GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,189
- 10,375
Khahahahahah.JKU ni kivuli cha JKT
Utofauti ni kwamba jkt imemezwa na jwtz, sasa haina mamlaka ya kulipa mshahara wala kuajiri. Haina mtumishi hata mmoja. Huku JKU ina ajiri na ina mandate pana kuliko JKT.
Kwa ufupi huku mnakokuita bara kuna idadi kubwa ya wasomi wajinga.
Ajira za bara zote zinazohitaji sifa uwe na cheti cha jkt lazima waseme jkt au JKU na Mzanzibar akiomba anapata ila ajira za Zanzibar ukiwa na cheti cha JKT na si mkaazi wa kule huitwi hata kwenye usaili.
Watumishi wa JKU wote ni watu wa Zanzibar huku jkt kwa kivuli cha jwtz ina watumishi wakaazi wa Zanzibar.
Jkt ikitangaza nafasi za kujitolea vijana wa Zanzibar wanaruhusiwa kuomba ila JKU hairuhusu vijana wa Tanganyika.
Ina kila kitu halafu iwe koloni letu? Labda kinyume chake ndiyo ingekuwa sahihi!Khahahahahah.
Nchi ya majuha hii,cjui muungano sisi tunapata faida Gani hata cjui.
Au Zanzibar ni Koloni letu nn!.
Ila kama tunajikombakomba kwao tatizo nn hasa.
Khahahahaha.Ina kila kitu halafu iwe koloni letu? Labda kinyume chake ndiyo ingekuwa sahihi!
Mkoa wenye mamlaka kamili na Rais asiyeweza kuhojiwa na mamlaka yoyote Kulingana na Katiba ya Zanzibar ya mwaka 2010?tambua kuanzia polisi,jeshi na magereza znz inatambulika kama mkoa sio nchi kwenye hivyo vyombo.subiri ifike 2025 ujionee
Mkoa unaotambulika kama Nchi?tambua kuanzia polisi,jeshi na magereza znz inatambulika kama mkoa sio nchi kwenye hivyo vyombo.subiri ifike 2025 ujionee
Nashukuru sana mkuu! Kuna mtu mbishi sana anayeitwa Paschal Mayalla, natamani angeiona hii.Mkoa unaotambulika kama Nchi?
Ok nimekuelewa hata wanaoapa huko wanaapa kwa.katiba ya Zanzibar ambayo inatambua kuwa zanzibar ni nchi wakati waapishwa wanatambua kwmba kama zanzibar ni mkoa.?
View attachment 2891649
Anaijua Huyu mtani wangu na alishaizungumzia kwenye bandiko lake fulani nimelisahau linalozungumzia kuhusu Katiba ya Zanzibar toleo la 2010 kuna Bandiko aliwah kuliandika alihoji vizuri sana..Nashukuru sana mkuu! Kuna mtu mbishi sana anayeitwa Paschal Mayalla, natamani angeiona hii.
ndio maana IGP,MKUU WA MAJESHI,MAGERZA WAPO TANGANYIKA SASA UJIULIZE HIZO IDARA ZINATAMBUA KUWA NI NCHI AU MKOAMkoa unaotambulika kama Nchi?
Ok nimekuelewa hata wanaoapa huko wanaapa kwa.katiba ya Zanzibar ambayo inatambua kuwa zanzibar ni nchi wakati waapishwa wanatambua kwmba kama zanzibar ni mkoa.?
View attachment 2891649
JKU ni kivuli cha JKT
Utofauti ni kwamba jkt imemezwa na jwtz, sasa haina mamlaka ya kulipa mshahara wala kuajiri. Haina mtumishi hata mmoja. Huku JKU ina ajiri na ina mandate pana kuliko JKT.
Kwa ufupi huku mnakokuita bara kuna idadi kubwa ya wasomi wajinga.
Ajira za bara zote zinazohitaji sifa uwe na cheti cha jkt lazima waseme jkt au JKU na Mzanzibar akiomba anapata ila ajira za Zanzibar ukiwa na cheti cha JKT na si mkaazi wa kule huitwi hata kwenye usaili.
Watumishi wa JKU wote ni watu wa Zanzibar huku jkt kwa kivuli cha jwtz ina watumishi wakaazi wa Zanzibar.
Jkt ikitangaza nafasi za kujitolea vijana wa Zanzibar wanaruhusiwa kuomba ila JKU hairuhusu vijana wa Tanganyika.
"Kwa ufupi huku mnakokuita bara kuna idadi kubwa ya wasomi wajinga"📌🔨JKU ni kivuli cha JKT
Utofauti ni kwamba jkt imemezwa na jwtz, sasa haina mamlaka ya kulipa mshahara wala kuajiri. Haina mtumishi hata mmoja. Huku JKU ina ajiri na ina mandate pana kuliko JKT.
Kwa ufupi huku mnakokuita bara kuna idadi kubwa ya wasomi wajinga.
Ajira za bara zote zinazohitaji sifa uwe na cheti cha jkt lazima waseme jkt au JKU na Mzanzibar akiomba anapata ila ajira za Zanzibar ukiwa na cheti cha JKT na si mkaazi wa kule huitwi hata kwenye usaili.
Watumishi wa JKU wote ni watu wa Zanzibar huku jkt kwa kivuli cha jwtz ina watumishi wakaazi wa Zanzibar.
Jkt ikitangaza nafasi za kujitolea vijana wa Zanzibar wanaruhusiwa kuomba ila JKU hairuhusu vijana wa Tanganyika.
Nalitamani sana hilo bandiko. Ningelipata leo ingependeza. Leo nina nafasi nzuri ya kulipitia kwa uhuru.Anaijua Huyu mtani wangu na alishaizungumzia kwenye bandiko lake fulani nimelisahau linalozungumzia kuhusu Katiba ya Zanzibar toleo la 2010 kuna Bandiko aliwah kuliandika alihoji vizuri sana..
Kama atawwza kututajia Tukalipitie niliwahi kulipitia zaman kidogo
CC: Pascal Mayalla
Idara zipi unazizungumzia KMKM,JKU Au chuo cha Mafunzo kupambana na Uhalifu (Polisi)?ndio maana IGP,MKUU WA MAJESHI,MAGERZA WAPO TANGANYIKA SASA UJIULIZE HIZO IDARA ZINATAMBUA KUWA NI NCHI AU MKOA
Mkoa unaweza kuwa na Katiba yake?tambua kuanzia polisi,jeshi na magereza znz inatambulika kama mkoa sio nchi kwenye hivyo vyombo.subiri ifike 2025 ujionee
Anza na hii comment kwanza nikutafutie hilo bandiko..Nalitamani sana hilo bandiko. Ningelipata leo ingependeza. Leo nina nafasi nzuri ya kulipitia kwa uhuru.
Akikujibu unitagMkoa wenye mamlaka kamili na Rais asiyeweza kuhojiwa na mamlaka yoyote Kulingana na Katiba ya Zanzibar ya mwaka 2010?