AlP0L0
JF-Expert Member
- Apr 23, 2011
- 6,406
- 4,899
Unadanganya watu wewe, Unaongea kitu usichokijua, fanya utafiti kwanza kisha ndio uje uongee hapa.Watumishi wa JKU wote ni watu wa Zanzibar huku jkt kwa kivuli cha jwtz ina watumishi wakaazi wa Zanzibar.
Jkt ikitangaza nafasi za kujitolea vijana wa Zanzibar wanaruhusiwa kuomba ila JKU hairuhusu vijana wa Tanganyika.