JK kapotoshwa kuhusu tarehe aliyokuja Nelson Mandela mwaka 1962??

CCM CCM CCM Halafu huwa hawataki kukosolewa kwa lolote hata kama baya vp
 
Tukubali tu kwamba JK kanena vizuri suala la kukosea tarehe ni kitu kidogo kulingana na ujumbe alio ufikisha kwa dunia na SA.
Nadhani angesema pumba Wabaya wangefurahia sanaa. hongera jk kwa Kunadi TZ.
Hakuna alichokosea JK yuko sawa huyo mleta mada ndio kakosea, tafadhali kama unaweza soma Autobibliography ya mzee Mandela ya "Long Walk to Freedom, ukurasa wa 175-177 anaielezea hii safari yake!
 
Tukiwa tunaendelea kuangalia funeral rites za Nelson Mandela, mliosikiliza hotuba ya JK ni kwamba kaeleza umati kwamba Mandela alifika Tanganyika kwa mara ya kwanza January 1962. Kwamba safari hiyo alikuja kisiri akipitia Mbeya na kuingia Tanganyika. Kisha akapewa passport ya Tanzania kusafiria.

Hapa ndipo tunaposema viongoziwetu hawapekui vitabu au documents au hata kukumbuka tu. Ukweli ni kwamba histroia haisemi hivyo. Historia inasema kwamba January 1962 ulikuwa ni mweiz mmoja tu tangu Tangayika ijitawale ikiwa na Prime Minister Nyerere. Tukio kuu la kihistoria ni kwamba Huo mwezi karibi wiki mbili zilitawaliwa na NEC ya TANU ambayo ilipomalizika Nyerere akajiuzulu u-Prime Minister na akamuachia Rashid Kawawa.

Gavana-General Richard Turnbull asingeweza kutoa passport Nelson Mandela kirahisi.

Ukweli kuhusu ujio wa Mandela ni kwamba alikuja hapa December 1962, yaani mwaka huohuo, na akawepo kushuhudia Tanganyika ikipata status ya Republic. Hapo ndipo angeweza kupata passport ya Tanganyika na ndicho kilichotokea.

Sikuweza kuamini JK alipokuwa anasoma zile tarehe mbele ya dunia nzima, kwa sababu mtu aliyechimubka historia ya Mandela kokote ilikoandikwa anajua wazi kwamba Mandela alikuja hapa December 1962.

Na hata Mandela kwenye kitabu chake alichoandika kiitwacho A LONG WALK TO FREEDOM, ISBN: 9780349106533, pg. 345: {..we arrived in Dar Es Salaam the next day and I met Julius Nyerere, the newly independent country's firss President..}

Hivyo, wakati ule asingemkuta Nyerere akiwa President, na wakati pekee alipokuwa President ni kuanzia December 09, 1962.

Tuwe tunasoma kabla ya kwenda public.

----------------------------
Pia hakuna mahali kokote Mandela nasema alipewa passport ya Tanzania achilia mbali ya Tanganyika, alichosema Mandela ni kuwa alipewa" Rudimentary document thatmerely said" this is Nelson Mandela the citizen of south Africa, he travelled from Tanganyika and he will return here..."
 
So what? Kikwete is as human as we are. Au kuna miungu watu hapa isiyokosa, hata Nyerere naemuabudu alisema yeye si malaika ni binaadam a ana mabaya yake, yale mabaya acheni fateni mema.

Kama mnaota tarehe kaitaja vibaya, iacheni mfate hiyo nzuri.

MiTanzania bwana, inakaa hapa kupoteza wakati utafikiri hiyo tarehe itawasaidia kitu.

Tarehe ya mtoto wa "Mungu", Yesu Kristo mwenyewe ya kuzaliwa haijulikani akabambikiwa tarehe ya sikukuu ya kipagani 25 -12. Mbona hamuipigii kelele hiyo na mnaisherehekea dunia nzima?
 
Hakuna alichokosea JK yuko sawa huyo mleta mada ndio kakosea, tafadhali kama unaweza soma Autobibliography ya mzee Mandela ya "Long Walk to Freedom, ukurasa wa 175-177 anaielezea hii safari yake!

Acha kudannganya watu wakati kitabu chenyewe hujasoma. Nimeandika post hii nikiwa nimeshikilia kitabu hiki. Page unayosema yaani 175-177, Mandela anaeleza maisha yake kama lawyer na topic katika pge hizo ni STRUGGLE IN MY LIFE. Hapa hakuzungumzia hata ile hali ya u-ANC.

Rudi kule kwenye edition niliyoeleza kwamba safari yake iko page 345.

Tatizo la wewe na wenzako kwa manfaa yanu, hamtaji kabisa kwamba Mandela anazungumza nini katika page hii.
 
