Nsaji Mpoki
JF-Expert Member
- Nov 5, 2007
- 396
- 68
Jk yuko ruaha national park siku ya tatu sasa. Sijui anataka kuja na lipi.
Jamani, yuko kwenye mapumziko mafupi ya katikati ya mwaka na familia yake
JK kaondoa Visa kwa watalii sasa kaanza yeye kutumia punguzo hilo kwa kuwa wa kwanza kuingia katika Mbuga hizo .
Jamani, yuko kwenye mapumziko mafupi ya katikati ya mwaka na familia yake
Kama kunakitoto kinamezea mkulu mate nitakaambia katoto kwa kusindikizwa na polisi kaenda Angaza kwanza kasimletee mkulu balaa.
Mapumziko baada ya kufanya kazi gani??????????
kazi ya uraisMapumziko baada ya kufanya kazi gani??????????
Walikwenda pamopja, lakini wanaweza kuwa hawapo pamoja maana hukawii kusikia... "nilimwagiza akaniwakilishe kwenye mazishi...."Kwani yuko na First lady wetu?
Walikwenda pamopja, lakini wanaweza kuwa hawapo pamoja maana hukawii kusikia... "nilimwagiza akaniwakilishe kwenye mazishi...."
naomba kuuliza,hivyo tanzania hakuna BIRTHRIGHT,irrespective of which passport you hold,mbona kwenye mbuga ya ngorongoro tunachargiwa viwango vya tourist rate wakati sisi ni wazawa hivyo kuzaliwa kwetu tanzania akuchukuliwi katika consideration-I know we need the forex but its shame you come all the way alaafu people unaokuja nao wanashangaa how come wewe unachargiwa kama sisi yaani you are a foreigner in the land of your birth. alaafu kwenye gate la kuingia ngorongoro hawa wafanyakazi wana ile attitude ya take it or leave it .PR yao ni poor sana.WELL no wonder KENYANS are sweeping us under the carpet