JKT Tanzania vs Yanga

JKT Tanzania vs Yanga

Halafu Utopolo Deportivo de Mkunungu si timu ya mpira, hiki ni Chama cha Ngumi Tanzania.

Mmeona Ngumi?
 
Kandambili na mpira wapi na wapi? Wanapania kumfunga mnyama tu kisha WANABWETEKA wanadhani wameshachukua UBINGWA 😂😂😂😂😂

Wake hapa, walipiga yowe sana utafikiri wanakaribia kubeba ubingwa

Litimu la kijani halina hata dalili ya ubingwa wa VPL wala FA
 
Nawataka wale washirika wa Utopolo, hivi walidhani mpira utashinda siku zote eeeh

Barcelona yenyewe haishindi kila siku itakuwa hawa Utopolo de Deportivo de Mkunungu.
Hawana ujasili wa kuja hapa
 
S
Utopolo na wale mamluki wa Simba SC sijawaona hapa, wao kazi yao kuwashwa tu akicheza Simba SC

Tuliwaambia mpira huwezi kushinda kila siku Utopolo nyie
SAMAHAN KAMA NTAWAGUSA
MUWE MAKINI SANA NA LIGI AMBAZO TAYARI BINGWA ANAJULIKANA WALE WA BETTING MTNAIELEWA HILI

VILABU NDIOMDAWAOO WAKURUDISHA GAWIO KUPITIA MAKAMPUNI YA BETTING SISEMI KWA UBAYA.... WALE WALIOSOMA TABIRI ZANGU ZA SIMBA NA YANGA ZOTE ZILITOKEA NIGERIA JIULIZE AMEJUA WAPI HAYA YA VPL

LA MAANA MPIRA YSIUPENDE KUPITILIZA UKAWA DHAMBI ITAKUTESA UPENDE KIASI
WAPOLEO WANAOKIMBILIA MANCITT NATOA ANGALIZO TU

WALE WA GRP....... WANAELEWA FT YANG X TOKA SAAA TANO ASBH MSINIULIZE ZAIDI

ALL THE BEST
 
Yani kama yule Lamine ni bondia kabisa yule
Habari kutoka Utopolo zinazema;

Lamine Moro anapewa adhabu ya kukatwa mshahara wake Shs 1,000,000 kwa mchezo usiokuwa wa uungwana dhidi ya Mchezaji Mwinyi Kazimoto na kusababisha kutolewa nje kwa kadi nyekundu

Sasa mtaelewa nini maana ya Utopolo
 
Haya ni matokeo ya kawaida kwenye mpira hakuna geni kwahiyo nimefunga mjadala
 
Viongozi wa Simba SC nawapongeza sana, Lamine Moro aliachwa licha ya kutofiti katika mfumo wa Simba SC vilevile hana nidhamu kabisa.

Mmeona uharifu kwenye soka?
 
Haya ni matokeo ya kawaida kwenye mpira hakuna geni kwahiyo nimefunga mjadala
Kama mnaelewa hivyo sasa kelele za nini? Mlichonga sana Simba SC kutoka sare..Endeleeni kushangilia huenda mkabeba ubingwa
 
Back
Top Bottom