well.. kuna stori behind all this..
katika hali hii huwezi kuacha kumsaidia mrema ..ukiachilia upinzani yeye amepata kuwa naibu waziri mkuu na waziri wa mambo ya ndani aliyetukuka......[cheo cha naibu waziri mkuu amepewa heshima hiyo yeye na salim tu nchi hii]
kuachilia utumishi....ana haki pia ya kulipiwa na ofisi ya rais kwani amepata kuwa afisa wa TISS...na mkufunzi.
inaweza ikaonekana amelipiwa na ofisi ya rais ..lakini mjuwe kuwa TISS ipo ofisi ya rais...na kama atakuwa ameenda kwa mgongo wa kiongozi wa zamani ....atakuwa ametumia kasma ya ofisi ya rais manejimenti ya utumishi wa umma.....zote hizo ni ofisi za rais ambapo rais ni kikwete....so katika hali ya kawaida lazima watu watasema rais amempeleka .....kwani pia angeweza kumkatalia ...kwani nchi hii kuna uhusiano mkubwa kati ya stahili za mtu na ridhaa ya watawala......kuwa ni haki yake kutibiwa pekee ..kama former senior minister au agent..hakutoshi!!!!.....mimi i have many of my friends ..in TISS ambao ni watu wazima ..huwa wakipata matatizo wanapelekwa india kutibiwa na TISS....HAINGEKUWA halali ...na hata hivyo wamechelewa sana kumsaidia mzee mrema....hadi ionekane kama fadhila!!!

Ndugu zangu waTZ, hivi utaratibu wa kupeleka watu nje kwa matibabu unaratibiwa vipi na nani?
- Inaonekana kutibiwa nje ya TZ nako sasa imekuwa ni hongo ya mkuu wa nchi kwa wanaompigia magoti, je hili sio la kweli?
- Kwa nini kila high profile citizen ndio tu inakuwa rahisi kwenda kutibiwa nje ingawa tunaolipia matibabu yao ni sisi kwa kodi zetu?
- Kwa nini list ya wanaotarajia kupelekwa nje kwa matibabu isiwekwe wazi wizarani, kwenye gazeti la serikali n.k., ili kuondoa upendeleo?
- Kwa nini gharama ya kila mgonjwa anayepelekwa nje zisiwekwe wazi ili tuone tofauti na gharama za wagonjwa wanaotibiwa TZ?
Na hili ndilo linalotofautisha wenzetu wa nchi za Magharibi na akina sie: kendesha mambo kwa utashi na hisia.Sasa kuna umuhimu gani wa kuwa na kanuni na taratibu?Hivi kuna Watanzania wangapi vijijini wasiojiweza ambao hawapewi favour kama anayopatiwa Mrema?
Kwani kulikuwa na ugumu gani kwa Mrema kupatiwa matibabu Muhimbili,au kama kulikuwa na ulazima wa yeye kutibiwa nje ya nchi,kwanini isningekuwa kupitia utaratibu wa kawaida wa serikali ku-refer wagonjwa nje ya nchi?
Nchi haiendeshwi kishkaji namna hiyo,na kwa nyie mnaopigia kelele huruma,anzeni kwanza kuwahurumia wahanga wa mafuriko Kilosa, victims wa ufisadi,na makundi kama hayo na siyo ku-cherry pick akina Mrema for political gains.
Kumbe JK ana moyo wa kujali utu namna hii, okay. Get well soon mzee wa kiraracha.
nadhani hapa duniani hakuna kitu chenye thamani kubwa kuliko uhai wa binadamu; haununuliki. Kwa hiyo, juhudi zozote za kurefusha uhai wa binadamu yeyote bila kujali itikadi yake ni jambo la muhimu sana. Namshukuru jk kwa hilo ingawa nilisikitika sana kusikia kuwa general nyirenda hakupewa msaada wa namna hiyo alipokuwa mgonjwa.