Mkuu ziwezi kukubishia kama umeshika kitabu au la, nina hakika na nilichoandika, na nilichosoma mimi inawezekana sio kitabu hicho ulichonacho mimi nimesoma "Long walk to Freedom: Auto bibliography of Nelson Mandela, na haya maelezo ya safari yake ya Dar Tanganyika yako sehemu ya 46 kuanzia ukurusa wa 176 na kitabu kizima kina kurasa 402! kama bado huniamini please download kutoka google utapata na utaelewa nasema nini!
 
Mkuu Nitakupataje kwa kuongezea tu ni kuwa katika hii Autobibliography niliyosoma mimi hiyo part ya THE STRUGGLE IS MY LIFE ipo katika part THREE ya bibliography na iko kuanzia ukurasa wa 83! lakini ngoja niseme tu kuwa hajalishi ni kitabu gani wewe au mimi nimesoma ukweli ni kuwa maelezo hayawezi kutofautiana soma vizuri between lines utamuelewa tu Mzee Mandela alichosema, nasisitiza hakupewa Passport! ila karatasi tu za utambulisho!
 
So what? Kikwete is as human as we are. Au kuna miungu watu hapa isiyokosa, hata Nyerere naemuabudu alisema yeye si malaika ni binaadam a ana mabaya yake, yale mabaya acheni fateni mema.

Kama mnaota tarehe kaitaja vibaya, iacheni mfate hiyo nzuri.

MiTanzania bwana, inakaa hapa kupoteza wakati utafikiri hiyo tarehe itawasaidia kitu.

Tarehe ya mtoto wa "Mungu", Yesu Kristo mwenyewe ya kuzaliwa haijulikani akabambikiwa tarehe ya sikukuu ya kipagani 25 -12. Mbona hamuipigii kelele hiyo na mnaisherehekea dunia nzima?
Dada Faizafoxy mimi naendelea kusisitiza si JK wala wasaidizi wake aliyekosea tarehe, kama kuna aliyekosea hapa basi ni huyu jamaa aliyeleta mada, au labda niseme tunatofautiana katika kuelewa kiingereza! Dada Faiza kama unaweza, ingia google download "Long Walk to Freedom: The Autobibliography of Nelson Mandela kimechapishwa na Little, Brown and Company ya USA, fungua Part SIX ya kitabu ina title BLACKPIMPERNEL (ukurasa 158) nenda sehemu ya 46 (ukurasa wa 176) utaupata ukweli wa hii safari na kama JK alikosea au la!
 
Mleta uzi KAKURUPUKA akijiona mjanjaaaa kumbe.....!
 
Kitabu cha Mandela nilichokinukuu ni kile alichokiandika mwenyewe (auto-biograph). Narudia tena kama hamkusoma my original post kitabu chenyewe ni hiki {Long Walk To Freedom, ISBN: 9780349106533, pg. 345}.

Kumbuka kwamba unaponibishia basi hunibishii mimi bali unambishia na kusmema kwamba Mandela alikuwa muongo alidanganya ulimwengu kwenye ukurasa huu kuhusu ziara hii!

Na nyinyi someni ukurasa huo kabla ya kumtetea JK aliyekosea. Lakini mnapomtetea basi leteni source za mnayotetea kama nilivyofanya mimi. Mimi source yangu ni kauli ya Mandela mwenyewe, kweny ekitabu hicho kwenye ukurasa huo. Je, mnaobisha na washabiki wenu source yenu ni nini zaidi ya kututajia tarehe tu.

Cc: Mtanzania, Gamba la Nyoka, Kisugujira, Tusichoke, Sikajiji

Inawezekana ni kweli alikuja jan 62, ila issue ya kutumia paspoti ya Tanzania ndio ikawa mjadala
Na inawezekana issue ya paspoti haikuwemo kwenye hotuba ila JK kaichomekea bila kujua athari yake
 
Akisoma hotuba kuhusu maisha ya ndani kabisa ya Mandela wakati wa harakati zake za kupambana dhidi ya utawala wa kidhalimu wa Makaburu nchini Afrika Kusini,Rais Kikwete alisema kwamba Mandela alifika kwa mara ya kwanza nchini Tanganyika mnamo January,1962.Katika kitabu chake cha 'A LONG WALK TO FREEDOM' Mandela alisema kwamba alikuja Tanganyika kwa mara ya kwanza mwaka 1962 wakati wa utawala wa Mwalimu Nyerere.Kumbukumbu za kihistoria zinaonyesha kuwa mwezi January,1962 Mwalimu Nyerere hakuwa Rais wa Tanganyika bado,Je ni kweli Mandela alikuja Tanganyika mwezi January,1962 kama alivyodai Rais Kikwete katika hotuba yake au Mkuu aliteleza?
 
