JKT Tanzania vs Yanga

JKT Tanzania vs Yanga

Kwanza azam na yanga watadro au moja kupoteza
 
Viongozi wa Simba SC nawapongeza sana, Lamine Moro aliachwa licha ya kutofiti katika mfumo wa Simba SC vilevile hana nidhamu kabisa.

Mmeona uharifu kwenye soka?

Kama unafuatilia kwa makini mechi za Yanga basi utaona kuwa hakuna mechi hata moja ambayo utaona Lamine Moro akiwa na Discipline uwanjani na mara nyingi wanakuwa kitu kimoja na babu Yondani, kwa kifupi Yanga bila kuweka sawa nidhamu ya wachezaji ushindi utakuwa ndoto
 
Simba/Bodaboda/Mbumbumbu hii haikuwa mechi ya kwenu lakini kwenye mitandao mmeishupalia utafikiri mlikuwa mnacheza ninyi zile hasira za Morrisson bado zinawapapasa hivyo mnakaribu kupoteza lengo kwa mchezo usiowahusu
Hahahaaa. Michambo Fc.

Watu wanachamba kama mpira ni ugomvi. Lol
 
Aaaah wapi umejificha unasubiria matokeo,mgeshinda tungekuona hiyo hiyo jana[emoji28]
Hahahaaa!! Mara nyingi muda wa hizi game nakuwaga home, na huwa nikiwa huko kuna ratiba zangu nimejiwekea hivyo itokee tu ndio utaniona ila nikiwa nazitekeleza basi nakuwa busy nazo.
 
Back
Top Bottom