JK Ampeleka Augustino Mrema kutibiwa India?

JK Ampeleka Augustino Mrema kutibiwa India?

well.. kuna stori behind all this..

Actually he deserve, and also he serve for the country too, though twajua yeye ni shu shu shu wa TZ. me kwa hilo sioni tatizo. and i dont think kama kuna siasa hat hapo jamani
 
katika hali hii huwezi kuacha kumsaidia mrema ..ukiachilia upinzani yeye amepata kuwa naibu waziri mkuu na waziri wa mambo ya ndani aliyetukuka......[cheo cha naibu waziri mkuu amepewa heshima hiyo yeye na salim tu nchi hii]

kuachilia utumishi....ana haki pia ya kulipiwa na ofisi ya rais kwani amepata kuwa afisa wa TISS...na mkufunzi.

inaweza ikaonekana amelipiwa na ofisi ya rais ..lakini mjuwe kuwa TISS ipo ofisi ya rais...na kama atakuwa ameenda kwa mgongo wa kiongozi wa zamani ....atakuwa ametumia kasma ya ofisi ya rais manejimenti ya utumishi wa umma.....zote hizo ni ofisi za rais ambapo rais ni kikwete....so katika hali ya kawaida lazima watu watasema rais amempeleka .....kwani pia angeweza kumkatalia ...kwani nchi hii kuna uhusiano mkubwa kati ya stahili za mtu na ridhaa ya watawala......kuwa ni haki yake kutibiwa pekee ..kama former senior minister au agent..hakutoshi!!!!.....mimi i have many of my friends ..in TISS ambao ni watu wazima ..huwa wakipata matatizo wanapelekwa india kutibiwa na TISS....HAINGEKUWA halali ...na hata hivyo wamechelewa sana kumsaidia mzee mrema....hadi ionekane kama fadhila!!!

Na hili ndilo linalotofautisha wenzetu wa nchi za Magharibi na akina sie: kendesha mambo kwa utashi na hisia.Sasa kuna umuhimu gani wa kuwa na kanuni na taratibu?Hivi kuna Watanzania wangapi vijijini wasiojiweza ambao hawapewi favour kama anayopatiwa Mrema?

Kwani kulikuwa na ugumu gani kwa Mrema kupatiwa matibabu Muhimbili,au kama kulikuwa na ulazima wa yeye kutibiwa nje ya nchi,kwanini isningekuwa kupitia utaratibu wa kawaida wa serikali ku-refer wagonjwa nje ya nchi?

Nchi haiendeshwi kishkaji namna hiyo,na kwa nyie mnaopigia kelele huruma,anzeni kwanza kuwahurumia wahanga wa mafuriko Kilosa,victims wa ufisadi,na makundi kama hayo na siyo ku-cherry pick akina Mrema for political gains.
 
JK wetu anajua sana kutumia nafasi ambazo anaona zitamwongezea umaarufu. Ambazo zitamfanya aonekane ni mtu wa watu. Atagawa gari mbili za wagonjwa, atapiga picha na Drogba, atakwenda kumwona Kawawa kwa kamera za TV, ataunda tume ya kumchunguza Zombe, ataahidi kuileta Real Madrid, atabembea kule Jamaica,.....
Umaarufu kwa JK wetu hauna kifani
 
katika hali hii huwezi kuacha kumsaidia mrema ..ukiachilia upinzani yeye amepata kuwa naibu waziri mkuu na waziri wa mambo ya ndani aliyetukuka......[cheo cha naibu waziri mkuu amepewa heshima hiyo yeye na salim tu nchi hii]

kuachilia utumishi....ana haki pia ya kulipiwa na ofisi ya rais kwani amepata kuwa afisa wa TISS...na mkufunzi.

inaweza ikaonekana amelipiwa na ofisi ya rais ..lakini mjuwe kuwa TISS ipo ofisi ya rais...na kama atakuwa ameenda kwa mgongo wa kiongozi wa zamani ....atakuwa ametumia kasma ya ofisi ya rais manejimenti ya utumishi wa umma.....zote hizo ni ofisi za rais ambapo rais ni kikwete....so katika hali ya kawaida lazima watu watasema rais amempeleka .....kwani pia angeweza kumkatalia ...kwani nchi hii kuna uhusiano mkubwa kati ya stahili za mtu na ridhaa ya watawala......kuwa ni haki yake kutibiwa pekee ..kama former senior minister au agent..hakutoshi!!!!.....mimi i have many of my friends ..in TISS ambao ni watu wazima ..huwa wakipata matatizo wanapelekwa india kutibiwa na TISS....HAINGEKUWA halali ...na hata hivyo wamechelewa sana kumsaidia mzee mrema....hadi ionekane kama fadhila!!!

