Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna alichokosea JK yuko sawa huyo mleta mada ndio kakosea, tafadhali kama unaweza soma Autobibliography ya mzee Mandela ya "Long Walk to Freedom, ukurasa wa 175-177 anaielezea hii safari yake!Tukubali tu kwamba JK kanena vizuri suala la kukosea tarehe ni kitu kidogo kulingana na ujumbe alio ufikisha kwa dunia na SA.
Nadhani angesema pumba Wabaya wangefurahia sanaa. hongera jk kwa Kunadi TZ.
Pia hakuna mahali kokote Mandela nasema alipewa passport ya Tanzania achilia mbali ya Tanganyika, alichosema Mandela ni kuwa alipewa" Rudimentary document thatmerely said" this is Nelson Mandela the citizen of south Africa, he travelled from Tanganyika and he will return here..."Tukiwa tunaendelea kuangalia funeral rites za Nelson Mandela, mliosikiliza hotuba ya JK ni kwamba kaeleza umati kwamba Mandela alifika Tanganyika kwa mara ya kwanza January 1962. Kwamba safari hiyo alikuja kisiri akipitia Mbeya na kuingia Tanganyika. Kisha akapewa passport ya Tanzania kusafiria.
Hapa ndipo tunaposema viongoziwetu hawapekui vitabu au documents au hata kukumbuka tu. Ukweli ni kwamba histroia haisemi hivyo. Historia inasema kwamba January 1962 ulikuwa ni mweiz mmoja tu tangu Tangayika ijitawale ikiwa na Prime Minister Nyerere. Tukio kuu la kihistoria ni kwamba Huo mwezi karibi wiki mbili zilitawaliwa na NEC ya TANU ambayo ilipomalizika Nyerere akajiuzulu u-Prime Minister na akamuachia Rashid Kawawa.
Gavana-General Richard Turnbull asingeweza kutoa passport Nelson Mandela kirahisi.
Ukweli kuhusu ujio wa Mandela ni kwamba alikuja hapa December 1962, yaani mwaka huohuo, na akawepo kushuhudia Tanganyika ikipata status ya Republic. Hapo ndipo angeweza kupata passport ya Tanganyika na ndicho kilichotokea.
Sikuweza kuamini JK alipokuwa anasoma zile tarehe mbele ya dunia nzima, kwa sababu mtu aliyechimubka historia ya Mandela kokote ilikoandikwa anajua wazi kwamba Mandela alikuja hapa December 1962.
Na hata Mandela kwenye kitabu chake alichoandika kiitwacho A LONG WALK TO FREEDOM, ISBN: 9780349106533, pg. 345: {..we arrived in Dar Es Salaam the next day and I met Julius Nyerere, the newly independent country's firss President..}
Hivyo, wakati ule asingemkuta Nyerere akiwa President, na wakati pekee alipokuwa President ni kuanzia December 09, 1962.
Tuwe tunasoma kabla ya kwenda public.
----------------------------
Hakuna alichokosea JK yuko sawa huyo mleta mada ndio kakosea, tafadhali kama unaweza soma Autobibliography ya mzee Mandela ya "Long Walk to Freedom, ukurasa wa 175-177 anaielezea hii safari yake!
Mkuu ziwezi kukubishia kama umeshika kitabu au la, nina hakika na nilichoandika, na nilichosoma mimi inawezekana sio kitabu hicho ulichonacho mimi nimesoma "Long walk to Freedom: Auto bibliography of Nelson Mandela, na haya maelezo ya safari yake ya Dar Tanganyika yako sehemu ya 46 kuanzia ukurusa wa 176 na kitabu kizima kina kurasa 402! kama bado huniamini please download kutoka google utapata na utaelewa nasema nini!Acha kudannganya watu wakati kitabu chenyewe hujasoma. Nimeandika post hii nikiwa nimeshikilia kitabu hiki. Page unayosema yaani 175-177, Mandela anaeleza maisha yake kama lawyer na topic katika pge hizo ni STRUGGLE IN MY LIFE. Hapa hakuzungumzia hata ile hali ya u-ANC.
Rudi kule kwenye edition niliyoeleza kwamba safari yake iko page 345.
Tatizo la wewe na wenzako kwa manfaa yanu, hamtaji kabisa kwamba Mandela anazungumza nini katika page hii.
Acha kudannganya watu wakati kitabu chenyewe hujasoma. Nimeandika post hii nikiwa nimeshikilia kitabu hiki. Page unayosema yaani 175-177, Mandela anaeleza maisha yake kama lawyer na topic katika pge hizo ni STRUGGLE IN MY LIFE. Hapa hakuzungumzia hata ile hali ya u-ANC.
