Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si kweli kwamba Watanzania 60% waliotaka serikali tatu wanaunga mkono Upinzani kumbuka pia kuna WanaCCM ndani ya hili kundi waliunga mkono pendekezo la kuwepo kwa serikali tatu na pia sio kweli kuwa katika lile kundi la Watanzania (30%) lililounga mkono serikali mbili wote ni WanaCCM ukweli ni kwamba kulikuwepo Watanzania wanaounga mkono Upinzani lakini walitaka serikali mbili.Get your facts right please!
CCM ina hofu gani kwasababu Baraza la Katiba la Ofisi ya Waziri Mkuu Mwenyewe limetaka Serikali tatu meaning Serikali ya CCM yenyewe inataka serikali 3
Huo utafiti wa wanywa gongo Asilimia 64 ya Watanzania wote unaijua?
64/100x45,000,000=28,8000,000.
Wakati tume yenyewe imehoji watu Milioni 1.5 tu.
Utafiti wa wanywa gongo hauna Mashiko.
Tunataka serikali mbili.
Uwe unaota ndoto nzuri wakati mwingine,
Hakuna chama cha upinzani chenye uwezo wa kuchukua dola;
labda mpaka Kristo arudipo kwa mara ya pili.
Rudi darasani ukajifunze sampling wewe nyambafHuo utafiti wa wanywa gongo Asilimia 64 ya Watanzania wote unaijua?
64/100x45,000,000=28,8000,000.
Wakati tume yenyewe imehoji watu Milioni 1.5 tu.
Utafiti wa wanywa gongo hauna Mashiko.
Tunataka serikali mbili.
inaonekana wewe hujui namna research zinavofanywa kunakitu kibaitwa sample size, watu Au vitu vichache kuwakilisha wengi.
Nini hasa kinachowafanya CCM wang'ang'anie serikali 2!!
Wewe unaleta takwimu zako sasa.Tunacho jua ccm ilitamka wazi na hata mabaraza ya wilaya waliyo dominate ccm waliambizana hivyo.Ni msimamo wa kitaifa wa ccm serikali mbili .Nawewe huna hakika na prediction zako naona kama uko busy ku fabricateSi kweli kwamba Watanzania 60% waliotaka serikali tatu wanaunga mkono Upinzani kumbuka pia kuna WanaCCM ndani ya hili kundi waliunga mkono pendekezo la kuwepo kwa serikali tatu na pia sio kweli kuwa katika lile kundi la Watanzania (30%) lililounga mkono serikali mbili wote ni WanaCCM ukweli ni kwamba kulikuwepo Watanzania wanaounga mkono Upinzani lakini walitaka serikali mbili.Get your facts right please!
Wewe 45M umeipata wapi wakati tunajua waislamu wote hawakuhesabiwa? Hiyo sensa tunajua ilichakachuliwa.