Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nilikwambia mkikuyu akirejea patachimbika... unaona sasa. [emoji23]We Jamaa-Akili pumbavu, Kenya hamna jeshi lingine isipokuwa KDF, NRM ya NASA ni kikundi haramu sawa na Alshabaab, Mungiki na Makande Army. Lakini kama mnaona KDF hawafanyi kazi yao inavofaa, ruksa kwenu, nendeni mkapambane na maharamia wenzenu Somalia!
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]According to a UN report, Kenyan soldiers are doing illigal charcoal business in somalia. And this is one reason Amisom funding by UN has been cut. The army generaly is never alert, they get ambused when sleeping. Yaani haya majeshi hawana ratiba ya kulinda doria..Wanafumaniwa wote kama wanang'orota..usless kabisa. Wao ndio wameharibu towns kama Nakuru na Kahawa kwa kusambaza ukwimwi. Heri Jeshi ya tz, kujenga ukuta nikazi ambayo inaonekana..Jeshi ya kenya inafaa kwanza wafanywe training ya kukabiliana na internal corruption. Jeshi ya kenya ukitaka kupigana nao, hakuna haja ya kutumia bunduki,wapee kila mtu takriban shilingi alfu moja kila mtu..Wote watakupea bunduki zao na wakuunge mkono.. Very Corrupt like the Jubilee Gvt
Sasa ukuta si ndio moja ya mikakati ya kuzuia magaidi rejea ukuta Israel waliojenga kutenganisha magaidi wa Hama's toka Gaza !Ww ni kichaa kabisa ukuta ndo was kijisifia jeshi LA Kenya lina majukumu mazito ya kupambama na ugaidi siyo issue ya ukuta
Hehehe Zee la facts take a drink of your pleasure am on my way to refund you champAccording to a UN report, Kenyan soldiers are doing illigal charcoal business in somalia. And this is one reason Amisom funding by UN has been cut. The army generaly is never alert, they get ambused when sleeping. Yaani haya majeshi hawana ratiba ya kulinda doria..Wanafumaniwa wote kama wanang'orota..usless kabisa. Wao ndio wameharibu towns kama Nakuru na Kahawa kwa kusambaza ukwimwi. Heri Jeshi ya tz, kujenga ukuta nikazi ambayo inaonekana..Jeshi ya kenya inafaa kwanza wafanywe training ya kukabiliana na internal corruption. Jeshi ya kenya ukitaka kupigana nao, hakuna haja ya kutumia bunduki,wapee kila mtu takriban shilingi alfu moja kila mtu..Wote watakupea bunduki zao na wakuunge mkono.. Very Corrupt like the Jubilee Gvt
Tulia sindano ikoleeWe Jamaa-Akili pumbavu, Kenya hamna jeshi lingine isipokuwa KDF, NRM ya NASA ni kikundi haramu sawa na Alshabaab, Mungiki na Makande Army. Lakini kama mnaona KDF hawafanyi kazi yao inavofaa, ruksa kwenu, nendeni mkapambane na maharamia wenzenu Somalia!
Wacha kutoa povu, Aibu siyo yako ni ya amri Jeshi Mkuu Rais Wa kenya. Yeye ndie ana sifa hizo za kuongoza Jeshi ambalo halina Vitu simple kama ratiba ya kulinda doria. Akienda UN meetings anaambiwa kwamba UN haiwezi kuhusishwa na Jeshi ambalo linafanya biashara haramuWe Jamaa-Akili pumbavu, Kenya hamna jeshi lingine isipokuwa KDF, NRM ya NASA ni kikundi haramu sawa na Alshabaab, Mungiki na Makande Army. Lakini kama mnaona KDF hawafanyi kazi yao inavofaa, ruksa kwenu, nendeni mkapambane na maharamia wenzenu Somalia!
KDF inakulinda wewe dhidi ya maadui wote wa Kenya, ndo maana una amani ya kukaa hapo ulipo ukiongea pumba kuwahusu. Am very proud of a gallant soldiers! Hayo mengine ni blah blah tu!Wacha kutoa povu, Aibu siyo yako ni ya amri Jeshi Mkuu Rais Wa kenya. Yeye ndie ana sifa hizo za kuongoza Jeshi ambalo halina Vitu simple kama ratiba ya kulinda doria. Akienda UN meetings anaambiwa kwamba UN haiwezi kuhusishwa na Jeshi ambalo linafanya biashara haramu
Kama walivotulia wavunja matofali eeh? 😀Tulia sindano ikolee
Mungu ndiye analinda wakenya. Jeshi linalinda fisadi ilihali ufisadi uliopo ndani ya Jeshi unaipa Jina mbaya na kuifanya iwe dhaifu. Hakuna chakujigamba hapa, safisha na rekebisha kwanzaKDF inakulinda wewe dhidi ya maadui wote wa Kenya, ndo maana una amani ya kukaa hapo ulipo ukiongea pumba kuwahusu. Am very proud of a gallant soldiers! Hayo mengine ni blah blah tu!
