JKT awamu ya tatu Septemba 28, 2013

JKT awamu ya tatu Septemba 28, 2013

Ukakamavu ni muhimu, Bora kuanzia Jeshini then ndo Uende chuo

We si fara tu na inaonekana umesoma kwa bahati mbya... Au wa Mara nini ... Hata ukienda jeshini bado utarudi uraiani ukakamavu na elimu bora nini ?? jibu we Shoga
 
Mtu kanitext kwenye simu nanukuu

"Breaking news..jkt wametangaza kuwa vijana ambao majna yao yametokea wameombwa radhi,kuwa n makosa ya kiufundi...vijana hawatoitajika kambin,waendelee na masomo mpaka pale watakapomalza ndipo wataenda kupitia jkt itakuwa n juni mpaka september 2016 na pia na ya 2017"

mwisho wa kunukuu

watakutext sana kijana..ila para lazima unyolewe
 
Majina yao hayo hapo;
Mkuu Chona kuna kambi zingine utakuwa hujafanikiwa kupata PDF zake??? Plz tutupie humu maana web ya JKT haifunguki...e.g. Kigoma naona Bulombora alhali kuna wengine nasikia wamepangwa kambi zingine za Kigoma...
 
Mkuu Chona kuna kambi zingine utakuwa hujafanikiwa kupata PDF zake??? Plz tutupie humu maana web ya JKT haifunguki...e.g. Kigoma naona Bulombora alhali kuna wengine nasikia wamepangwa kambi zingine za Kigoma...

mimi nina pdf zote tatizo natumia simu so siwezi kutupia hapa
 
How can u hate Tanzaniaa. n like to TCU.. Bora University.. Because that much broad.
 
ukwaan haisaidii lolote nenda ukajazwe uzalendo mambo yote yatakuwa pouwaaaaa tu![/QUOTE]

Cjakusoma kijana
Coz sera tao ni Hi÷
Uzalishaji ni 70%
Mafunzo ya kijesh ni 30%
Aya uzalendo wko una % ngap?
 
ukwaan haisaidii lolote nenda ukajazwe uzalendo mambo yote yatakuwa pouwaaaaa tu![/QUOTE]

Cjakusoma kijana
Coz sera yao ni Hi÷
Uzalishaji ni 70%
Mafunzo ya kijesh ni 30%
Aya uzalendo wko una % ngap?
 
Huuuuu ndo ushoga wa wanajeshi wao siwaendelee na maisha walozoea... ... Sas tunaacha kwenda Chuo hayo masomo yakuaje coz wengine wataendelea mbona usenge!! Huu hv tukiacha kwenda wote watajidokoa au.......!

...du! dogo punguza jazba maana inakupelekea kutumia lugha isiyofaa!!
 
Baada ya Mpango wa serikali kuwa vijana kupita Jeshi kwanza kabla ya kwenda vyuoni mpango ulioanza mwaka huu, tayar intakes mbili za vjana hao wamehtimu mafunzo hayo na intake ya pili wanehitimu Juz Sept 20, Huku vyuo vingi vya Serikali vkitaraji kufungua kati ya Octoba 12 na 14 na vngne vya PRIVATE vikiwa vna takrbani mwez vkiwa vmefunguliwa, JKT wamefanya Fyongo na kujitia upofu kwa Ku release MAJINA MAPYA YA FORM 6 leavers wanaotakiwa waende JESHI kama Intake ya Tatu, ambayo wanasema itaanza October 12,, huku vyuo navyo vikiwangoja hawa hawa Form 6, na wengine wakiwa vyuo vya Private tayari na wakiwa wanelipia Ada, sasa watatakiwa kuji withdraw vyuoni kwenda JKT, huku swali kubwa likiwa Ni

√ -VYUO vya Serikali vtafunguliwa lini?
√-Je ni baada ya haya mafunzo ya intake ya 3?
√-Je na hao walokuwa vyuoni tayari na wallikuwa washalipa Ada tayari itakuwaje?

Ivi inakuwaje Taasis mbili za serikali kifanya Maamuzi au mipango bila kushirikishana?

MSAADA KWA MWENYE KUJUA HILI.

sio vyuo vya private 2 hata gvmnt vmeshafungua mfano muccobs taw la sua kngne udom wametoa 4th batch n wanafungua tarh 12 octbr
 
Back
Top Bottom