Dr hyperkid
JF-Expert Member
- Jun 7, 2019
- 12,679
- 25,646
mbona mafunzo ni kitu kizuri sanaMzazi anayeruhusu mtoto aende huko, hana akili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mbona mafunzo ni kitu kizuri sanaMzazi anayeruhusu mtoto aende huko, hana akili
sema ukitizama kwa umakini kunakizazi kitakuja kuwa na mambo ya hovyo sana badaendio maama yake.. sasa huku haya majeshi yetu watu wanachukulia kama karata zao za mwisho kimaisha wanapo ona hawana namna ingine. JKT haina mvuto kwa vijana wanachofanya kama kulazimishana tu
sasa hivi tu mkuu, tunakizazi cha hovyo sana na tuna wazee wa hovyo kabisaa.. unakutaaa mzee ana miaka zaidi ya 65 ila anayofanya kama kijana wa 22sema ukitizama kwa umakini kunakizazi kitakuja kuwa na mambo ya hovyo sana badae
Wasipochakatwa huko wakirudi uraiani si watakuwa jeuriWatu waende jkt wakaondoe ulegelege na ugoigoi.kama ni kuchakatwa hata uraiani wanachakatwa sana vikevile akifika chuoni kama atakuwa hajitambui ndiyo atachakaa zaidi.maana chuoni wanaamua kuishi kabisa kama mme na mke na wakimaliza chuo kila mmjoja kivyaje.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wao ndio wametweza hadhi ya JKT ni wapi jeshi linaelekeza wanaojiunga wajigharimie mavazi nk..hata hiyo nidhamu itatoka wapi wakati muhusika kajigharimia mwenyewe kufika kambini.Hii nchi imekuwa ya ajabu Sana , imefikia mahali wazazi wanaingilia Hadi program za mafumzo ya jkt. JKT ni jeshi sio shule za msingi au sekondari. JKT waambieni ukweli pale ni jeshi na wanapewa mafunzo ya ujasiri na ukakamavu wa kijeshi , kwa tafsiri nyepesi wanaandaliwa kuwa jeshi la akiba. Haya ndo madhara ya kupeleka watt shule za st. vitoto plus wazazi wanafikra za umayaimayai .
Teh teh maana huko binti lazima aliwe tuMzazi anayeruhusu mtoto aende huko, hana akili
Wewe ndo mpotoshajiUnapotosha
TuliaWewe ndo mpotoshaji
Vyuo ni Biashara watu hawawezi, kuharibu biashara yao ambayo wateja ni wanafunzi sababu ya JKTSerikali iweke utaratibu wa kulazimisha watu waende JKT. Kwa mfano ingekuwa hila JKT huwezi kufanya application ya chuo mbona watu wangeenda! Ila kwa vijana wenye matatizo ya kiafya sijui ingekuwaje?
Kwa kweli hill suala la unyanysaji hasa wa kike linatakiwa likemewe, na wengine kupewa adhabu hata pasipo stahili au kwa sababu kuna mtu anajiona ana haki hiyo ya kutoa adhabu.Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), limewataka Wazazi na Walezi wa Vijana kupuuza taarifa za uzushi unaolenga kuwatia hofu Vijana waliopangiwa kuhudhuria Mafunzo ya JKT katika makambi mbalimbali kutokwenda kuripoti makambini, kwa kile kinachodaiwa kuwa eti, mafunzo ya JKT ni mateso, yana unyanyasaji na udhalilishai hususani kwa Vijana wa jinsia ya kike.
JKT imesema taarifa hizo ni uzushi kwani mafunzo hayo ni muhimu sana kwa ustawi wa Vijana na Taifa kwa ujumla
“Hivi karibuni JKT ilitoa wito kwa Vijana wote waliohitimu elimu ya sekondari kidato cha sita mwaka 2023, kutoka Shule zote za Tanzania Bara kuhudhuria Mafunzo ya JKT kwa mujibu wa Sheria lakini kumezuka taharuki kubwa katika mitandao ya Kijamii kutoka kwa baadhi ya Watu wenye nia ovu wasilolitakia mema Taifaletu”
“Mafunzo ya JKT kwa mujibu wa sheria na yale ya Kujitolea yamelenga kumjengea kijana wa kitanzania uzalendo, ukakamavu, nidhamu na kuleta umoja wa kitaifa na yanaendeshwa kwa kuzingatia mila, desturi na tamaduni za kitanzania”
“JKT katika kuhakikisha Vijana hao wanakuwa salama wakati wote, Makambi na Vikosi vote vya JKT vina Baba na Mama Mlezi (Patron a Matron) ambao wamewekwa mahususi ili kusimamia ustawi wa Vijana wa kiume na wa kike kwa kipindi chote wanapokuwa makambini”
Mzazi anayeruhusu mtoto aende huko, hana akili