Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,223
- 96,083
Basi sawa...Nafikiri tujikumbushe hotuba ya CDF wakati wa commission ya maofisa wapya, alisema wanafikiria kuja na mfumo mpya katika suala hili la kujitolea kwa vijana, nachelea kusema ni mfumo upi lakini acha wao wenyewe watakuja na ufafanuzi. (Mawazo binafsi haya Mkuu)
Ila kwa harakaharaka, wengine tushastukia ishu.. vijana wanaenda kuchapa kazi za uashi, sio za kijeshi.