Jjmwaipopo
Senior Member
- Jan 11, 2020
- 189
- 122
Simba/Bodaboda/Mbumbumbu hii haikuwa mechi ya kwenu lakini kwenye mitandao mmeishupalia utafikiri mlikuwa mnacheza ninyi zile hasira za Morrisson bado zinawapapasa hivyo mnakaribu kupoteza lengo kwa mchezo usiowahusu
Habari kutoka Utopolo zinazema;
Lamine Moro anapewa adhabu ya kukatwa mshahara wake Shs 1,000,000 kwa mchezo usiokuwa wa uungwana dhidi ya Mchezaji Mwinyi Kazimoto na kusababisha kutolewa nje kwa kadi nyekundu
Sasa mtaelewa nini maana ya Utopolo
Simba/Bodaboda/Mbumbumbu hii haikuwa mechi ya kwenu lakini kwenye mitandao mmeishupalia utafikiri mlikuwa mnacheza ninyi zile hasira za Morrisson bado zinawapapasa hivyo mnakaribu kupoteza lengo kwa mchezo usiowahusu
Wakumbushe na ile ya Wawa dhidi ya Nchimbi! Au mmesahau?Tff muongezeeni adhabu beki wa utopolo lamine
Jamaa goli alilofungwa linatakiwa liwe la msimi ,kapiga cross ikiwa goli moja kwa moja
Afu wakumbushie ile ya Lamina dhidi ya mchezaji wa mbeya cityWakumbushe na ile ya Wawa dhidi ya Nchimbi! Au mmesahau?
Kimahesabu Simba anatakiwa ashinde mechi mbili tu, azam na utopolo katika mechi tisa zilizobaki hawana uwezo wakishinda zaidi ya mechi sitaUtopolo tunawakumbusha tu 72/55 inasomeka hivyo.
Halafu mnapiga hesabu za ubingwa endeleeni kushangilia sare ya Simba na ya leo.
Hata wewe ukikumbusha sio mbaya , pia nakumbusha lamine kule mbeya alifanya ujinga kama wa leo.Wakumbushe na ile ya Wawa dhidi ya Nchimbi! Au mmesahau?
Ila picha hii Vyura [emoji196] [emoji196] [emoji196] FC wanatia aibu. Looh!!!BONG'OA FCView attachment 1481542
Siyo kwamba ni mechi 2 na dro 2 au mechi 3
[/QUOT najua hilo lkn najua lazma yanga na azam watadondosha point tu katika mechi tisa zilizobaki ndio maana nkasema mechi mbili tu, naamini hata Simba akishinda mechi moja azam na yanga hawawezi kushinda mechi zaidi ya sita kati ya tisa zilizobaki