Rudi kule kwenye edition niliyoeleza kwamba safari yake iko page 345.
Tatizo la wewe na wenzako kwa manfaa yanu, hamtaji kabisa kwamba Mandela anazungumza nini katika page hii.
Dada Faizafoxy mimi naendelea kusisitiza si JK wala wasaidizi wake aliyekosea tarehe, kama kuna aliyekosea hapa basi ni huyu jamaa aliyeleta mada, au labda niseme tunatofautiana katika kuelewa kiingereza! Dada Faiza kama unaweza, ingia google download "Long Walk to Freedom: The Autobibliography of Nelson Mandela kimechapishwa na Little, Brown and Company ya USA, fungua Part SIX ya kitabu ina title BLACKPIMPERNEL (ukurasa 158) nenda sehemu ya 46 (ukurasa wa 176) utaupata ukweli wa hii safari na kama JK alikosea au la!So what? Kikwete is as human as we are. Au kuna miungu watu hapa isiyokosa, hata Nyerere naemuabudu alisema yeye si malaika ni binaadam a ana mabaya yake, yale mabaya acheni fateni mema.
Kama mnaota tarehe kaitaja vibaya, iacheni mfate hiyo nzuri.
MiTanzania bwana, inakaa hapa kupoteza wakati utafikiri hiyo tarehe itawasaidia kitu.
Tarehe ya mtoto wa "Mungu", Yesu Kristo mwenyewe ya kuzaliwa haijulikani akabambikiwa tarehe ya sikukuu ya kipagani 25 -12. Mbona hamuipigii kelele hiyo na mnaisherehekea dunia nzima?
Kitabu cha Mandela nilichokinukuu ni kile alichokiandika mwenyewe (auto-biograph). Narudia tena kama hamkusoma my original post kitabu chenyewe ni hiki {Long Walk To Freedom, ISBN: 9780349106533, pg. 345}.
Kumbuka kwamba unaponibishia basi hunibishii mimi bali unambishia na kusmema kwamba Mandela alikuwa muongo alidanganya ulimwengu kwenye ukurasa huu kuhusu ziara hii!
Na nyinyi someni ukurasa huo kabla ya kumtetea JK aliyekosea. Lakini mnapomtetea basi leteni source za mnayotetea kama nilivyofanya mimi. Mimi source yangu ni kauli ya Mandela mwenyewe, kweny ekitabu hicho kwenye ukurasa huo. Je, mnaobisha na washabiki wenu source yenu ni nini zaidi ya kututajia tarehe tu.
Cc: Mtanzania, Gamba la Nyoka, Kisugujira, Tusichoke, Sikajiji
So what? Kikwete is as human as we are. Au kuna miungu watu hapa isiyokosa, hata Nyerere naemuabudu alisema yeye si malaika ni binaadam a ana mabaya yake, yale mabaya acheni fateni mema.
Kama mnaota tarehe kaitaja vibaya, iacheni mfate hiyo nzuri.
MiTanzania bwana, inakaa hapa kupoteza wakati utafikiri hiyo tarehe itawasaidia kitu.
Tarehe ya mtoto wa "Mungu", Yesu Kristo mwenyewe ya kuzaliwa haijulikani akabambikiwa tarehe ya sikukuu ya kipagani 25 -12. Mbona hamuipigii kelele hiyo na mnaisherehekea dunia nzima?
Tukiwa tunaendelea kuangalia funeral rites za Nelson Mandela, mliosikiliza hotuba ya JK ni kwamba kaeleza umati kwamba Mandela alifika Tanganyika kwa mara ya kwanza January 1962. Kwamba safari hiyo alikuja kisiri akipitia Mbeya na kuingia Tanganyika. Kisha akapewa passport ya Tanzania kusafiria.
Hapa ndipo tunaposema viongoziwetu hawapekui vitabu au documents au hata kukumbuka tu. Ukweli ni kwamba histroia haisemi hivyo. Historia inasema kwamba January 1962 ulikuwa ni mweiz mmoja tu tangu Tangayika ijitawale ikiwa na Prime Minister Nyerere. Tukio kuu la kihistoria ni kwamba Huo mwezi karibi wiki mbili zilitawaliwa na NEC ya TANU ambayo ilipomalizika Nyerere akajiuzulu u-Prime Minister na akamuachia Rashid Kawawa.
Gavana-General Richard Turnbull asingeweza kutoa passport Nelson Mandela kirahisi.
Ukweli kuhusu ujio wa Mandela ni kwamba alikuja hapa December 1962, yaani mwaka huohuo, na akawepo kushuhudia Tanganyika ikipata status ya Republic. Hapo ndipo angeweza kupata passport ya Tanganyika na ndicho kilichotokea.
