JKT Tanzania vs Yanga

JKT Tanzania vs Yanga

Simba/Bodaboda/Mbumbumbu hii haikuwa mechi ya kwenu lakini kwenye mitandao mmeishupalia utafikiri mlikuwa mnacheza ninyi zile hasira za Morrisson bado zinawapapasa hivyo mnakaribu kupoteza lengo kwa mchezo usiowahusu
 
Anayeongoza ligi unamfahamu we chura
Simba/Bodaboda/Mbumbumbu hii haikuwa mechi ya kwenu lakini kwenye mitandao mmeishupalia utafikiri mlikuwa mnacheza ninyi zile hasira za Morrisson bado zinawapapasa hivyo mnakaribu kupoteza lengo kwa mchezo usiowahusu
 
Fay Toto ana nidhamu mbovu sana pia ,yeye huwa kwenye rafu ,foul na ugomvi lazima awepo.Ile foul ilipofanyika refa alishapiga filimbi vurungu isingekwepo ,yeye anaenda kumsukuma mchezaji at the end wachezaji wanaanza kusukumana na vurugu kutokea , Fay toto kwenye nidhamu ni wa hovyo sana
Habari kutoka Utopolo zinazema;

Lamine Moro anapewa adhabu ya kukatwa mshahara wake Shs 1,000,000 kwa mchezo usiokuwa wa uungwana dhidi ya Mchezaji Mwinyi Kazimoto na kusababisha kutolewa nje kwa kadi nyekundu

Sasa mtaelewa nini maana ya Utopolo
 
Michael Aidan Pius amewafunga Utopolo kama yupo kwenye uwanja wa Stadio Olimpico, yaani mambo ya Ulaya yale.
 
Simba/Bodaboda/Mbumbumbu hii haikuwa mechi ya kwenu lakini kwenye mitandao mmeishupalia utafikiri mlikuwa mnacheza ninyi zile hasira za Morrisson bado zinawapapasa hivyo mnakaribu kupoteza lengo kwa mchezo usiowahusu

Sasa wewe Chura mechi ya Juzi ya Simba aliyotoa sare mulivyoivalia Shanga ilikuwa inawahusu?
 
Angalau GSM akiwaletea hii mashine ndiyo mutaweza angalau kugombania nafasi ya 3
 
Eti Utopoliga ni Timu ya Wanawake!!!!!!!!?

Utopolo tunawakumbusha tu 72/55 inasomeka hivyo.

Halafu mnapiga hesabu za ubingwa endeleeni kushangilia sare ya Simba na ya leo.
 
Utopolo acheni wivu, ko mmeona Simba alifaidi sana alivyotoa sare, hadi mmeona na nyie mtoe sare
 
Utopolo tunawakumbusha tu 72/55 inasomeka hivyo.

Halafu mnapiga hesabu za ubingwa endeleeni kushangilia sare ya Simba na ya leo.
Kimahesabu Simba anatakiwa ashinde mechi mbili tu, azam na utopolo katika mechi tisa zilizobaki hawana uwezo wakishinda zaidi ya mechi sita
 
Siyo kwamba ni mechi 2 na dro 2 au mechi 3
Kimahesabu Simba anatakiwa ashinde mechi mbili tu, azam na utopolo katika mechi tisa zilizobaki hawana uwezo wakishinda zaidi ya mechi sita
 
Siyo kwamba ni mechi 2 na dro 2 au mechi 3
[/QUOT najua hilo lkn najua lazma yanga na azam watadondosha point tu katika mechi tisa zilizobaki ndio maana nkasema mechi mbili tu, naamini hata Simba akishinda mechi moja azam na yanga hawawezi kushinda mechi zaidi ya sita kati ya tisa zilizobaki
 
Back
Top Bottom