Chagueni moja madogo shule au jeshi
multiple choice tena??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chagueni moja madogo shule au jeshi
Mimi siwaelewi kabisa. Hivi hawa vijana siwanatakiwa kwenda vyuo mwezi wa kumi? Au inakuaje hapo? Bora wangesema mapema kwamba kidato cha 6 wanapumzika mwaka hili kwenda JKT kuliko kuwagawa vijana namna hii.
Ngoja tuone wanasemaje wahusika.
multiple choice tena??
jamani nimeona majina ya jkt ila kwa wale ninaowajua sikuona jina hata moja kuna baadhi ya wengine wamesema wale wote waliochaguliwa vyuo vya gvt ndio wataenda huko na majina ya waliokosa mikopo yametoka xo anaejua hili zaidi yangu bhac atoe ufafanuzi zaidi ila majina ya jkt nimeyaona wana jf nawatakia usomaj mwema nlchokiandka kna ukwel wa dhat tafakari
Mtu kanitext kwenye simu nanukuu
"Breaking news..jkt wametangaza kuwa vijana ambao majna yao yametokea wameombwa radhi,kuwa n makosa ya kiufundi...vijana hawatoitajika kambin,waendelee na masomo mpaka pale watakapomalza ndipo wataenda kupitia jkt itakuwa n juni mpaka september 2016 na pia na ya 2017"
mwisho wa kunukuu
Jeshi huwa hawabahatish na kukurupuka waongo hao
MSAADA NICHEKIENI MAJINA HAYA
1.ally A ally
2.Happiness Marco
nitashukru sana
TABORA URAMBO DAY SECONDARY SCHOOL S0754-0516 HAPPINESS MARCO F amechaguliwa kanembwa - kibondo mkoa wa kigoma.
Ally A Ally hajupo wapo Ally M Ally na wengine so kama vp nitajie xul aliyomaliza 4m 6 na mkoa wa xul ilipo nikusaidie
Mtu kanitext kwenye simu nanukuu
"Breaking news..jkt wametangaza kuwa vijana ambao majna yao yametokea wameombwa radhi,kuwa n makosa ya kiufundi...vijana hawatoitajika kambin,waendelee na masomo mpaka pale watakapomalza ndipo wataenda kupitia jkt itakuwa n juni mpaka september 2016 na pia na ya 2017"
mwisho wa kunukuu
nchkie s0133/0817 pia s0125/0116