JK: CCM Tujiandae kisaikolojia muundo wa serikali tatu

JK: CCM Tujiandae kisaikolojia muundo wa serikali tatu

Huu mwanzo tu wa yale yasiyotegemewa na wengi kutokea.
 
Si kweli kwamba Watanzania 60% waliotaka serikali tatu wanaunga mkono Upinzani kumbuka pia kuna WanaCCM ndani ya hili kundi waliunga mkono pendekezo la kuwepo kwa serikali tatu na pia sio kweli kuwa katika lile kundi la Watanzania (30%) lililounga mkono serikali mbili wote ni WanaCCM ukweli ni kwamba kulikuwepo Watanzania wanaounga mkono Upinzani lakini walitaka serikali mbili.Get your facts right please!

Indeed, lazima ukumbuke pia kuwa mwaka 2005 rais kikwete aliposhinda kwa kishindo kwa kupata kura zaidi ya theluthi mbili, wataalam wa takwimu walituhakikishia kuwa alipita kwa kura si za ccm tu bali hata za upinzani kwa asilimia kubwa. Kumbuka kwenye maswala ya kitaifa wananchi wengi hasa wasomi hawaangalii chama wanapopiga kura bali wanaangalia maslahi ya kitaifa. Kuwa mwangalifu na takwimu ndugu!
 
Ushauri: Tujitahidi kuepuka kulifanya suala katiba kuwa ni suala la vyama vya siasa.
 
CCM ina hofu gani kwasababu Baraza la Katiba la Ofisi ya Waziri Mkuu Mwenyewe limetaka Serikali tatu meaning Serikali ya CCM yenyewe inataka serikali 3

kumbe hata ccm imegawanyika mpaka ngaz za juu? kama ndo hvyo wajipange kung'olewa na cdm
 
Huo utafiti wa wanywa gongo Asilimia 64 ya Watanzania wote unaijua?
64/100x45,000,000=28,8000,000.
Wakati tume yenyewe imehoji watu Milioni 1.5 tu.

Utafiti wa wanywa gongo hauna Mashiko.
Tunataka serikali mbili.

Kwa hili nachojua walifanya sampling technique, hivyo watu 1.5million wanatosha kuwa SAMPLE, vinginevyo hiyo unayotaka ni SENSA.
 
Tuko aise huwa sirudi kusoma maoni ila nikutana na wewe kwa bahati mbaya tu,
kwani ulichoweka kinasemaje.
 
Last edited by a moderator:
Uwe unaota ndoto nzuri wakati mwingine,
Hakuna chama cha upinzani chenye uwezo wa kuchukua dola;
labda mpaka Kristo arudipo kwa mara ya pili.

Naisave hii kama ukumbusho ikitimia mageuzi ya uongozi nitakukumbushia Mamndenyi.
 
Huo utafiti wa wanywa gongo Asilimia 64 ya Watanzania wote unaijua?
64/100x45,000,000=28,8000,000.
Wakati tume yenyewe imehoji watu Milioni 1.5 tu.

Utafiti wa wanywa gongo hauna Mashiko.
Tunataka serikali mbili.
Rudi darasani ukajifunze sampling wewe nyambaf
 
inaonekana wewe hujui namna research zinavofanywa kunakitu kibaitwa sample size, watu Au vitu vichache kuwakilisha wengi.

Sawa na kumpigia mbuzi gita. Statistical methods, sampling theory, confidence limits,normal distributions ni vitu adimu.
 
Si kweli kwamba Watanzania 60% waliotaka serikali tatu wanaunga mkono Upinzani kumbuka pia kuna WanaCCM ndani ya hili kundi waliunga mkono pendekezo la kuwepo kwa serikali tatu na pia sio kweli kuwa katika lile kundi la Watanzania (30%) lililounga mkono serikali mbili wote ni WanaCCM ukweli ni kwamba kulikuwepo Watanzania wanaounga mkono Upinzani lakini walitaka serikali mbili.Get your facts right please!
Wewe unaleta takwimu zako sasa.Tunacho jua ccm ilitamka wazi na hata mabaraza ya wilaya waliyo dominate ccm waliambizana hivyo.Ni msimamo wa kitaifa wa ccm serikali mbili .Nawewe huna hakika na prediction zako naona kama uko busy ku fabricate
 
Ivi hawa ccm serilkali mbili ndiyo hirizi yao ya kushinda?Inaelekea mzimu wao wa ushindi aliwaelekeza serikali mbili tu,hawezi kuwa saidia kama tatu au moja
 
Basi kama zinakuwa tatu, hata Zito ccm wamukumbuke kwenye nafasi moja ya uraisi.Kijana wao amewasaidia kiasi fulani
 
Hata Mwigulu wamfanyie mpango nafasi moja ya uraisi penyee nafasi zipo tatu.Afanye ugaidi wote huo halafu aambulie patupu,mwisho ataona ugaidi haulipi bure.
 
Wewe 45M umeipata wapi wakati tunajua waislamu wote hawakuhesabiwa? Hiyo sensa tunajua ilichakachuliwa.

Ambao hawakuhesabiwa ni magaidi tu, hakukuwa na sensa ya kuhesabu waislamu bali Watanzania.
 
Nape ni bendera fuata upepo! Muda c mrefu utasikia kabadilika kwani kwa kubadili korasi anatisha! Alianza na vua gamba, leo TUA MIZIGO.
 
Katiba mpya na itapatikana tu iwapo wabunge kutoka chama cha mizigo watatulia.
 
Back
Top Bottom