JK ndani ya Ruaha National Park

JK ndani ya Ruaha National Park

Nsaji Mpoki

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2007
Posts
396
Reaction score
68
Jk yuko Ruaha National Park siku ya tatu sasa. Sijui anataka kuja na lipi.
 
Jk yuko ruaha national park siku ya tatu sasa. Sijui anataka kuja na lipi.

Business as usual mkuu usitarajie lolote hapo, tulishaliwa siku nyingi. Nadhani ana mpango wa kumaliza mbuga zote hana la ziada hapo zaidi ya kuenjoy wanyama huku majority ya watz mlo mmoja ni issue. Kinachoniuma, moja ya wizara mbovu kabisa ni hiyo ya maliasili pamoja na kwamba jamaa haishi kutembelea hizo mbuga. Nakumbuka ameenda Serengeti na Mikumi, usikute Andrew Young amepata mwekezaji mwingine tumruhusu afukuze wanyama wetu kwa mradi fake wa hotel ndani ya mbuga kama wa Serengeti.
 
hicho ni kiini macho tu ndugu yangu maana hakuna jipya atakalo kuja nalo kaenda kwa mapumziko tu na kula bata
 
Ukweli utajulikana akiibuka kutoka huko. Aweza kutu-surprise na mapya!
 
Hivi mnavyomuona huyu mtu anaweza kuibuka na lolote la maana kweli!
 
JK kaondoa Visa kwa watalii sasa kaanza yeye kutumia punguzo hilo kwa kuwa wa kwanza kuingia katika Mbuga hizo .
 
Jamani, yuko kwenye mapumziko mafupi ya katikati ya mwaka na familia yake
 
JK kaondoa Visa kwa watalii sasa kaanza yeye kutumia punguzo hilo kwa kuwa wa kwanza kuingia katika Mbuga hizo .

........mmmmhhhhh.......tunaomba maelezo kidogo Mkuu...
 
Mkungo, Kweli Mkulu kaenda mapumziko tu. Ila ajapata totos kama ulivyosema. Kama kunakitoto kinamezea mkulu mate nitakaambia katoto kwa kusindikizwa na polisi kaenda Angaza kwanza kasimletee mkulu balaa.
 
Kama kunakitoto kinamezea mkulu mate nitakaambia katoto kwa kusindikizwa na polisi kaenda Angaza kwanza kasimletee mkulu balaa.

Statement yako iko very biased mkuu, so na yeye pia (msanii) utamshauri aende angaza au unajuwa status yake?
 
Mapumziko baada ya kufanya kazi gani??????????

Hii nimeipenda zaidi. Nadhani baada ya safari nyingi za kuvascodagama the world ikiwemo ya kwenda kuonana na Steven Seagal na kuchukuwa jezi ya basketball kwa Obama.
 
naomba kuuliza,hivyo tanzania hakuna BIRTHRIGHT,irrespective of which passport you hold,mbona kwenye mbuga ya ngorongoro tunachargiwa viwango vya tourist rate wakati sisi ni wazawa hivyo kuzaliwa kwetu tanzania akuchukuliwi katika consideration-I know we need the forex but its shame you come all the way alaafu people unaokuja nao wanashangaa how come wewe unachargiwa kama sisi yaani you are a foreigner in the land of your birth. alaafu kwenye gate la kuingia ngorongoro hawa wafanyakazi wana ile attitude ya take it or leave it .PR yao ni poor sana.WELL no wonder KENYANS are sweeping us under the carpet
 
Unaona sasa, tabia zake za kupenda safari zinatufanya tusimuamini kabisa!! Anaweza akawa ana jambo zuuri tu, labda likizo au kitu kingine! Lakini kwa tabiua zake, ni vigumu kumuamini.
 
Walikwenda pamopja, lakini wanaweza kuwa hawapo pamoja maana hukawii kusikia... "nilimwagiza akaniwakilishe kwenye mazishi...."

Mkuu ndo kastaili kako nini!Utoka na bi mkubwa home kuelekea kwenye ina pati mkifika njiani unamwambia mama nimekutoa kuua soo la makidi we katanue mbele tukutane home b'dae.ha ha ha ha ha h
 
naomba kuuliza,hivyo tanzania hakuna BIRTHRIGHT,irrespective of which passport you hold,mbona kwenye mbuga ya ngorongoro tunachargiwa viwango vya tourist rate wakati sisi ni wazawa hivyo kuzaliwa kwetu tanzania akuchukuliwi katika consideration-I know we need the forex but its shame you come all the way alaafu people unaokuja nao wanashangaa how come wewe unachargiwa kama sisi yaani you are a foreigner in the land of your birth. alaafu kwenye gate la kuingia ngorongoro hawa wafanyakazi wana ile attitude ya take it or leave it .PR yao ni poor sana.WELL no wonder KENYANS are sweeping us under the carpet

Mkuu check facts zako vizuri, au jamaa wamekuingiza mjini. Mwezi uliopita nilitia maguu pale Mikumi na washkaji wageni. Mimi mzawa nimelipa buku tu na gari 10,000 wale wageni wamelipa 25,000 each
 
Back
Top Bottom