JKT Tanzania yakamilisha ukuta wa Mirereni nyuma ya muda, vipi kuhusu majeshi ya Kenya?

kadoda11

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2011
Posts
21,453
Reaction score
20,746
jeshi la kujenga taifa la tanzania (JKT) limekamilisha kujenga ukuta unao zunguka machimbo ya mirerani yanako chimbwa madini ya tanzanite, nyuma ya mda waliopewa na rais.

nadhani hii inawapa picha kamili kuhusu, nidhamu, bidii, ushupavu, uimara na ukakamavu wa majeshi ya tanzania katika kutimiza majukumu yao ya kijeshi.

nataka kufahamu, ni jukumu gani la kijeshi au kijamii, jeshi la kenya (KDF) iliwahi kulikamilisha nyuma ya mda iliowahi kupewa. nimeuliza tu kiroho safi.

majirani na watz wasioitakia mema tanzania, ruksa kutoa povu.[emoji23]

naona majirani wamerudi kwenye archive yao kutafuta jibu linaloendana na swali langu.ila sidhani kama watapata jibu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
we jamaa unatia aibu sana...sasa ukuta tu? is that your definition of development/progress? πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ukuta tu mtu anafungua uzi?πŸ˜€πŸ˜€
 
yaani lazima mtaje Kenya..πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€mnaota na Kenya au? njooni muwe citizensπŸ˜€πŸ˜€
we jamaa unatia aibu sana...sasa ukuta tu? is that your definition of development/progress? πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ukuta tu mtu anafungua uzi?πŸ˜€πŸ˜€
jamaa wamejenga ukuta sasa wanasherehekea na msosi, vinywaji, shangwe na nderemo....kidogo tu wanunue fireworks kisa ukuta...πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€hii ndio huwa tunaita third world mentality
nilijua lazima utakuja ku-comment kwa jazba na hasira. karibu sana buda.

topic kama hizi zinahitaji sana opinion za watu wenye hasira kama nyinyi.[emoji23] [emoji23] [emoji23]

BTW,vipi kuhusu swali langu pale juu kwenye mada kuu?.
 
alafu kwa taarifa yenu nyie 4th world country, Kenya inajenga ukuta somali border nzima toka kwa bahari la hindi mpaka Kenya Ethiopia Somalia border convergence point....sio 25 km mtu anaanza kuimba imba kana kwamba sijui ameshinda lottery...
 
Ww ni kichaa kabisa ukuta ndo was kijisifia jeshi LA Kenya lina majukumu mazito ya kupambama na ugaidi siyo issue ya ukuta
sawa ila punguza hasira.
huo ugaidi kdf imeanza kupambana nao tangu lini?.... je ugaidi kenya umeisha?. alshabab wameisha?.

usijibu kwa hasira tafadhali.
 
Ww ni kichaa kabisa ukuta ndo was kijisifia jeshi LA Kenya lina majukumu mazito ya kupambama na ugaidi siyo issue ya ukuta
ulimbukeni umemzidi huya jamaa....yaani ukuta mtu anafungua uzi?
 
nilijua lazima utakuja ku-comment kwa jazba na hasira. karibu sana buda.

topic kama hizi zinahitaji sana opinion za watu wenye hasira kama nyinyi.[emoji23] [emoji23] [emoji23]

BTW,vipi kuhusu swali langu pale juu kwenye mada kuu?.
kuna kitu nilikwambia ila naona hujatilia maananai nduguπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€......heshimu umri wako...
 
jamaa wamejenga ukuta sasa wanasherehekea na msosi, vinywaji, shangwe na nderemo....kidogo tu wanunue fireworks kisa ukuta...πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€hii ndio huwa tunaita third world mentality
Shithole minds. Hawa JKT ndo wale vijana wa NYS au? Maanake sijaelewa kwanini wanafananishwa na KDF ambao kazi kama hizi huwa hawafanyi. KDF wanajenga kuta za defence kwenye nchi ya wenyewe, Somalia lakini sijasikia hata siku moja wakipiga ving'ora kwasababu ya vitu kama hivo. Mirereni kwanza ndo nini? Agizo lilipeanwa na nani, na kwa nini? Jamaa anadhani wakenya wana umbea wakufatafata vitu kama hivo.
 
alafu kwa taarifa yenu nyie 4th world country, Kenya inajenga ukuta somali border nzima toka kwa bahari la hindi mpaka Kenya Ethiopia Somalia border convergence point....sio 25 km mtu anaanza kuimba imba kana kwamba sijui ameshinda lottery...
mugger,
ukuta wa kenya-somalia unajengwa na kdf?.

kama unajengwa na kdf, lini kdf wanatakiwa kuukamilisha na sasa ukuta huo umefikia katika level gani ya ujenzi katika maazimio ya kuukamilisha?.

sitegemei unijibu kwa emotions. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
shithole mentality...ulimbukeni wa hali ya juu
 
alafu kwa taarifa yenu nyie 4th world country, Kenya inajenga ukuta somali border nzima toka kwa bahari la hindi mpaka Kenya Ethiopia Somalia border convergence point....sio 25 km mtu anaanza kuimba imba kana kwamba sijui ameshinda lottery...
kuna kitu nilikwambia ila naona hujatilia maananai nduguπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€......heshimu umri wako...
punguzeni povu basi... nini mbaya?.
 
kile unafaa kuelewa ni kuwa Kenya ukuta sio kipimo cha maendeleo....kazi inafanywa bila kupiga piga mayowe....ukuta ni ukuta tu....wacha tusherehekee mambo mengine ya maana...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…