Safi mkuu, lakini tiba nzuri haiwezi kuwa ni sehemu ya shukrani eti tu kwa sababu uliwahi kuwa huyu au yule.

Ni haki ya kila m-TZ. Kama tutaendeleza mtindo wa kusema huyu ni mstaafu au ni wa aina hii, hii itakuwa nchi ya wajinga.

Hawa ma-Rais na mawaziri ndo wanaoshindwa kupanga mipango ya kuweka huduma nzuri ktk mahospitali na mashule. Halafu eti tunawapa upendeleo wa kutibiwa nje kama heshima.

Nyumbani kwako unashindwa kuweka mazingira mazuri ya maisha halafu unajipangia safari za kwenda kula kwa jirani kama incentive. Nonsense!
 
Ndugu zangu waTZ, hivi utaratibu wa kupeleka watu nje kwa matibabu unaratibiwa vipi na nani?
  1. Inaonekana kutibiwa nje ya TZ nako sasa imekuwa ni hongo ya mkuu wa nchi kwa wanaompigia magoti, je hili sio la kweli?
  2. Kwa nini kila high profile citizen ndio tu inakuwa rahisi kwenda kutibiwa nje ingawa tunaolipia matibabu yao ni sisi kwa kodi zetu?
  3. Kwa nini list ya wanaotarajia kupelekwa nje kwa matibabu isiwekwe wazi wizarani, kwenye gazeti la serikali n.k., ili kuondoa upendeleo?
  4. Kwa nini gharama ya kila mgonjwa anayepelekwa nje zisiwekwe wazi ili tuone tofauti na gharama za wagonjwa wanaotibiwa TZ?

Mrema amepelekwa nje kutibiwa kwa gharama za Kikwete, basi kuna issue kati yao: Mrema anawasema vibaya wakosoaji wa Kikwete, na Kikwete anagharamia matibabu ya Mrema.

Ni kweli kodi za watanzania zinatumiwa vibaya sana na viongozi:
Matibabu ni kwao tu, watoto wengi tu wenye matatizo kama ya moyo wanaenda kufanyiwa upasuaji hukohuko India kwa gharama za wanaojitolea akina Mengi na wengineo. Watoto ambao wakikua watatoa mchango wao kwa Taifa.

Hii haki ya viongozi kutibiwa nje huwa kuna wakati inatumiwa vibaya. Nakumbuka yule mke wa Waziri aliyetumia dawa za Kichina ili awe na makalio makubwa, na ni **** moja tu lika-respond (likaumuka), jingine likagoma likabaki dogo vilevile, ikawa ni kituko. Naye akapelekwa nje kutibiwa (kwa maradhi ya kujitakia) kwa gharama za mtanzania mlipa kodi.
 
Na hili ndilo linalotofautisha wenzetu wa nchi za Magharibi na akina sie: kendesha mambo kwa utashi na hisia.Sasa kuna umuhimu gani wa kuwa na kanuni na taratibu?Hivi kuna Watanzania wangapi vijijini wasiojiweza ambao hawapewi favour kama anayopatiwa Mrema?

Kwani kulikuwa na ugumu gani kwa Mrema kupatiwa matibabu Muhimbili,au kama kulikuwa na ulazima wa yeye kutibiwa nje ya nchi,kwanini isningekuwa kupitia utaratibu wa kawaida wa serikali ku-refer wagonjwa nje ya nchi?

Nchi haiendeshwi kishkaji namna hiyo,na kwa nyie mnaopigia kelele huruma,anzeni kwanza kuwahurumia wahanga wa mafuriko Kilosa, victims wa ufisadi,na makundi kama hayo na siyo ku-cherry pick akina Mrema for political gains.

Well said Mlalahoi!
JK has a habit of using cheap tactics for his political gains. He can't tackle real issues; he's either unable or unwilling, or both.
 
Kumbe JK ana moyo wa kujali utu namna hii, okay. Get well soon mzee wa kiraracha.

Mnyonge mnyongeni haki yake mpe. Hapa JK ameonyesha ni Rais wa Watanzania wote. Big up JAKAYA MRISHO KIKWETE
 
nadhani hapa duniani hakuna kitu chenye thamani kubwa kuliko uhai wa binadamu; haununuliki. Kwa hiyo, juhudi zozote za kurefusha uhai wa binadamu yeyote bila kujali itikadi yake ni jambo la muhimu sana. Namshukuru jk kwa hilo ingawa nilisikitika sana kusikia kuwa general nyirenda hakupewa msaada wa namna hiyo alipokuwa mgonjwa.