Ninadhani kuwa jambo kubwa lisiwe la kuwapeleka hao wateule kutibiwa nje na kuwaacha akina kichuguu wajifie mwananyamala bila hata kitanda. Kinachotakiwa ni kujenga huduma za afya nchini ziwe za ubora wa juu kiasi kuwa hata watu wa nje waje kutibiwa kwetu. Tumeona siku hizi wachezaji wa mpira kutoka nje wanakuja kucheza kwenye vilabu vyetu, inabidi hata huduma zetu za elimu na afya pia tuziinue katika viwango vya kukubaliwa kimataifa kusudi watu wa nje nao waje kuzifuata kwetu.
kama ni kweli JK kampeleka Mrema kutibiwa then anapaswa kupongezwa kwa sababu nchi hii imeshindwa kutengeneza mfumo mzuri wa kuhudumia watu waliojitoa na kulitumikia taifa kwa moyo mmoja, na kama ataendelea kufanya hivi kwa watu wengine zaidi na pia asukume uwepo wa mfumo mzuri litakuwa jambo jema. wote tukiangalia kazi ya mrema akiwa waziri na naibu waziri mkuu tunatambua kwamba alijitahidi kupambana na uovu katika mfumo mbovu wa utawala.Taarifa nilizozipata hivi punde Nikiwa hapa mjini Dodoma kutoka kwa source ya kuaminika ni kuwa Agustino Mrema amepelekwa Nchini India kutibiwa .
Aliyemsafirisha ni Rais Jakaya Kikwete.
My take;
Ndio maana alikuwa anampigia filimbi JK kumbe alikuwa anataka kupata malipo?
Akirudi anaweza naye kuwa mtabiri kama Sheikh Yahaya,juu ya urais wa JK?
Ninavojua yule mzee wa kiraracha huwa ana tatizo la kisukari.
Nadhani kama amepata nafasi hiyo anastahili kwa kuangalia aliyoyafanyia nchi hii wakati akiwa waziri wa mambo ya ndani na 'naibu waziri mkuu'.
Sioni ubaya hapo zaidi namwombea apate nafuu/apone haraka
Diii,kumbe Bro.J.kkkkkkk ana ka blood relation na Mseee Mrema,asentini kwa kunijuza!!!Taarifa nilizozipata hivi punde Nikiwa hapa mjini Dodoma kutoka kwa source ya kuaminika ni kuwa Agustino Mrema amepelekwa Nchini India kutibiwa .
Aliyemsafirisha ni Rais Jakaya Kikwete.
My take;
Ndio maana alikuwa anampigia filimbi JK kumbe alikuwa anataka kupata malipo?
Akirudi anaweza naye kuwa mtabiri kama Sheikh Yahaya,juu ya urais wa JK?
Waaaapiiiiii,akirudi ni kutambika kwa kwenda front!!Akirudi ataitangaza CCM kwa nguvu zote
kama ni kweli JK kampeleka Mrema kutibiwa then anapaswa kupongezwa kwa sababu nchi hii imeshindwa kutengeneza mfumo mzuri wa kuhudumia watu waliojitoa na kulitumikia taifa kwa moyo mmoja, na kama ataendelea kufanya hivi kwa watu wengine zaidi na pia asukume uwepo wa mfumo mzuri litakuwa jambo jema. wote tukiangalia kazi ya mrema akiwa waziri na naibu waziri mkuu tunatambua kwamba alijitahidi kupambana na uovu katika mfumo mbovu wa utawala.
hongera JK kwa moyo wa upendo na kuwajali watumishi wema wa nchi hii.
Diii,kumbe Bro.J.kkkkkkk ana ka blood relation na Mseee Mrema,asentini kwa kunijuza!!!
Phillemon Mikael,
..uwekwe utaratibu unaoeleweka, na vilevile uzingatiwe.
..sijui ni vigezo gani vilitumika kumgharimia matibabu Sheikh Yahaya Hussein, na kuwaacha wastaafu kama Abel Mwanga[r.i.p].
..kuna wananchi wengi sana wameitumikia nchi hii kwa uaminifu mkubwa lakini wanateseka kwasababu hakuna utaratibu mzuri wa kuwahudumia wananchi kama hao.
..sasa hivi mambo yanafanyika kwa kujuana-juana zaidi.
Taarifa nilizozipata hivi punde Nikiwa hapa mjini Dodoma kutoka kwa source ya kuaminika ni kuwa Agustino Mrema amepelekwa Nchini India kutibiwa .
Aliyemsafirisha ni Rais Jakaya Kikwete.
My take;
Ndio maana alikuwa anampigia filimbi JK kumbe alikuwa anataka kupata malipo?
Akirudi anaweza naye kuwa mtabiri kama Sheikh Yahaya,juu ya urais wa JK?