JKT Ruvu kama hamkuwa tayari kupokea watoto wetu kulikuwa hamna haja ya kusumbua wazazi

Jeshi haliendeshwi kisiasa km hyo serikali yenu ya kijiji, huku ni nidhamu tu, mwisho ulikuwa tar 11.06.2023.
Hahaahaah....nimecheka sana, ety jeshi haliendeshwi kisiasa....nashindwa kuongea baadhi ya mambo kwasababu sjui umri wako wenda nikakukosea adabu...

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
 
Hao watoto wako wapi weka picha tuhesabu ili tujue ukubwa wa tatizo
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] inategemea na watu was karibu wa mgonjwa, mazingira ya kutoka kwa mgonjwa had hospital
Mgonjwa anaenda mazoezini kwel hakuna wagonjwa pale
 
Naamini JESHINI, ni Nidhamu sana, Ila kite do cha kupokea "selectively" kinaumiza

Tanzania Rushwa/Kujuana kila mahali

Ila bora mwanao mpeleke Veta akaosome Plumber/Umeme/Udereva/NIT udereva muda huu kwa miezi 3 utakuja kushukuru naadae
 
Point kabisa ya kuanzishia uzi.. hela zinapotea tuu
 
Nimeona wazazi wanalalamika kuwa watoto wao wamekataliwa kupokewa Hapo JKT Ruvu. Nashauri kama JKT nao hawajielewi hawawezi jiendesha wapewe DP World tu waiendeshe. Hakuna kucheka cheka na watu kwa sasa.
 
Naamini JESHINI, ni Nidhamu sana, Ila kite do cha kupokea "selectively" kinaumiza

Tanzania Rushwa/Kujuana kila mahali

Ila bora mwanao mpeleke Veta akaosome Plumber/Umeme/Udereva/NIT udereva muda huu kwa miezi 3 utakuja kushukuru naadae
Kwakweli kama unataka kujua kwamba Tz kila sekita imeoza njoo ujionee hapa jkt, jinsi wanavo pokea watu kwa kujuana, najuliza hu ndo uzalendo wa kufundisha watoto wetu, najutia kumpeleka ndg yangu hamna lolote rushwa, kujuana na majigambo, hi nchi muache mama awape wanao weza kutuletea faida kama jkt ni shida kiasi hiki, je zile sehemu nyeti kama bandari, TRA, uhamiaji, Tanapa, hapa nimejifunza kitu sana.
 
Naamini JESHINI, ni Nidhamu sana, Ila kite do cha kupokea "selectively" kinaumiza

Tanzania Rushwa/Kujuana kila mahali

Ila bora mwanao mpeleke Veta akaosome Plumber/Umeme/Udereva/NIT udereva muda huu kwa miezi 3 utakuja kushukuru naadae
Chuo cha udereva NIT kiko wapi hapa dar es salaam? Mwenye kujua taratibu zao naomba muongozo.
 
Kama wewe ni mzazi
Ulizaaa kwa uchungu mtoto wa kike.
Yupo getini tangu alfajiri.

Na unataka alale getini usiku wote ati unasubiri msaada wa serikali kukusaidia ili aingie ndani.

Basi napenda kukufahamisha yafuatayo

Huko ndani binti yako anaitwa morali na pia ukapimwe akili kama ipo sawa.

Kwa nyongeza tuu. Kama mwisho ilikiwa saa sita usiku jana anasubiri nini getini?
Au wanagawa ajila humo ndani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…