pole sana msee, naona hoja za mkikuyu zimekuzidi uzito.itabidi uombe msaada kwa wakenya wengine waje wakusadie.Kama walivotulia wavunja matofali eeh? 😀
Huna hoja yeyote wewe, kando na kakariri ulichokisikia kwenye hotuba za Raila na NASA kwenye mazishi, kama ilivo kawaida yenu! Nina jambo moja tu la kukueleza, utachapa porojo sana, ila rais Uhuru Muigai Kenyatta na makamu wake William Kipchirchir Samoei Arap Ruto ndo watatawala Kenya hadi 2022, Inshallah. Upende usipende. Kama ni kujitia kitanzi, fanya hima. Kama ni kuhama Kenya, ruksa kwako!Mungu ndiye analinda wakenya. Jeshi linalinda fisadi ilihali ufisadi uliopo ndani ya Jeshi unaipa Jina mbaya na kuifanya iwe dhaifu. Hakuna chakujigamba hapa, safisha na rekebisha kwanza
Acha uswahili mwingi jombaa, unaona hojaless zake zikiwa heavyweight kwasababu anaongea pumba kama watz wenzako. Ila kwa mtu makini ni kama kelele za chura. Mimi hapa nipo eeeasy kama kawa.pole sana msee, naona hoja za mkikuyu zimekuzidi uzito.itabidi uombe msaada kwa wakenya wengine waje wakusadie.
peke yako hutaweza pangua hoja za yule jamaa.hoja zake zinaujazo wa ki-heavyweight.
Hata sijui unamuelewaje chizi huyo. Kama ni kiswahili anakichapia mithili ya kithembe. Kama ni hoja, ni zile tantarira kama za taarabu. Pamechimbika ndani ya akili zake na zako tu. 😀nilikwambia mkikuyu akirejea patachimbika... unaona sasa. [emoji23]
Acha uswahili mwingi jombaa, unaona hojaless zake zikiwa heavyweight kwasababu anaongea pumba kama watz wenzako. Ila kwa mtu makini ni kama kelele za chura. Mimi hapa nipo eeeasy kama kawa.
punguza jazba msee.Hata sijui unamuelewaje chizi huyo. Kama ni kiswahili anakichapia mithili ya kithembe. Kama ni hoja, ni zile tantarira kama za taarabu. Pamechimbika ndani ya akili zake na zako tu. 😀
Punguza 'pang'ang'a'. Naona ndo pamechimbika kwako. 😀😀😀 Wewe mwenyewe ndo uliyejitwika firimbi ya referee. Sasa ukininukuu kisha nikujibu ndo unasema ni jazba? Povu ni la nini? Si ubaki kimya tu. 😀😀punguza jazba msee.
Hiyo haina hoja kaka, mustakabali wa 2022 haupo kwa darubini kwa hii mada. Uelewe kwamba Amri Jeshi Mkuu aliopo kwa sasa pamoja na makamu wake ni mazuzu ambao wana chekwa na wakuu wa majeshi ya nchi zingine. Eti Jeshi lako lina fanya biashara ya kuuza makaa.. hahahaha! hiyo nikazi ya wa mama sokoni si kazi ya Jeshi kuu.. Aibu AiseeHuna hoja yeyote wewe, kando na kakariri ulichokisikia kwenye hotuba za Raila na NASA kwenye mazishi, kama ilivo kawaida yenu! Nina jambo moja tu la kukueleza, utachapa porojo sana, ila rais Uhuru Muigai Kenyatta na makamu wake William Kipchirchir Samoei Arap Ruto ndo watatawala Kenya hadi 2022, Inshallah. Upende usipende. Kama ni kujitia kitanzi, fanya hima. Kama ni kuhama Kenya, ruksa kwako!
Rais Uhuru Kenyatta na William Ruto ndo walipeleka KDF Somalia? Aisee, we jamaa itabidi urudi shule. Wewe ni mkenya wa aina gani kama hata hujui KDF walifika Somalia lini na kwanini? Kwani ndo upo darasa la saba? Kamuulize baba yenu Raila kwanini alichapa muhuri kwenye uamuzi wa KDF kuingia Somalia. Kojoa ukalale, usije ukaniambukiza ujinga bana!Hiyo haina hoja kaka, mustakabali wa 2022 haupo kwa darubini kwa hii mada. Uelewe kwamba Amri Jeshi Mkuu aliopo kwa sasa pamoja na makamu wake ni mazuzu ambao wana chekwa na wakuu wa majeshi ya nchi zingine. Eti Jeshi lako lina fanya biashara ya kuuza makaa.. hahahaha! hiyo nikazi ya wa mama sokoni si kazi ya Jeshi kuu.. Aibu Aisee