Zamani wahitimu wote wa kidato cha sita, walikuwa wanalazimika kutumikia JKT. Siku hizi nasikia sio wote wanashiriki. Swali langu ni kwamba vigezo gani vinatumika kuteua nani waende JKT na nani wasiende?? Pili, faida gani anayoipata kijana kwa kwenda kutumika JKT, au ni hasara gani itayompata kijana ambaye hakwenda kutumikia JKT?