Daaah!acha tu, mabinti wengi wanatoka huko na UKIMWI, ndoto zao zinaishia hapo, laiti wazazi wangejua kinachoendelea huko, wangesikitika sana
Saiv hamna Tena hivyo,lile fungu halipo Tena..Hope watafanya hivyo watu wasiwakatishe tamaa wadogo wetu kuna kitu watajifunza kwa muda mfupi wa mafunzo hao tusibeze
Tena kubwa... ... na sijui kwa nini yanafumbiwa macho..Sawa Sawa
Kwahiyo Ipo Namna
Nakumbuka kipindi chetu sie tulikuwa hatuendi hata na soksi maana zote tunapewa hukohoko hivyo vifungu 1-8 vyote vilikuwa vinagharamikiwa na serikali, achilia mbali na 50k ya posho kila mwezi serikali ilikuwa inamlipa mzabuni 8500 kwa siku na kwa kila mtu.
Kuhusu nauli ukifika unaonesha tiketi unarejeshewa.Hivyo vitu vya kwenda navyo tulikuaga tunavikuta huko, nashangaa kipindi hiki wanatakiwa waende navyo hadi nauli hivi kuna posho kweli siku hizi, What's happening with mama Tanzania???
Kwa mtoto wa kike ukitamaniwa unaandamwa wewe tuu wewe tuu hadi unajihisi una mkosi mkubwa wa ajabu kuliko wenziyo!Nasikia suala la kupigana miti kimasihala huko ni jambo la kawaida sana. Jamani kuna ukweli wowote hapo?
Zamani sisi tulilipwa sh.50! Hiyo hiyo yenye kona kona, nusu ya mia unayoijua wewe.Dah! nakumbuka kipindi naenda 832 kj nilitoka na begi dogo la mgongoni ndani likiwa na tracksuit moja na sweta lake(hii nilivaa siku za uzalendo peke ila baada ya intro sikuwahi ivaa tena [emoji23]), boxer 2 ,pamoja,raba pair moja vingine kama pitshort, green t-shirt,combat full(karanga) na boots zake tulipewa jeshini huko huko pamoja na posho ya 50,000/= kila tarehe 28 ya kila mwezi .Hapo ni 2016 op magufuli intake ya kwanza .
Maajabu baada ya hapo mambo yaka change , naona vijana wanaji nunulia kila kitu na posho sidhani kama wanaijua [emoji23][emoji23][emoji23].
Sent using Jamii Forums mobile app
Siku hizi ubapeleka makalio na kila kitu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mambo yamebadirika, zamani unapeleka pua lako tu mengine utayakuta hukohuko.
Hivi ikitokea sijaenda hayo Mafunzo je nini kitatokea au watanichukulia hatua zipi ???Vijana wenye mipngo ya jeshi tafuteni lonja mapem ya kujua kambi watakazopita hao jamaa kuchukua wale vijana wa kuunga mruke nazo otherwise mnaenda kujira tu
Du!acha tu, mabinti wengi wanatoka huko na UKIMWI, ndoto zao zinaishia hapo, laiti wazazi wangejua kinachoendelea huko, wangesikitika sana
Na tulikua tunarudishiwa nauli tuliyotumia kwenda tunapewa nauli ya kurudi home na allawonce ya kujikimu njiani.Nakumbuka kipindi chetu sie tulikuwa hatuendi hata na soksi maana zote tunapewa hukohoko hivyo vifungu 1-8 vyote vilikuwa vinagharamikiwa na serikali, achilia mbali na 50k ya posho kila mwezi serikali ilikuwa inamlipa mzabuni 8500 kwa siku na kwa kila mtu.
[emoji3][emoji3]Kama ukitaka kujitolea kwa sisi wengine watu wazima utaratibu ukoje?
Hatari sanaSiku hizi ubapeleka makalio na kila kitu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]