Sikuweza kuamini JK alipokuwa anasoma zile tarehe mbele ya dunia nzima, kwa sababu mtu aliyechimubka historia ya Mandela kokote ilikoandikwa anajua wazi kwamba Mandela alikuja hapa December 1962.
Na hata Mandela kwenye kitabu chake alichoandika kiitwacho A LONG WALK TO FREEDOM, ISBN: 9780349106533, pg. 345: {..we arrived in Dar Es Salaam the next day and I met Julius Nyerere, the newly independent country's firss President..}
Hivyo, wakati ule asingemkuta Nyerere akiwa President, na wakati pekee alipokuwa President ni kuanzia December 09, 1962.
Tuwe tunasoma kabla ya kwenda public.
----------------------------
Tukiwa tunaendelea kuangalia funeral rites za Nelson Mandela, mliosikiliza hotuba ya JK ni kwamba kaeleza umati kwamba Mandela alifika Tanganyika kwa mara ya kwanza January 1962. Kwamba safari hiyo alikuja kisiri akipitia Mbeya na kuingia Tanganyika. Kisha akapewa passport ya Tanzania kusafiria.
Hapa ndipo tunaposema viongoziwetu hawapekui vitabu au documents au hata kukumbuka tu. Ukweli ni kwamba histroia haisemi hivyo. Historia inasema kwamba January 1962 ulikuwa ni mweiz mmoja tu tangu Tangayika ijitawale ikiwa na Prime Minister Nyerere. Tukio kuu la kihistoria ni kwamba Huo mwezi karibi wiki mbili zilitawaliwa na NEC ya TANU ambayo ilipomalizika Nyerere akajiuzulu u-Prime Minister na akamuachia Rashid Kawawa.
Gavana-General Richard Turnbull asingeweza kutoa passport Nelson Mandela kirahisi.
Ukweli kuhusu ujio wa Mandela ni kwamba alikuja hapa December 1962, yaani mwaka huohuo, na akawepo kushuhudia Tanganyika ikipata status ya Republic. Hapo ndipo angeweza kupata passport ya Tanganyika na ndicho kilichotokea.
Sikuweza kuamini JK alipokuwa anasoma zile tarehe mbele ya dunia nzima, kwa sababu mtu aliyechimubka historia ya Mandela kokote ilikoandikwa anajua wazi kwamba Mandela alikuja hapa December 1962.
Na hata Mandela kwenye kitabu chake alichoandika kiitwacho A LONG WALK TO FREEDOM, ISBN: 9780349106533, pg. 345: {..we arrived in Dar Es Salaam the next day and I met Julius Nyerere, the newly independent country's firss President..}
Hivyo, wakati ule asingemkuta Nyerere akiwa President, na wakati pekee alipokuwa President ni kuanzia December 09, 1962.
Tuwe tunasoma kabla ya kwenda public.
----------------------------
Vitu vingine vinatufanya tuonekane mazuzu, kwani rais huwa haipitii kwanza hotuba kabla ya kuisoma hadharani? Sasa washauri wake kazi zao ni nini?
Kwa jinsi alivyokuwa anaisoma ilionekana wazi hakupata mda wa kuipitia...hotuba ilikuwa nzuri lakini ilikosa mtu wa kuiwakilisha...itafute youtube
umeongea vizuri ila sema na mleta mada kakosea kusema 'amepotoshwa', yaani kila siku akikosea wanasema ni wasaidizi ina maana yeye huwa aangalii na kutafiti kidogo!?So what? Kikwete is as human as we are. Au kuna miungu watu hapa isiyokosa, hata Nyerere naemuabudu alisema yeye si malaika ni binaadam a ana mabaya yake, yale mabaya acheni fateni mema.
Kama mnaota tarehe kaitaja vibaya, iacheni mfate hiyo nzuri.
MiTanzania bwana, inakaa hapa kupoteza wakati utafikiri hiyo tarehe itawasaidia kitu.
Tarehe ya mtoto wa "Mungu", Yesu Kristo mwenyewe ya kuzaliwa haijulikani akabambikiwa tarehe ya sikukuu ya kipagani 25 -12. Mbona hamuipigii kelele hiyo na mnaisherehekea dunia nzima?
Mkuu ziwezi kukubishia kama umeshika kitabu au la, nina hakika na nilichoandika, na nilichosoma mimi inawezekana sio kitabu hicho ulichonacho mimi nimesoma "Long walk to Freedom: Auto bibliography of Nelson Mandela, na haya maelezo ya safari yake ya Dar Tanganyika yako sehemu ya 46 kuanzia ukurusa wa 176 na kitabu kizima kina kurasa 402! kama bado huniamini please download kutoka google utapata na utaelewa nasema nini!