Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi Mheshimiwa amerudi lini toka Namibia.... Duuhh!!! ILA NAOMBA SAMAHANI MWENZENU NILIKUWA NIMELALA!!!!
Katika biblia kuna mfalme fulani alimwendea mwanamke mchawi wa Endori ili amchawie, kwani Mungu alikuwa amemwacha, hakumjibu kwa urim thumim,*manabii wala kumpa ndoto.
Mnamaanisha Jk nae......?
.
Nadhani makombora ya ulinzi amemwachia mwanae japo ni vigumu kujua kama ana uwezo wa kuyatumia kama ilivyokuwa baba yake.
ndege mlimnunulia ya nini?
Tulijua atakwenda kwenye huko kwani Arusha na Tarime aliowapiga risasi si aliatabiriwa na huyo huyo Shehe Yahya. Congratulations and big up to kikwete for doing good job.
Contribution ya Shehe Yahya ktk Taifa la Tanzania, uchawi na ushirikina tunaomba michango mingine kama wananchi mnayo. Tunakumbuka maneno ya kishetani ya Shehe Yahya kuhusu Dr Slaa alipokuwa mgombe wa uraisi kwamba atakufa? jk aliishia kuanguka kikwanjani, seem thats jk na ushirikina go hand to hand. Watanzania asilimia kubwa hatutaki kuhusishwa na hawa washirikina na hasa mtu anayejiita kiongozi wa Taifa, ushetani uishie huko huko kwenu na familia zenu na muache kutuunganisha kitaifa.
"Shehe Yahya Hakutabiri kifo chake? au alikuwa amelala na akaondoka haraka haraka? Hii sign kwamba ccm wamezika chama chao leo"
God protect us from such sins and cover us from devil's hand from North to South and West to East
Ingekua hairuhusiwi ningeacha.mbona waislamu wenzio wanasema kutabiri ni sawa na kupiga ramli na hairuhusiwi katika uislamu..wewe kwa nini unafanya hayo?:dance::dance:
Sote ni waja kwake...na wote tutarejea kwake.Maalim kweli hata mimi nakukubali ndigu yangu. Ukweli utabaki ni ukweli na uongo utajitenga na ukweli.
Poleni watabiri kwa kuondokewa na Mnajimu mwenzenu tena mkongwe.
Mungu ailaze roho yake mahala pema peponi. Aamiin.