JKU ni JWTZ ya Zanzibar?

JKU ni JWTZ ya Zanzibar?

GoldDhahabu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2023
Posts
7,189
Reaction score
10,375
Kwa kiasi fulani, vina mfanano na JWTZ kimavazi na kimuundo.

Vyeo vinavyopatikana JWTZ kama SAJENT, CAPTAIN, MEJA, n.k. vinapatikana huko pia.

Vina majukumu gani huko Zanzibar?

Hivyo Vikosi vya JKU vinaweza kutumika Tanganyika kukitokea dharura?
 
JKU ni kivuli cha JKT

Utofauti ni kwamba jkt imemezwa na jwtz, sasa haina mamlaka ya kulipa mshahara wala kuajiri. Haina mtumishi hata mmoja. Huku JKU ina ajiri na ina mandate pana kuliko JKT.

Kwa ufupi huku mnakokuita bara kuna idadi kubwa ya wasomi wajinga.

Ajira za bara zote zinazohitaji sifa uwe na cheti cha jkt lazima waseme jkt au JKU na Mzanzibar akiomba anapata ila ajira za Zanzibar ukiwa na cheti cha JKT na si mkaazi wa kule huitwi hata kwenye usaili.

Watumishi wa JKU wote ni watu wa Zanzibar huku jkt kwa kivuli cha jwtz ina watumishi wakaazi wa Zanzibar.
Jkt ikitangaza nafasi za kujitolea vijana wa Zanzibar wanaruhusiwa kuomba ila JKU hairuhusu vijana wa Tanganyika.
 
Khahahahahah.
Nchi ya majuha hii,cjui muungano sisi tunapata faida Gani hata cjui.
Au Zanzibar ni Koloni letu nn!.
Ila kama tunajikombakomba kwao tatizo nn hasa.
 
tambua kuanzia polisi,jeshi na magereza znz inatambulika kama mkoa sio nchi kwenye hivyo vyombo.subiri ifike 2025 ujionee
Mkoa unaotambulika kama Nchi?
Ok nimekuelewa hata wanaoapa huko wanaapa kwa.katiba ya Zanzibar ambayo inatambua kuwa zanzibar ni nchi wakati waapishwa wanatambua kwmba kama zanzibar ni mkoa.?
Screenshot_20240202_121952_Adobe Acrobat.jpg
 
Nashukuru sana mkuu! Kuna mtu mbishi sana anayeitwa Paschal Mayalla, natamani angeiona hii.
Anaijua Huyu mtani wangu na alishaizungumzia kwenye bandiko lake fulani nimelisahau linalozungumzia kuhusu Katiba ya Zanzibar toleo la 2010 kuna Bandiko aliwah kuliandika alihoji vizuri sana..

Kama atawwza kututajia Tukalipitie niliwahi kulipitia zaman kidogo
CC: Pascal Mayalla
 
JKU ni kivuli cha JKT
Utofauti ni kwamba jkt imemezwa na jwtz, sasa haina mamlaka ya kulipa mshahara wala kuajiri. Haina mtumishi hata mmoja. Huku JKU ina ajiri na ina mandate pana kuliko JKT.
Kwa ufupi huku mnakokuita bara kuna idadi kubwa ya wasomi wajinga.
Ajira za bara zote zinazohitaji sifa uwe na cheti cha jkt lazima waseme jkt au JKU na Mzanzibar akiomba anapata ila ajira za Zanzibar ukiwa na cheti cha JKT na si mkaazi wa kule huitwi hata kwenye usaili.
Watumishi wa JKU wote ni watu wa Zanzibar huku jkt kwa kivuli cha jwtz ina watumishi wakaazi wa Zanzibar.
Jkt ikitangaza nafasi za kujitolea vijana wa Zanzibar wanaruhusiwa kuomba ila JKU hairuhusu vijana wa Tanganyika.

