Angefungwa Manula ungesikia maneno ya utopolo ila wamefungwa wao kimyaJamaa goli alilofungwa linatakiwa liwe la msimi ,kapiga cross ikiwa goli moja kwa moja
Kwani waliomlaumu Manula Goli la Mapinduzi Balama Kina Nani?Angefungwa Manula ungesikia maneno ya utopolo ila wamefungwa wao kimya
hawa wakidroo itakuwa poa. ukishindikana Azam achapweKwanza azam na yanga watadro au moja kupoteza
Viongozi wa Simba SC nawapongeza sana, Lamine Moro aliachwa licha ya kutofiti katika mfumo wa Simba SC vilevile hana nidhamu kabisa.
Mmeona uharifu kwenye soka?
Hahahaaa. Michambo Fc.Simba/Bodaboda/Mbumbumbu hii haikuwa mechi ya kwenu lakini kwenye mitandao mmeishupalia utafikiri mlikuwa mnacheza ninyi zile hasira za Morrisson bado zinawapapasa hivyo mnakaribu kupoteza lengo kwa mchezo usiowahusu
Hahahaaa!! Mara nyingi muda wa hizi game nakuwaga home, na huwa nikiwa huko kuna ratiba zangu nimejiwekea hivyo itokee tu ndio utaniona jf mida hiyo ila nikiwa nazitekeleza basi nakuwa busy nazo.Shadeeya mshabiki wa yanga huwa simuoni kwenye threads za mechi ya timu yake sjui kwanini
Hahahaaa!! Mara nyingi muda wa hizi game nakuwaga home, na huwa nikiwa huko kuna ratiba zangu nimejiwekea hivyo itokee tu ndio utaniona ila nikiwa nazitekeleza basi nakuwa busy nazo.
Kuumbe!! Sikuwa najua basi Mtani 😀😀Aaaah wapi umejificha unasubiria matokeo,mgeshinda tungekuona hiyo hiyo jana[emoji28]
Jaribu kunifuatilia Mtani. Wenye kunifahamu vyema wanazijuaga ratiba zangu.Aaaah wapi umejificha unasubiria matokeo,mgeshinda tungekuona hiyo hiyo jana[emoji28]
Hahahaaa. Yaani Mtani toka niufahamu Mpira mi ni wakujificha kisa nisubirie matokeo. LolAaaah wapi umejificha unasubiria matokeo,mgeshinda tungekuona hiyo hiyo jana[emoji28]
Duuh!! 🤔🤔🤔Utopolo na wale mamluki wa Simba SC sijawaona hapa, wao kazi yao kuwashwa tu akicheza Simba SC
Tuliwaambia mpira huwezi kushinda kila siku Utopolo nyie
🤣 Basi tumewabatiza nyie Kaka kuanzia leo ndio timu ya Wananchi. 🤣Ukitaka updates humu labda game za Simba lakini utopolo hawana swaga kabisa..halafu wanajiita timu ya wananchi.
🤣🤣🤣 Swahiba hivi hizi hasira wamezitowa wapi eti?Mbumbumbu fc
Mie utaniona jumatatu asubuhi. 🤣🤣🤣Tunawasubiri kwa azam msijifiche
A yu shua?Kwanza azam na yanga watadro au moja kupoteza
Hahahahaa!!! LolNdo shabiki wakwanza wa yanga kujitokeza hadharani kumuwakilisha dada yetu mpendwa @Shadeeya [emoji16]