Emman Raphy
Member
- Apr 26, 2013
- 7
- 0
guys......nendeni chuo....jkt haihami......u can join hata badae afta chuo kama ni issue ya ajira...bt education first....!!!......dats my view!
Na sisi ambao hatuja chaguliwa inakuaje sasa au tusubir awamu ya nne?
Ukakamavu ni muhimu, Bora kuanzia Jeshini then ndo Uende chuo
Ili jambo limenikumbusha sana civics ya 4m4. One among the causes of poverty is "Poor gvt planning" and by this issue the ccm gvt has proved its poorness!
Mtu kanitext kwenye simu nanukuu
"Breaking news..jkt wametangaza kuwa vijana ambao majna yao yametokea wameombwa radhi,kuwa n makosa ya kiufundi...vijana hawatoitajika kambin,waendelee na masomo mpaka pale watakapomalza ndipo wataenda kupitia jkt itakuwa n juni mpaka september 2016 na pia na ya 2017"
mwisho wa kunukuu
Mkuu Chona kuna kambi zingine utakuwa hujafanikiwa kupata PDF zake??? Plz tutupie humu maana web ya JKT haifunguki...e.g. Kigoma naona Bulombora alhali kuna wengine nasikia wamepangwa kambi zingine za Kigoma...Majina yao hayo hapo;
Nenden bwana mbona c tumeenda na juz ndo tumerud?
Mkuu Chona kuna kambi zingine utakuwa hujafanikiwa kupata PDF zake??? Plz tutupie humu maana web ya JKT haifunguki...e.g. Kigoma naona Bulombora alhali kuna wengine nasikia wamepangwa kambi zingine za Kigoma...
ni kwelii mkuu hata mm jina langu lipoowapumb #fu waliotoka jeshn ndo wameamua kutusalimia kwa kutudanganya hivi
Huuuuu ndo ushoga wa wanajeshi wao siwaendelee na maisha walozoea... ... Sas tunaacha kwenda Chuo hayo masomo yakuaje coz wengine wataendelea mbona usenge!! Huu hv tukiacha kwenda wote watajidokoa au.......!
mimi nimepangwa kigoma
ndo ivo nyie mnaenda january! af chuo MAY
Baada ya Mpango wa serikali kuwa vijana kupita Jeshi kwanza kabla ya kwenda vyuoni mpango ulioanza mwaka huu, tayar intakes mbili za vjana hao wamehtimu mafunzo hayo na intake ya pili wanehitimu Juz Sept 20, Huku vyuo vingi vya Serikali vkitaraji kufungua kati ya Octoba 12 na 14 na vngne vya PRIVATE vikiwa vna takrbani mwez vkiwa vmefunguliwa, JKT wamefanya Fyongo na kujitia upofu kwa Ku release MAJINA MAPYA YA FORM 6 leavers wanaotakiwa waende JESHI kama Intake ya Tatu, ambayo wanasema itaanza October 12,, huku vyuo navyo vikiwangoja hawa hawa Form 6, na wengine wakiwa vyuo vya Private tayari na wakiwa wanelipia Ada, sasa watatakiwa kuji withdraw vyuoni kwenda JKT, huku swali kubwa likiwa Ni
√ -VYUO vya Serikali vtafunguliwa lini?
√-Je ni baada ya haya mafunzo ya intake ya 3?
√-Je na hao walokuwa vyuoni tayari na wallikuwa washalipa Ada tayari itakuwaje?
Ivi inakuwaje Taasis mbili za serikali kifanya Maamuzi au mipango bila kushirikishana?
MSAADA KWA MWENYE KUJUA HILI.