rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 16,784
- 23,312
Muamala umetembea hapo. Wakati wa mapumziko.Kipa kawapa goli utopolo kama kawaida watashangilia sare
yule beki wake kidogo amdundeMuamala umetembea hapo. Wakati wa mapumziko.
Kipa anampa mpira mfungaji na anafunga
Wake hapa, walipiga yowe sana utafikiri wanakaribia kubeba ubingwa
Litimu la kijani halina hata dalili ya ubingwa wa VPL wala FA
Yani kama yule Lamine ni bondia kabisa yuleHalafu Utopolo Deportivo de Mkunungu si timu ya mpira, hiki ni Chama cha Ngumi Tanzania.
Mmeona Ngumi?
Hawana ujasili wa kuja hapaNawataka wale washirika wa Utopolo, hivi walidhani mpira utashinda siku zote eeeh
Barcelona yenyewe haishindi kila siku itakuwa hawa Utopolo de Deportivo de Mkunungu.
Mpwa Nakuheshimu sana..
Ndio mpira wa Utopolo wakizidiwa lazima wapige mateke. Kama ya Lamine MoroYani kama yule Lamine ni bondia kabisa yule
SAMAHAN KAMA NTAWAGUSAUtopolo na wale mamluki wa Simba SC sijawaona hapa, wao kazi yao kuwashwa tu akicheza Simba SC
Tuliwaambia mpira huwezi kushinda kila siku Utopolo nyie
Habari kutoka Utopolo zinazema;Yani kama yule Lamine ni bondia kabisa yule
Kama mnaelewa hivyo sasa kelele za nini? Mlichonga sana Simba SC kutoka sare..Endeleeni kushangilia huenda mkabeba ubingwaHaya ni matokeo ya kawaida kwenye mpira hakuna geni kwahiyo nimefunga mjadala