JKU ni JWTZ ya Zanzibar?

JKU ni JWTZ ya Zanzibar?

Majeshi yote JWTZ, Magereza, polisi tuna share hakuna wa zanzibar wala wa bara na zanzibar kijeshi inatambulika kama mkoa
 
Anza na hii comment kwanza nikutafutie hilo bandiko..
CC: Pascal Mayalla
Nashukuru sana Dr! Ngoja niipitie.
 
Idara zipi unazizungumzia KMKM,JKU Au chuo cha Mafunzo kupambana na Uhalifu (Polisi)?

Bhasi ngoja nikusaidie..
Idara nilizotaja zote zinamtambua Rais wa zanzibar kama Amiri jeshi wao Mkuu (Commander in Chief)..
Kwa mujibu wa Katiba ya Zanzibar Toleo la mwaka 2010..
Ibara ya 121 mpaka 123..

Jitahidi kuwa na uthibitisho katika kila unachokuamini kabla ya kuamini matamko na Akili yako..
Soma sura ya 10 ya katiba
View attachment 2891666
Taifa lipi hilo? Inamaanisha nchi na Taifa la Zanzibar?
 
Pesa nyingi zinatumika bila sababu kuendesha serikali ya inayoitwa nchi ya Zanzibar.......ifike mahali haya maigizo yawe neutralized kikatiba na hiyo zanzibar ipewe hadhi ya mkoa kwenye nchi moja ya Tanzania.
 
Sasa hiyo siyo JWTZ bro nafikiri unafahamu hilo
Hakuna Mahala nimesema JWTZ na ndo maana nikakuuliza unazifahamu Idara maalumu..

Ni majeshi yaliyo chini ya Zanzibar ambayo hayapo Tanganyika Mojawapo likiwa ni JKU
 
Hakuna Mahala nimesema JWTZ na ndo maana nikakuuliza unazifahamu Idara maalumu..

Ni majeshi yaliyo chini ya Zanzibar ambayo hayapo Tanganyika Mojawapo likiwa ni JKU
Nafikiri sijakataa hilo ila nimesema Jwtz,polisi na magereza hayo majeshi tuna share na zanzibar hayajagawanyishwa amri itakayo tolewa na Cdf itafatwa kote na amri itakayotolewa na IGP itafatwa na polisi wote command ni moja
 
Majeshi yote JWTZ, Magereza, polisi tuna share hakuna wa zanzibar wala wa bara na zanzibar kijeshi inatambulika kama mkoa
Magereza siyo ya muungano;bara tuna magereza yetu na Zenji wana yao(mafunzo).
 
Nafikiri sijakataa hilo ila nimesema Jwtz,polisi na magereza hayo majeshi tuna share na zanzibar hayajagawanyishwa amri itakayo tolewa na Cdf itafatwa kote na amri itakayotolewa na IGP itafatwa na polisi wote command ni moja
Ila Amri lazima ipimwe kimamlaka Ikifika Zanzibar..
Kwa mujibu wa katiba lazma Kamishna Mkuu wa Jeshi la Polisi Zanzibar Awasilishe amri hiyo kwa Rais wa zanzibar ili ionekane kama ina mantiki..
Unataka uthibitisho pia?..

Au hujui kuwa Siku ya Mapinduzi rais wa zanzibar huwa amri jeshi mkuu kwa Muda?

Na kingine kwenye Muungano kuna mambo ya Muungano na mambo yasiyo ya Muungano..
 