Kwaiyo ni km kule sudan kuna jeshi la serikal na kuna jeshi la raisi ambayo saiv wanagombea madalaka

So jku ni jeshi la zanzibar na linapokea amri toka kwa raisi wa zanzibar

Tunaomba utueleweshe vzr zaidi
 
JKU ni kivuli cha JKT
Utofauti ni kwamba jkt imemezwa na jwtz, sasa haina mamlaka ya kulipa mshahara wala kuajiri. Haina mtumishi hata mmoja. Huku JKU ina ajiri na ina mandate pana kuliko JKT.
Kwa ufupi huku mnakokuita bara kuna idadi kubwa ya wasomi wajinga.
Ajira za bara zote zinazohitaji sifa uwe na cheti cha jkt lazima waseme jkt au JKU na Mzanzibar akiomba anapata ila ajira za Zanzibar ukiwa na cheti cha JKT na si mkaazi wa kule huitwi hata kwenye usaili.
Watumishi wa JKU wote ni watu wa Zanzibar huku jkt kwa kivuli cha jwtz ina watumishi wakaazi wa Zanzibar.
Jkt ikitangaza nafasi za kujitolea vijana wa Zanzibar wanaruhusiwa kuomba ila JKU hairuhusu vijana wa Tanganyika.
"Kwa ufupi huku mnakokuita bara kuna idadi kubwa ya wasomi wajinga"📌🔨
 
Anaijua Huyu mtani wangu na alishaizungumzia kwenye bandiko lake fulani nimelisahau linalozungumzia kuhusu Katiba ya Zanzibar toleo la 2010 kuna Bandiko aliwah kuliandika alihoji vizuri sana..

Kama atawwza kututajia Tukalipitie niliwahi kulipitia zaman kidogo
CC: Pascal Mayalla
Nalitamani sana hilo bandiko. Ningelipata leo ingependeza. Leo nina nafasi nzuri ya kulipitia kwa uhuru.
 
ndio maana IGP,MKUU WA MAJESHI,MAGERZA WAPO TANGANYIKA SASA UJIULIZE HIZO IDARA ZINATAMBUA KUWA NI NCHI AU MKOA
Idara zipi unazizungumzia KMKM,JKU Au chuo cha Mafunzo kupambana na Uhalifu (Polisi)?

Bhasi ngoja nikusaidie..
Idara nilizotaja zote zinamtambua Rais wa zanzibar kama Amiri jeshi wao Mkuu (Commander in Chief)..
Kwa mujibu wa Katiba ya Zanzibar Toleo la mwaka 2010..
Ibara ya 121 mpaka 123..

Jitahidi kuwa na uthibitisho katika kila unachokuamini kabla ya kuamini matamko na Akili yako..
Soma sura ya 10 ya katiba
Screenshot_20240202_123903_Adobe Acrobat.jpg
 
tambua kuanzia polisi,jeshi na magereza znz inatambulika kama mkoa sio nchi kwenye hivyo vyombo.subiri ifike 2025 ujionee
Mkoa unaweza kuwa na Katiba yake?

Mkoa unaweza kuwa Rais wake?

Mkoa unaweza kuwa na wakuu wa mikoa na wilaya pia?
 
Attachments

  • DC_MSARAKA_APIGA_MARUFUKU_WAMAASAI_KUTEMBEA_NA_SIME_NA_VIRUNGU_WILAYA_YA_MJINI_ZANZIBAR(144p).mp4
    3.1 MB
  • Rais_Wa_Zanzibar_Dr_Hussein_Mwinyi_Ateua_Wakuu_wa_Mikoa(144p).mp4
    1.7 MB
Nalitamani sana hilo bandiko. Ningelipata leo ingependeza. Leo nina nafasi nzuri ya kulipitia kwa uhuru.
Anza na hii comment kwanza nikutafutie hilo bandiko..
CC: Pascal Mayalla
 
Back
Top Bottom