Jay456watt
JF-Expert Member
- Aug 23, 2016
- 10,356
- 7,992
true....yaani ushithole umemjaa akiliniShithole minds. Hawa JKT ndo wale vijana wa NYS au? Maanake sijaelewa kwanini wanafananishwa na KDF ambao kazi kama hizi huwa hawafanyi. KDF wanajenga kuta za defence kwenye nchi ya wenyewe, Somalia lakini sijasikia hata siku moja wakipiga ving'ora kwasababu ya vitu kama hivo. Mirereni kwanza ndo nini? Agizo lilipeanwa na nani, na kwa nini? Jamaa anadhani wakenya wana umbea wakufatafata vitu kama hivo.
imagine huo ukuta ungejengwa na kdf na ungekamilika nyuma ya mda, jf na twitter kungelipuka kwa lugha za kibehi dhidi ya majeshi ya nchi zingine including tz.kile unafaa kuelewa ni kuwa Kenya ukuta sio kipimo cha maendeleo....kazi inafanywa bila kupiga piga mayowe....ukuta ni ukuta tu....wacha tusherehekee mambo mengine ya maana...
hili sasa povu. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]ukuta wenyewe nilidhani ni kama ule wa China ambao unaonekana toka space....kumbe ni ukuta wa kawaida tu kule msituni kuliojaa vumbi...
Mradi mzuri wa Nyang'au kupigwa tena hehehe ,tofautisha ukuta usionafaida yyte na ukuta wakuzuia mali ni mbingu na ardhialafu kwa taarifa yenu nyie 4th world country, Kenya inajenga ukuta somali border nzima toka kwa bahari la hindi mpaka Kenya Ethiopia Somalia border convergence point....sio 25 km mtu anaanza kuimba imba kana kwamba sijui ameshinda lottery...
kwa hiyo unataka tukusaidiaje?...uelewa unatokana na kiwango chako cha elimu.Ukuta pekee ambao wakenya wameujenga nyuma ya muda ni uelewa.
Namuheshimu sana mtu anayejielewa. Hata usipomjengea ukuta, hatofanya kama kitu hakipendezi.
I wish ningekua citizen wa Kenya. Nisingekua hivi nilivyo
Poakwa hiyo unataka tukusaidiaje?...uelewa unatokana na kiwango chako cha elimu.
mlaumu baba/mama yako kwa kutokukupeleka shule.binafsi sina la kukusaidia.
Sawa so we unafaidika nn hukoalafu kwa taarifa yenu nyie 4th world country, Kenya inajenga ukuta somali border nzima toka kwa bahari la hindi mpaka Kenya Ethiopia Somalia border convergence point....sio 25 km mtu anaanza kuimba imba kana kwamba sijui ameshinda lottery...
huo ni ukuta? Ukijibu hapo nitajua if you have sense or na.alafu kwa taarifa yenu nyie 4th world country, Kenya inajenga ukuta somali border nzima toka kwa bahari la hindi mpaka Kenya Ethiopia Somalia border convergence point....sio 25 km mtu anaanza kuimba imba kana kwamba sijui ameshinda lottery...
Sasa ile tanzanite mliokuwa mnaiiba na kuandika made in kenya sasa wale mliokuwa mnawauzia nendeni mlima kenya mchukue jabali lolote mpasue na kuwapelekea. Zamani mlikuwa mnasema ni madini yenu tunauchuna tuu na kulalamika, mkasema mlima kilamanjaro tukawachunia tuu na kuendelea kulalamika, mkasema serengeti ni ya kwenu tukauchuna tuu na kulalamika. Sasa amekuja YOHOHANE MBATIZAJI anayebatiza kwa moto. Ni usawa wa kutenda sio kulalamikajamaa wamejenga ukuta sasa wanasherehekea na msosi, vinywaji, shangwe na nderemo....kidogo tu wanunue fireworks kisa ukuta...πππππhii ndio huwa tunaita third world mentality
aroo acha utani, kuna ule ukuta wa kutenganisha Somalia na Kenya tupewe jibu umefika wap? Juzi wamechapana risasi huko..naona majirani wamerudi kwenye archive yao kutafuta jibu linaloendana na swali langu.ila sidhani kama watapata jibu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hii tangu Uhuru kaingia madarakani! Mmeshindwa mmeenda kuomba Israel! Ni nn mnaweza 55 years of Independence?