Basi sawa...Nafikiri tujikumbushe hotuba ya CDF wakati wa commission ya maofisa wapya, alisema wanafikiria kuja na mfumo mpya katika suala hili la kujitolea kwa vijana, nachelea kusema ni mfumo upi lakini acha wao wenyewe watakuja na ufafanuzi. (Mawazo binafsi haya Mkuu)
Umejuaje Kama ni failures?Ikiwa hivyo, hebu tuambie kwanini wameitwa la saba na form four (failures) pekee?
Au unataka kutuambia mwanajeshi ambaye ni daktari naye anashika kwanja kufyeka?
Hivi la saba nao bado wapo kwenye majeshi yetu?
Waliofaulu form four waliendelea na masomo...Umejuaje Kama ni failures ?
Wapo mpaka bungeni...Hivi la saba nao bado wapo kwenye majeshi yetu?
Basi waliofukuzwa wako mtaani, na hasira zote za kufukuzwa kwao zimehamishiwa mtaani.Hujaelewa kitu kabisaa. ❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌. 00%
Hawa sio wale waliofukuzwa..
Mkuu jeshini huwa hawakurupuki, ukiona wamekuja na maamuzi ujue kuwa wameona tatizo ni nini? Wasomi wengi huwa wanatabia ya kuhoji hoji sana na hii ni tofauti Maisha ya kijeshi tii amri, na usidai haki kupitiliza hayo ni makosa.Ikiwa hivyo, hebu tuambie kwanini wameitwa la saba na form four (failures) pekee?
Au unataka kutuambia mwanajeshi ambaye ni daktari naye anashika kwanja kufyeka?