Ina kila kitu halafu iwe koloni letu? Labda kinyume chake ndiyo ingekuwa sahihi!
Nye ni koloni letu ndo maana ikifika uchaguzi tunaleta jeshi mkileta mdomo tunawatandika hasa uchaguzi ukiisha tunarudi zetu bara,ukifanyika tena mkileta mdomo tunawatandika mikwaju mkitulia tunarudi zetu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwaiyo ni km kule sudan kuna jeshi la serikal na kuna jeshi la raisi ambayo saiv wanagombea madalaka

So jku ni jeshi la zanzibar na linapokea amri toka kwa raisi wa zanzibar

Tunaomba utueleweshe vzr zaidi
Kuna
JKU Jeshi la Kujenga Uchumi
KMKM Kikosi Maalum cha Kuzuia Magendo
KVZ Kikosi cha Valantia
Hawa wote ni migambo waliochangamka hawana uwezo wa kupindua nchi. Ni kama vile vikosi vya majeshi ya mbugani huko bara. Tanapa wana jeshi linaitwa jeshi usu kama sijakosea.
Kuna mgambo wa jiji kunyang'anya vyakula mama ntilie nk.
 
Ongeza kuwa mkoa unaweza kuwa na Jaji mkuu, Mkoa unaweza kuwa na Mahakama kuu, Mkoa unaweza kuwa ana Bunge, Mkoa unaweza kuwa na Rais..
Mkoa Una mihimili Mitatu yote kamilifu
Hao wote uliowataja ni viongozi vivuli ndo maana rais wa Zanzibar ni mjumbe wa baraza la mawaziri huko bara. Hawi rais.
Hapo ndo chanzo cha Maalim (RIP) kudai Zanzibar yenye mamlaka kamili.
 
Ila Amri lazima ipimwe kimamlaka Ikifika Zanzibar..
Kwa mujibu wa katiba lazma Kamishna Mkuu wa Jeshi la Jwtz Zanzibar Awasilishe amri hiyo kwa Rais wa zanzibar ili ionekane kama ina mantiki..
Unataka uthibitisho pia?..

Au hujui kuwa Siku ya Mapinduzi rais wa zanzibar huwa amri jeshi mkuu kwa Muda?

Na kingine kwenye Muungano kuna mambo ya Muungano na mambo yasiyo ya Muungano..
Kamishna wa jwtz zanzibar ndo kitu gani hicho? Ni cheo kipya jeshini?
 
Kamishna wa jwtz zanzibar ndo kitu gani hicho? Ni cheo kipya keshini?
Hahah hapana mkuu Typo (Typing error) nilikuwa namaanisha IGP akitoa Oda kamishna wa Polisi zanzibar 😀😀
Sema akili inawaza jeshi la polisi mkono unawaza Jwtz sorry
 
Hahah hapana mkuu Typo (Typing error) nilikuwa namaanisha IGP akitoa Oda kamishna wa Polisi zanzibar 😀😀
Sema akili inawaza jeshi la polisi mkono unawaza Jwtz sorry
Sawa mkuu ila hata huyo cammissioner wa polisi zanzibar taarifa zake anazituma kwa IGP anafata chain of command, kuhusu maelekezo wote wanapokea maelekezo kutoka kwa amir jeshi mkuu ambae ni rais wa JMT
 
Hao wote uliowataja ni viongozi vivuli ndo maana rais wa Zanzibar ni mjumbe wa baraza la mawaziri huko bara. Hawi rais.
Hapo ndo chanzo cha Maalim (RIP) kudai Zanzibar yenye mamlaka kamili.
Your Reasoning Aint factual Mkuu!..
Kwahyo ulitaka Rais wa zanzibar Aje Bara kwenye Kikao cha Serikali bado awe Rais wa Bara Pia?

Ngoja nikupe Facts..
Hivi unategemea Dr Tulia Akialikwa Urusi atatambuliwa Kama Rais wa Mabunge au Kama Spika wa Bunge la Tanzania?

Katiba ya Zanzibar Plus katiba ya Tanzania inamtaka Rais wa zanzibar kuwa Mjumbe wa baraza la Mawaziri kama walivyo mawaziri wengine na Makamu wa Rais kwa special Seat na sio seat ya kawaida..

Special.seat maana yake Inaweza kuwa na maamuzi ila mawaziri wengine hawawezi kuwa na maamuzi au hilo nalo hujui?

Na naomba unieleweshe viongozi vivuli kivipi wakati katiba imewapa mamlaka kamili?
 
Back
Top Bottom