon anawekeza kwenye Tafiti za kipekee
Wewe huna hayo mavi? unawezaje kumtukana Rais tusi la aina hiyo?Mkubwa stay with mavi yako
What is itching you ????????Wewe huna hayo mavi? unawezaje kumtukana Rais tusi la aina hiyo?
Mi nazani utajili wake umekuja gafla na kikubwa anategemea raslimali za Congo kwenye utengenezaji wa Gari za umeme. Na Congo to tz NI karibu Sana. NI diplomas na ombi tu anatua bongoMkuu, kwani kuwa na pesa nyingi mpaka usijue nini cha kufanyia nayo unaweza kuita ni "Financial Crisis?"
Bongo ni fungu la kukosa mkuu[emoji23]Kweli Bongo bahati mbaya
Kwenye hao wanadiplomasia wa kumshawishi Elon awepo Irene Uwoya na Sanchoka. Nawasilisha hoja.Na atakataa tyuuh, sio ya hadhi yake lol [emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Wajinga sanaWatanzania bana.
mwanadiplomasia nguli Bi SanchokaKwenye hao wanadiplomasia wa kumshawishi Elon awepo Irene Uwoya na Sanchoka. Nawasilisha hoja.
Atakataa tyuu[emoji23][emoji23][emoji23] bongo nyoookoo [emoji41][emoji41][emoji41]mwanadiplomasia nguli Bi SanchokaView attachment 1890129
What a stupid idea!Utajili wa Dangote ni mkubwa Sana kwa Afrika. Kwa uwekezaji wake wa kiwanda kimoja tu Cha cement alifanikiwa Sana kuukuza uchumi na kupúnguza Bei ya cement na kuikuza sekta ya ujenzi Tanzania.
Ila Kuna ili jini la sasaivi tajili lisiloshikika duniani Mtengenezaji wa gari la umeme Tesla na Meneja Mwandamizi wa SpaceX Elon Musk.
NI mtu mwenye interest Sana na uundaji wa vyombo vya usafiri, Vifaa vya umeme Yani betri za magari ya kuchaji na magari hurushwa vyombo vya kwenda Anga za mbali ambaye anawaza kufanya uwekezaji Mars.
Nadhani ni wakati muafaka Rais atumie Wanadipromasia wabobezi wamshawishi badala ya kuwaza kwenda Mars kuwekeza awekeze Tanzania kwenye treni ya umeme, uzalishaji umeme ata wa nyuklia na kuuza Afrika yote. Tanzania ni sehemu salama Sana na ipo karibu na keki ya dunia Kongo mwali aliyegombaniwa na mabeberu tangu na tangu.
Kwa wasiomjua mtu huyu utajili wake akiutumia kwa asilimia 5% tu anajenga reli yote ya umeme Dar to Mwanza mpaka Kigoma standard ya umeme. Utajili wake ni Mara ishirini ya Dangote na anachotafuta Sasa NI kufanya kitu ambacho akuna billionea anaweza au kuwaza kufanya.
Basi kitu icho kiwe NI kuifanya Tz kuwa Marekani mpya. Utajili wake akiuuza wote anaweza kulipa mshahara wa Sasa wa watumishi wa Uma wa Tanzania kwa miaka 60 ndipo zinaisha.
We umejuaje Mkuu upo kwenye bodi ya WakurugenziHapo ndio wazungu wametuzidi akili!! Mnasema mama Samia amlete Elon Musk wakati Elon yupo Bongo siku nyingi!!! Amewekeza kwa mgongo wa kampuni moja ya madini ambapo sidhani kama serikali wanajua yumo!!!