JKT yakanusha suala la kunyanyasa vijana

Aje sista msambwanda huo
Shep anayo...utamuachaje kumla

Video vimeliwa sana huko [emoji1]

Ova
 
Wasipochakatwa huko wakirudi uraiani si watakuwa jeuri
Acha waliwe tu

Ova
 
Wao ndio wametweza hadhi ya JKT ni wapi jeshi linaelekeza wanaojiunga wajigharimie mavazi nk..hata hiyo nidhamu itatoka wapi wakati muhusika kajigharimia mwenyewe kufika kambini.
 
Wamama na wadada wazuri waliopitia JKT si wamo humu?
Toeni ekspiriensi yenu,mlipokua kwenye makambi,ni uongo kua hamkuwa chakula cha maafande wasiokua waadilifu au ni uongo,walikua wanawaangalia tu,wanaishia kuwaka tamaa za kingono?
Kuweni tu wakweli,maana hayo mambo hata vyuo vya kati na vyuo vikuu,huwa inasemwa kuwa wadada wazuri wanaliwaga sana,ila ikibainika labda kwa kurekodi au kwa vyovyote vile,ndiyo viongozi wa vyuo husika huja na kulisemea,ila kabla halijabainika,viongozi husema kua vyuoni,siyo sehemu ya kufanya ngono,ni sehemu ambayo mwanachuo anapata elimu ya kile kilichomo kwenye mitaala.
 
Ukweli lazima usemwe
Watoto wa kike wanaoenda jkt huishia kuwa chakula cha maafande unless binti awe na sura mbovu
 
Kwanza mabinti huwa wakifika makambini kama kombania ikiwa na afande mnaa wanajilegeza Kwa kuliwa mbunye ili wapate kamserereko
 
Serikali iweke utaratibu wa kulazimisha watu waende JKT. Kwa mfano ingekuwa hila JKT huwezi kufanya application ya chuo mbona watu wangeenda! Ila kwa vijana wenye matatizo ya kiafya sijui ingekuwaje?
Vyuo ni Biashara watu hawawezi, kuharibu biashara yao ambayo wateja ni wanafunzi sababu ya JKT
 
Kwa kweli hill suala la unyanysaji hasa wa kike linatakiwa likemewe, na wengine kupewa adhabu hata pasipo stahili au kwa sababu kuna mtu anajiona ana haki hiyo ya kutoa adhabu.
 
Hata mimi kabla sijaenda huko mujibu nilikuwa na mawazo kama haya ila nilipoenda nikajionea mwenyewe

Huko jeshini binti kuliwa ni maamuzi yako mwenyewe kutongozwa lazima utatongozwa lakini ukikataa hakuna atakayekulazimisha wala kukubaka

Tatizo hao mabinti wengi wanakubali kutembea na hao wanajeshi ili course iwe nyepesi na laini kwao wapunguziwe mateso sasa sijui ni mateso gani hayo

Lakini sisi wengine mbona tumepita huko na tulitongozwa tukakataa, na wala hatujaona huo ugumu kwenye course, wa kumfanya mtu akubali kuchanua miguu yake kwa mpuuzi mmoja tu

Anyway waacheni ila baadaye wakishamaliza vyuo wakaona jinsi ajira zilivyo ngumu mtaani, wasije wakaona majeshi ndio kimbilio lao na kuanza kulalamika kwamba jeshini siku hizi hawako fair wanaajiri kwa connection, maana ndio hali halisi tunayoiona hivi sasa
 
Mzazi anayeruhusu mtoto aende huko, hana akili

Mkuu kama ni Sheria ni Vema mtoto akaenda Sema Cha Msingi,Mkuu wa JKT anatakiwa aseme wazi kuwa Vitendo vya Kudhalilisha haswa watoto wa kike ikitokea wapige simu fulani au watoe taarifa sehemu fulani,Hii itasaidia sanaa kuliheshimisha Jeshi na Kuondoa woga hasa kwa watoto wa Kike.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…