Ninadhani kuwa jambo kubwa lisiwe la kuwapeleka hao wateule kutibiwa nje na kuwaacha akina kichuguu wajifie mwananyamala bila hata kitanda. Kinachotakiwa ni kujenga huduma za afya nchini ziwe za ubora wa juu kiasi kuwa hata watu wa nje waje kutibiwa kwetu. Tumeona siku hizi wachezaji wa mpira kutoka nje wanakuja kucheza kwenye vilabu vyetu, inabidi hata huduma zetu za elimu na afya pia tuziinue katika viwango vya kukubaliwa kimataifa kusudi watu wa nje nao waje kuzifuata kwetu.

gerenal nyirenda naye alipelekwa india na jk nadhani umesahau au habari hiyo ilikupita na baadaye akarudi nyumbani baada ya kupata nafuu. Baada ya kupata nafuu aliugua tena na kukimbizwa muhimbili akazidiwa na hatuko naye tena.
 
Taarifa nilizozipata hivi punde Nikiwa hapa mjini Dodoma kutoka kwa source ya kuaminika ni kuwa Agustino Mrema amepelekwa Nchini India kutibiwa .

Aliyemsafirisha ni Rais Jakaya Kikwete.

My take;
Ndio maana alikuwa anampigia filimbi JK kumbe alikuwa anataka kupata malipo?
Akirudi anaweza naye kuwa mtabiri kama Sheikh Yahaya,juu ya urais wa JK?
kama ni kweli JK kampeleka Mrema kutibiwa then anapaswa kupongezwa kwa sababu nchi hii imeshindwa kutengeneza mfumo mzuri wa kuhudumia watu waliojitoa na kulitumikia taifa kwa moyo mmoja, na kama ataendelea kufanya hivi kwa watu wengine zaidi na pia asukume uwepo wa mfumo mzuri litakuwa jambo jema. wote tukiangalia kazi ya mrema akiwa waziri na naibu waziri mkuu tunatambua kwamba alijitahidi kupambana na uovu katika mfumo mbovu wa utawala.
hongera JK kwa moyo wa upendo na kuwajali watumishi wema wa nchi hii.
 
Ninavojua yule mzee wa kiraracha huwa ana tatizo la kisukari.

Nadhani kama amepata nafasi hiyo anastahili kwa kuangalia aliyoyafanyia nchi hii wakati akiwa waziri wa mambo ya ndani na 'naibu waziri mkuu'.

Sioni ubaya hapo zaidi namwombea apate nafuu/apone haraka

Hayo ndio marupurupu ya kuwa kiongozi wa Taifa,alikuwa amesahaulika lakini baada ya kumpigia debe JK wakuu wamemkumbuka na wamempeleka kutibiwa.

Akirudi huko sitoshangaa akisema anarudi tena CCM ili kuwalipa fadhila,nchi hii kama tumerogwa vile.
 
Sitaki kujua whether JK ametoa kwa moyo wake wa huruma au anatafuta cheap populariy lakini ninacho taka kumwambia ni kuwa katika kusaidia huko yeye kama yeye kinaweza kuwa na manufaa kwake lakini yeye kama rais amedhalilisha serikali kuwa haina uwezo hata wa kutibu kisukari.
 
Taarifa nilizozipata hivi punde Nikiwa hapa mjini Dodoma kutoka kwa source ya kuaminika ni kuwa Agustino Mrema amepelekwa Nchini India kutibiwa .

Aliyemsafirisha ni Rais Jakaya Kikwete.

My take;
Ndio maana alikuwa anampigia filimbi JK kumbe alikuwa anataka kupata malipo?
Akirudi anaweza naye kuwa mtabiri kama Sheikh Yahaya,juu ya urais wa JK?
Diii,kumbe Bro.J.kkkkkkk ana ka blood relation na Mseee Mrema,asentini kwa kunijuza!!!
 
kama ni kweli JK kampeleka Mrema kutibiwa then anapaswa kupongezwa kwa sababu nchi hii imeshindwa kutengeneza mfumo mzuri wa kuhudumia watu waliojitoa na kulitumikia taifa kwa moyo mmoja, na kama ataendelea kufanya hivi kwa watu wengine zaidi na pia asukume uwepo wa mfumo mzuri litakuwa jambo jema. wote tukiangalia kazi ya mrema akiwa waziri na naibu waziri mkuu tunatambua kwamba alijitahidi kupambana na uovu katika mfumo mbovu wa utawala.
hongera JK kwa moyo wa upendo na kuwajali watumishi wema wa nchi hii.