Huyu mtoa mada kama ananilazimisha kumuelewa lakini kama na yeye aliposoma sina uhakika napo sana.ila heko kwake kwakupitia pitia histori sababu my president enzi hizo alikuwepo pia.
 
So what? Kikwete is as human as we are. Au kuna miungu watu hapa isiyokosa, hata Nyerere naemuabudu alisema yeye si malaika ni binaadam a ana mabaya yake, yale mabaya acheni fateni mema.

Kama mnaota tarehe kaitaja vibaya, iacheni mfate hiyo nzuri.

MiTanzania bwana, inakaa hapa kupoteza wakati utafikiri hiyo tarehe itawasaidia kitu.

Tarehe ya mtoto wa "Mungu", Yesu Kristo mwenyewe ya kuzaliwa haijulikani akabambikiwa tarehe ya sikukuu ya kipagani 25 -12. Mbona hamuipigii kelele hiyo na mnaisherehekea dunia nzima?

Acha udini mama, hautakusaidia kufika popote.
 
Tukiwa tunaendelea kuangalia funeral rites za Nelson Mandela, mliosikiliza hotuba ya JK ni kwamba kaeleza umati kwamba Mandela alifika Tanganyika kwa mara ya kwanza January 1962. Kwamba safari hiyo alikuja kisiri akipitia Mbeya na kuingia Tanganyika. Kisha akapewa passport ya Tanzania kusafiria.

Hapa ndipo tunaposema viongoziwetu hawapekui vitabu au documents au hata kukumbuka tu. Ukweli ni kwamba histroia haisemi hivyo. Historia inasema kwamba January 1962 ulikuwa ni mweiz mmoja tu tangu Tangayika ijitawale ikiwa na Prime Minister Nyerere. Tukio kuu la kihistoria ni kwamba Huo mwezi karibi wiki mbili zilitawaliwa na NEC ya TANU ambayo ilipomalizika Nyerere akajiuzulu u-Prime Minister na akamuachia Rashid Kawawa.

Gavana-General Richard Turnbull asingeweza kutoa passport Nelson Mandela kirahisi.

Ukweli kuhusu ujio wa Mandela ni kwamba alikuja hapa December 1962, yaani mwaka huohuo, na akawepo kushuhudia Tanganyika ikipata status ya Republic. Hapo ndipo angeweza kupata passport ya Tanganyika na ndicho kilichotokea.

Sikuweza kuamini JK alipokuwa anasoma zile tarehe mbele ya dunia nzima, kwa sababu mtu aliyechimubka historia ya Mandela kokote ilikoandikwa anajua wazi kwamba Mandela alikuja hapa December 1962.

Na hata Mandela kwenye kitabu chake alichoandika kiitwacho A LONG WALK TO FREEDOM, ISBN: 9780349106533, pg. 345: {..we arrived in Dar Es Salaam the next day and I met Julius Nyerere, the newly independent country's firss President..}

Hivyo, wakati ule asingemkuta Nyerere akiwa President, na wakati pekee alipokuwa President ni kuanzia December 09, 1962.

Tuwe tunasoma kabla ya kwenda public.

----------------------------

Binafsi nashukuru kwa walio tunywesha maziwa kutoa sumu ya jamaa aliyesema Rais kakosea kumbe alikua yuko sahihi,binafsi nilisiktika sana kumbe nilinyweshwa sumu du,ikiwa alifungwa kabla ya hiyo december basi ukweli uko wazi tu kwamba Jk alikua sahihi!
 
Tukiwa tunaendelea kuangalia funeral rites za Nelson Mandela, mliosikiliza hotuba ya JK ni kwamba kaeleza umati kwamba Mandela alifika Tanganyika kwa mara ya kwanza January 1962. Kwamba safari hiyo alikuja kisiri akipitia Mbeya na kuingia Tanganyika. Kisha akapewa passport ya Tanzania kusafiria.

Hapa ndipo tunaposema viongoziwetu hawapekui vitabu au documents au hata kukumbuka tu. Ukweli ni kwamba histroia haisemi hivyo. Historia inasema kwamba January 1962 ulikuwa ni mweiz mmoja tu tangu Tangayika ijitawale ikiwa na Prime Minister Nyerere. Tukio kuu la kihistoria ni kwamba Huo mwezi karibi wiki mbili zilitawaliwa na NEC ya TANU ambayo ilipomalizika Nyerere akajiuzulu u-Prime Minister na akamuachia Rashid Kawawa.

Gavana-General Richard Turnbull asingeweza kutoa passport Nelson Mandela kirahisi.

