JKT mbona watu wa degree hamuawachukui mara nyingi wanatoboa mkataba

JKT mbona watu wa degree hamuawachukui mara nyingi wanatoboa mkataba

Nanukuu:
"Pia tatizo letu kubwa ni kutokukubaliana na ukweli.
Ni ukweli kwamba yatupasa tubadilike tuishi kulingana wakati tulionao sasa".

Huu 👆 👆 ndo ukweli wenyewe.
Kazi ya kusoma ni hatua mojawapo tu ili uweze kupambana vizuri zaidi kuipata Ajira. Kuipata ajira serikalini, kwenye Taasisi au binafsi ni kazi ngumu (pengine hata kuzidi)kama ilivyokuwa kazi ngumu kusoma chuoni -Dip; Degree au .......Vijana watambue na wakubaliane na muda tulionao- Hakuna mtu atakayefanya kazi ya kukutafutia wewe Ajira. Kwa wakati tulio nao, kulia-lia na kulaumu haisaidii. Pambana mwenyewe -ukipata mtu wa kukusaidia (Connection) ushukuru sana.
Vijana wakumbuke kwamba huko chuoni walienda kujipatia au kusomea Ujuzi fulani. Ujuzi huo ni mali yako mwenyewe hakuna atakayekuondolea au kukunyang'anya ujuzi huo. Sasa ni wapi utautumia ujuzi ulioupata ni juhudi zako binafsi zinahitajiaka. Ukiamua kuuweka ujuzi wako uvunguni ni ruksa, ukiamua kuingia mtaani kwenye jamii na kuisaka fursa ni ruksa pia. Kazi ni kwako "kusuka au kunyoa".
Ni hayo tuu.
Ni Sawa, angalia na maslai ya Taifa..
Ili Taifa likue kiuchumi kwa ujumla wake serekali inapaswa kushughulika haya mambo
 
Ni Sawa, angalia na maslai ya Taifa..
Ili Taifa likue kiuchumi kwa ujumla wake serekali inapaswa kushughulika haya mambo
Ni kweli kabisa ila kikwazo kilichopo ni uwiano wa wanaohitimu i.e. wenye sifa na ujuzi na idadi ya nafasi za ajira zillizopo. Wahitimu ni wengi zaidi ya nafasi za ajira/kazi . Serikali ina idadi fixed ya professionals wanaohitajika ilhali vyuo ni vingi (Govt. na Private) na vinazalisha wasomi kwa wingi kila mwaka.
 
Kwa miaka zaidi ya minne mfululizo wale vijana walioko makambini hamuwachukui wenye degree kwa ajili ya ajira
Na kama mkiwachukua huwa mnadonoa tu
Ila wa form 4 na form 6 ndo mnawa pendelea
Hivi majui kwamba mnazidi kuongeza wimbi la jobless wengi wenye degree mtaani
tunaomba mliangalie hili swala la ajira kwa hawa vijana
Kuna watu wana ujuzi mkubwa sna
Watu wa science na wengineo lakini mnawaachiwa wanarudi mtaani
Ni ombi langu muangalie hili swala baadae litakuwa ni bomu
Jkt hawatoi ajira za muda mrefu, na ule mkataba wanautoa ni wkt umejitolea. Degree yako hawahitaji muda ule since wao ni branch ya tpdf, only tpdf ndio inatoa full ajira
 
Jkt hawatoi ajira za muda mrefu, na ule mkataba wanautoa ni wkt umejitolea. Degree yako hawahitaji muda ule since wao ni branch ya tpdf, only tpdf ndio inatoa full ajira
Hawatoi ajira kwa degree hata hao tpdf
Si umeona tangazo juzi😭😭😭😭
 
Kwa miaka zaidi ya minne mfululizo wale vijana walioko makambini hamuwachukui wenye degree kwa ajili ya ajira
Na kama mkiwachukua huwa mnadonoa tu
Ila wa form 4 na form 6 ndo mnawa pendelea
Hivi majui kwamba mnazidi kuongeza wimbi la jobless wengi wenye degree mtaani
tunaomba mliangalie hili swala la ajira kwa hawa vijana
Kuna watu wana ujuzi mkubwa sna
Watu wa science na wengineo lakini mnawaachiwa wanarudi mtaani
Ni ombi langu muangalie hili swala baadae litakuwa ni bomu
Nchi hii walinzi wote ni wale f4 felia
 
Hawatoi ajira kwa degree hata hao tpdf
Si umeona tangazo juzi😭😭😭😭
Una wito huo au ni tatizo la ajira tu?
Ukiwa na malengo na maono huwezi kutamani kuajiriwa na majeshi yetu
 
Hao wasomi ndio mlipaswa mchukue wengi muwasambaze kwenye vyuo mbalimbali za kijeshi huko Kwa watu wenye ujuzi duniani, na wengine kwenye mavyuo makubwa ya masualal ya usalama.

Wasomi hawaepukiki Kwasasa kwenye majeshi yetu ili kuendana na Dunia ya watu wenye kutumia akili na mahesabu mengi kwenye kuleta matokeo.

Vijana hawa wenye elimu ndio wanapaswa kuendelezwa na kutumika kuleta mageuzi kwenye majeshi yetu hasa kwenye technolojia na kuyafanya majeshi kuwa more productive na sio kubaki makambini tu wakifagia na kufyeka.

Kwasasa majeshi yalipaswa kuajili vijana wengi sana na kuwaingiza kwenye mifumo mbalimbali.
 
Back
Top Bottom