- Thread starter
- #41
Hamna wakutuma fungu mafisadi wengi japo mama anaweza kua na nia ya kutuma hiyo pesaungeomba wangekutumia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hamna wakutuma fungu mafisadi wengi japo mama anaweza kua na nia ya kutuma hiyo pesaungeomba wangekutumia
Hahaahaah....nimecheka sana, ety jeshi haliendeshwi kisiasa....nashindwa kuongea baadhi ya mambo kwasababu sjui umri wako wenda nikakukosea adabu...Jeshi haliendeshwi kisiasa km hyo serikali yenu ya kijiji, huku ni nidhamu tu, mwisho ulikuwa tar 11.06.2023.
Shortly, siasa ime take over in almost everything!Jeshi haliendeshwi kisiasa km hyo serikali yenu ya kijiji, huku ni nidhamu tu, mwisho ulikuwa tar 11.06.2023.
Hao watoto wako wapi weka picha tuhesabu ili tujue ukubwa wa tatizoIna kera inakera kweli kweli wanafunzi wamesafiri kutoka mikaoni tangu jana ku report Jkt kwa mjibu wa sheria, wamefika alfajiri mna wakata eti wame chelewa mwisho ulikua jana saa sita usiku, nani asie jua usumbufu wa usafiri hapa nchini mtu atoke Geita una tegemea kufika Dar siku hiyo hiyo kweli?
Kama nafasi zomesha uzwa tuambieni watoto tuwatumie nauli warudi makwao kuliko kuka getini tangu alfajiri, hi nchi ina matatizo kweli kweli kila sehemu na hilo mpaka mtu ajuane na kiongozi wa juu ndo mwanae apokelewe viongozi ni wasumbufu bora wawekezaji weje tu.
Ni wengi picha isaidie tuta wavictimize bure, hujui jeshe letu hutumia akili ndogo nguvu nyingiHao watoto wako wapi weka picha tuhesabu ili tujue ukubwa wa tatizo
Mgonjwaa anachelewa hospitali kweli🤣Ndo yenyewe.
😄walemavu mkuu wa kuonekana sio watoto wa mama salmaHii hoja yako ilinifanya nikaogopa kuichakata mbususu Moja,
Kwa sababu ya hii kasumba miaka 20 iliyo pita.....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] inategemea na watu was karibu wa mgonjwa, mazingira ya kutoka kwa mgonjwa had hospitalMgonjwaa anachelewa hospitali kweli[emoji1787]
Mgonjwa anaenda mazoezini kwel hakuna wagonjwa pale[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] inategemea na watu was karibu wa mgonjwa, mazingira ya kutoka kwa mgonjwa had hospital
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hatarii tupuu.Mgonjwa anaenda mazoezini kwel hakuna wagonjwa pale
Point kabisa ya kuanzishia uzi.. hela zinapotea tuuNaamini JESHINI, ni Nidhamu sana, Ila kite do cha kupokea "selectively" kinaumiza
Tanzania Rushwa/Kujuana kila mahali
Ila bora mwanao mpeleke Veta akaosome Plumber/Umeme/Udereva/NIT udereva muda huu kwa miezi 3 utakuja kushukuru naadae
Kwakweli kama unataka kujua kwamba Tz kila sekita imeoza njoo ujionee hapa jkt, jinsi wanavo pokea watu kwa kujuana, najuliza hu ndo uzalendo wa kufundisha watoto wetu, najutia kumpeleka ndg yangu hamna lolote rushwa, kujuana na majigambo, hi nchi muache mama awape wanao weza kutuletea faida kama jkt ni shida kiasi hiki, je zile sehemu nyeti kama bandari, TRA, uhamiaji, Tanapa, hapa nimejifunza kitu sana.Naamini JESHINI, ni Nidhamu sana, Ila kite do cha kupokea "selectively" kinaumiza
Tanzania Rushwa/Kujuana kila mahali
Ila bora mwanao mpeleke Veta akaosome Plumber/Umeme/Udereva/NIT udereva muda huu kwa miezi 3 utakuja kushukuru naadae
Chuo cha udereva NIT kiko wapi hapa dar es salaam? Mwenye kujua taratibu zao naomba muongozo.Naamini JESHINI, ni Nidhamu sana, Ila kite do cha kupokea "selectively" kinaumiza
Tanzania Rushwa/Kujuana kila mahali
Ila bora mwanao mpeleke Veta akaosome Plumber/Umeme/Udereva/NIT udereva muda huu kwa miezi 3 utakuja kushukuru naadae