Ukweli kuhusu ujio wa Mandela ni kwamba alikuja hapa December 1962, yaani mwaka huohuo, na akawepo kushuhudia Tanganyika ikipata status ya Republic. Hapo ndipo angeweza kupata passport ya Tanganyika na ndicho kilichotokea.

Sikuweza kuamini JK alipokuwa anasoma zile tarehe mbele ya dunia nzima, kwa sababu mtu aliyechimubka historia ya Mandela kokote ilikoandikwa anajua wazi kwamba Mandela alikuja hapa December 1962.

Na hata Mandela kwenye kitabu chake alichoandika kiitwacho A LONG WALK TO FREEDOM, ISBN: 9780349106533, pg. 345: {..we arrived in Dar Es Salaam the next day and I met Julius Nyerere, the newly independent country's firss President..}

Hivyo, wakati ule asingemkuta Nyerere akiwa President, na wakati pekee alipokuwa President ni kuanzia December 09, 1962.

Tuwe tunasoma kabla ya kwenda public.

----------------------------

“Mandela was just staying in Lobatse with me. We spent many days together, going out training in the bush. Some of the time Max Mlonyeni would join us. One day I received a phone call from Tanzania, telling me that they wanted Mandela there.” Keitseng thereafter accompanied Mandela to Tanzania via Kasane where they were assisted by Ducan Mlazie senior. Mandela was to attend the February 1962 Pan African Freedom Movement for East, Central and Southern Africa (PAFMECSA) meeting in Addis Ababa, Ethiopia. Traveling there in secret, Mandela met with Emperor Haile Selassie I, and gave hisspeech after Selaisse's at the conference. After the conference, he travelled to Cairo, Egypt, admiring the political reforms of President Gamal Abdel Nasser, and then went to Tunis, Tunisia, where President Habib Bourguiba gave him £5000 for weaponry. He proceeded to Morocco, Mali, Guinea, Sierra Leone, Liberia and Senegal, receiving funds from Liberian President William Tubman and Guinean President Ahmed Sékou Touré.

Habari yako ni SUMU! soma nukuu hiyo kutoka kwenye kitabu chake!
 
Vitu vingine vinatufanya tuonekane mazuzu, kwani rais huwa haipitii kwanza hotuba kabla ya kuisoma hadharani? Sasa washauri wake kazi zao ni nini?

Kwa jinsi alivyokuwa anaisoma ilionekana wazi hakupata mda wa kuipitia...hotuba ilikuwa nzuri lakini ilikosa mtu wa kuiwakilisha...itafute youtube
 
JF seek people discussing their parent nudity? hata kama hawajaulizwa?
 
So what? Kikwete is as human as we are. Au kuna miungu watu hapa isiyokosa, hata Nyerere naemuabudu alisema yeye si malaika ni binaadam a ana mabaya yake, yale mabaya acheni fateni mema.

Kama mnaota tarehe kaitaja vibaya, iacheni mfate hiyo nzuri.

MiTanzania bwana, inakaa hapa kupoteza wakati utafikiri hiyo tarehe itawasaidia kitu.

Tarehe ya mtoto wa "Mungu", Yesu Kristo mwenyewe ya kuzaliwa haijulikani akabambikiwa tarehe ya sikukuu ya kipagani 25 -12. Mbona hamuipigii kelele hiyo na mnaisherehekea dunia nzima?
umeongea vizuri ila sema na mleta mada kakosea kusema 'amepotoshwa', yaani kila siku akikosea wanasema ni wasaidizi ina maana yeye huwa aangalii na kutafiti kidogo!?

Mkuu ziwezi kukubishia kama umeshika kitabu au la, nina hakika na nilichoandika, na nilichosoma mimi inawezekana sio kitabu hicho ulichonacho mimi nimesoma "Long walk to Freedom: Auto bibliography of Nelson Mandela, na haya maelezo ya safari yake ya Dar Tanganyika yako sehemu ya 46 kuanzia ukurusa wa 176 na kitabu kizima kina kurasa 402! kama bado huniamini please download kutoka google utapata na utaelewa nasema nini!

VItabu vina unique code iitwayo ISBN. Nilidhani ubishi ungeisha kwenye post yangu ya kwanza na ndiyo maana niliweka ISBN nikijua na-argue na watu wanaoelewa nini maana ya ISBN.

Nikufundishe kitu kimoja, kama ukitaja ukurasa wa kitabu chochote basi lazima utaje ISBN yake maana inawezekana unazungumza edition ya zamani ambayo lazima ISBN ni tofauti.

All in all, utetezi wangu si kutunga na hata mnaopinga hamjikiti kwenye ukurasa huu. Rudi tena kwenye 9780349106533, ukurasa wa 345, halafu uje na argument mpya tuona kama utaenda tofauti na mimi.
 
Back
Top Bottom