mimi ningependa tuwe na mfumo unaoangalia stahili za wastaafu....mfumo ambao ni kama insurance....[kuna gold,premium,silver etc]...ambazo zitawasaidia kupata huduma kwa mujibu wa sheria ...bila kutegemea huruma kama hii iliyotokea kwa mrema ..anastahili ..lakini kwa muda mrefu amekuwa akiangaika kupata matibabu...hadi alipomuunga mkono kikwete ..ndio akapewa stahili yake....

au angalia maalim seif ..alistahili mafao na huduma kama waziri kiongozi mstaafu...lakini alikuwa hapewi kitu hadi alipokubali kusaini mkataba wa kwanza wa muafaka...

Hali hii ndio inawafumba midomo wazee wengi ambao wamepata kuwa serikalini wasiingie kwenye vyama vingine.....mnamkumbuka marehemu Maj general mwita marwa???? ALIPATA kuwa CHADEMA ..serikali ilimfanyia vitimbi vya kukata stahili zake kama meja jenerali mstaafu.....na alipokubali kutoka chadema ....alipewa kazi IKULU kama mshauri wa ulinzi na usalama wa mzee mwinyi....thats how the state machinery of oppresion operates!!
 
Diii,kumbe Bro.J.kkkkkkk ana ka blood relation na Mseee Mrema,asentini kwa kunijuza!!!

wamepata ku share "mama" mmoja miaka ya nyuma.......walipokuwa makada wa propaganda na kitengo cha usalama wa ndani ya ccm ...miaka ya mwanzo ya 80!!
 
Phillemon Mikael,

..uwekwe utaratibu unaoeleweka, na vilevile uzingatiwe.

..sijui ni vigezo gani vilitumika kumgharimia matibabu Sheikh Yahaya Hussein, na kuwaacha wastaafu kama Abel Mwanga[r.i.p].

..kuna wananchi wengi sana wameitumikia nchi hii kwa uaminifu mkubwa lakini wanateseka kwasababu hakuna utaratibu mzuri wa kuwahudumia wananchi kama hao.

..sasa hivi mambo yanafanyika kwa kujuana-juana zaidi.
 
Wana JF hapo tusifanye dhihaka Mungu amsaidie Mrema apone haraka na Shukrani kwa Mhe. JK kwa moyo wa huruma na kwa kutambua mchango alioutoa Mrema katika nchi hii.
 
Phillemon Mikael,

..uwekwe utaratibu unaoeleweka, na vilevile uzingatiwe.

..sijui ni vigezo gani vilitumika kumgharimia matibabu Sheikh Yahaya Hussein, na kuwaacha wastaafu kama Abel Mwanga[r.i.p].

..kuna wananchi wengi sana wameitumikia nchi hii kwa uaminifu mkubwa lakini wanateseka kwasababu hakuna utaratibu mzuri wa kuwahudumia wananchi kama hao.

..sasa hivi mambo yanafanyika kwa kujuana-juana zaidi.

Heshima kwako Jokakuu,

Sheikh Yahaya Hussein anastahili kugharamiwa matibabu na serekali kwasababu ni mtu wa system.Umewahi kusoma The dark side of Nyerere by Ludovick S Mwijage ungetambua Tanzania ni zaidi ya unavyoijua.
 
Taarifa nilizozipata hivi punde Nikiwa hapa mjini Dodoma kutoka kwa source ya kuaminika ni kuwa Agustino Mrema amepelekwa Nchini India kutibiwa .

Aliyemsafirisha ni Rais Jakaya Kikwete.

My take;
Ndio maana alikuwa anampigia filimbi JK kumbe alikuwa anataka kupata malipo?
Akirudi anaweza naye kuwa mtabiri kama Sheikh Yahaya,juu ya urais wa JK?

ukisoma gazeti la mwananchi la leo....kiongozi mmoja wa TLP amedai mrema yuko india kwa matibabu ambayo amejigharamia mwenyewe.... ukweli uko wapi sasa...(ila kwa jinsi yule mzee alivyofuliwa i doubt kama amejilipia kweli... we mpaka ss hv anakaa nyumba ya chama(habari za kuaminika )
 
Back
Top Bottom