JKT mbona watu wa degree hamuawachukui mara nyingi wanatoboa mkataba

Ni Sawa, angalia na maslai ya Taifa..
Ili Taifa likue kiuchumi kwa ujumla wake serekali inapaswa kushughulika haya mambo
 
Ni Sawa, angalia na maslai ya Taifa..
Ili Taifa likue kiuchumi kwa ujumla wake serekali inapaswa kushughulika haya mambo
Ni kweli kabisa ila kikwazo kilichopo ni uwiano wa wanaohitimu i.e. wenye sifa na ujuzi na idadi ya nafasi za ajira zillizopo. Wahitimu ni wengi zaidi ya nafasi za ajira/kazi . Serikali ina idadi fixed ya professionals wanaohitajika ilhali vyuo ni vingi (Govt. na Private) na vinazalisha wasomi kwa wingi kila mwaka.
 
Jkt hawatoi ajira za muda mrefu, na ule mkataba wanautoa ni wkt umejitolea. Degree yako hawahitaji muda ule since wao ni branch ya tpdf, only tpdf ndio inatoa full ajira
 
Jkt hawatoi ajira za muda mrefu, na ule mkataba wanautoa ni wkt umejitolea. Degree yako hawahitaji muda ule since wao ni branch ya tpdf, only tpdf ndio inatoa full ajira
Hawatoi ajira kwa degree hata hao tpdf
Si umeona tangazo juzi😭😭😭😭
 
Nchi hii walinzi wote ni wale f4 felia
 
Hawatoi ajira kwa degree hata hao tpdf
Si umeona tangazo juzi😭😭😭😭
Una wito huo au ni tatizo la ajira tu?
Ukiwa na malengo na maono huwezi kutamani kuajiriwa na majeshi yetu
 
Hawatoi ajira kwa degree hata hao tpdf
Si umeona tangazo juzi😭😭😭😭
Tpdf inaajiri pia but that was 2010s, where ilichukua wataalam wengi wenye degree kutoka kitaa. Since then imekuwa ni rare, but they do depend na mahitaji ya muda huo
 
Hao wasomi ndio mlipaswa mchukue wengi muwasambaze kwenye vyuo mbalimbali za kijeshi huko Kwa watu wenye ujuzi duniani, na wengine kwenye mavyuo makubwa ya masualal ya usalama.

Wasomi hawaepukiki Kwasasa kwenye majeshi yetu ili kuendana na Dunia ya watu wenye kutumia akili na mahesabu mengi kwenye kuleta matokeo.

Vijana hawa wenye elimu ndio wanapaswa kuendelezwa na kutumika kuleta mageuzi kwenye majeshi yetu hasa kwenye technolojia na kuyafanya majeshi kuwa more productive na sio kubaki makambini tu wakifagia na kufyeka.

Kwasasa majeshi yalipaswa kuajili vijana wengi sana na kuwaingiza kwenye mifumo mbalimbali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…