DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
Nakuelewa na naelewa chain of command yote mkuu!...Sawa mkuu ila hata huyo cammissioner wa polisi zanzibar taarifa zake anazituma kwa IGP anafata chain of command, kuhusu maelekezo wote wanapokea maelekezo kutoka kwa amir jeshi mkuu ambae ni rais wa JMT
Je unahisi ni kwanini Siku ya Mapinduzi Rais wa zanzibar ndo huwa amiri jeshi mkuu kwa muda?
Tuanze kwanza kwa kujibu hilo..
Mengine yatafuata