DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
Ongeza kuwa mkoa unaweza kuwa na Jaji mkuu, Mkoa unaweza kuwa na Mahakama kuu, Mkoa unaweza kuwa ana Bunge, Mkoa unaweza kuwa na Rais..Mkoa unaweza kuwa na Katiba yake?
Mkoa unaweza kuwa Rais wake?
Mkoa unaweza kuwa na wakuu wa mikoa na wilaya pia?
JKU ni zanzibar peke yake na Commander in Chief wa JKU ni Rais wa zanzibar na sio Rais wa Tanzania..Majeshi yote JWTZ, Magereza, polisi tuna share hakuna wa zanzibar wala wa bara na zanzibar kijeshi inatambulika kama mkoa
Nashukuru sana Dr! Ngoja niipitie.Anza na hii comment kwanza nikutafutie hilo bandiko..
CC: Pascal Mayalla
Je, unafahamu kuwa Katiba ya Zanzibar inaitambua Zanzibar kama Nchi huku Katiba ya Tanzania ikisema Tanzania ni Nchi Moja?
Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inasema katika Ibara ya 1 inaeleza wazi kuwa Tanzania ni Nchi Moja na ni Jamhuri ya Muungano. Katika Ibara ya 2 (1) Katiba hiyo inaeleza wazi kuwa eneo la Jamhuri ya Muungano ni eneo lote la Tanzania Bara na eneo lote la Tanzania Zanzibar. 1. Tanzania...www.jamiiforums.com
Taifa lipi hilo? Inamaanisha nchi na Taifa la Zanzibar?Idara zipi unazizungumzia KMKM,JKU Au chuo cha Mafunzo kupambana na Uhalifu (Polisi)?
Bhasi ngoja nikusaidie..
Idara nilizotaja zote zinamtambua Rais wa zanzibar kama Amiri jeshi wao Mkuu (Commander in Chief)..
Kwa mujibu wa Katiba ya Zanzibar Toleo la mwaka 2010..
Ibara ya 121 mpaka 123..
Jitahidi kuwa na uthibitisho katika kila unachokuamini kabla ya kuamini matamko na Akili yako..
Soma sura ya 10 ya katiba
View attachment 2891666
Sasa hiyo siyo JWTZ bro nafikiri unafahamu hiloJKU ni zanzibar peke yake na Commander in Chief wa JKU ni Rais wa zanzibar na sio Rais wa Tanzania..
Mkuu sijui unafahamu hicho?
Hakuna Mahala nimesema JWTZ na ndo maana nikakuuliza unazifahamu Idara maalumu..Sasa hiyo siyo JWTZ bro nafikiri unafahamu hilo
Ndyo Taifa la Nchi ya zanzibar mkuuTaifa lipi hilo? Inamaanisha nchi na Taifa la Zanzibar?
Nafikiri sijakataa hilo ila nimesema Jwtz,polisi na magereza hayo majeshi tuna share na zanzibar hayajagawanyishwa amri itakayo tolewa na Cdf itafatwa kote na amri itakayotolewa na IGP itafatwa na polisi wote command ni mojaHakuna Mahala nimesema JWTZ na ndo maana nikakuuliza unazifahamu Idara maalumu..
Ni majeshi yaliyo chini ya Zanzibar ambayo hayapo Tanganyika Mojawapo likiwa ni JKU
Magereza siyo ya muungano;bara tuna magereza yetu na Zenji wana yao(mafunzo).Majeshi yote JWTZ, Magereza, polisi tuna share hakuna wa zanzibar wala wa bara na zanzibar kijeshi inatambulika kama mkoa
Ila Amri lazima ipimwe kimamlaka Ikifika Zanzibar..Nafikiri sijakataa hilo ila nimesema Jwtz,polisi na magereza hayo majeshi tuna share na zanzibar hayajagawanyishwa amri itakayo tolewa na Cdf itafatwa kote na amri itakayotolewa na IGP itafatwa na polisi wote command ni moja
Nye ni koloni letu ndo maana ikifika uchaguzi tunaleta jeshi mkileta mdomo tunawatandika hasa uchaguzi ukiisha tunarudi zetu bara,ukifanyika tena mkileta mdomo tunawatandika mikwaju mkitulia tunarudi zetuIna kila kitu halafu iwe koloni letu? Labda kinyume chake ndiyo ingekuwa sahihi!
KunaKwaiyo ni km kule sudan kuna jeshi la serikal na kuna jeshi la raisi ambayo saiv wanagombea madalaka
So jku ni jeshi la zanzibar na linapokea amri toka kwa raisi wa zanzibar
Tunaomba utueleweshe vzr zaidi
Hao wote uliowataja ni viongozi vivuli ndo maana rais wa Zanzibar ni mjumbe wa baraza la mawaziri huko bara. Hawi rais.Ongeza kuwa mkoa unaweza kuwa na Jaji mkuu, Mkoa unaweza kuwa na Mahakama kuu, Mkoa unaweza kuwa ana Bunge, Mkoa unaweza kuwa na Rais..
Mkoa Una mihimili Mitatu yote kamilifu
Kamishna wa jwtz zanzibar ndo kitu gani hicho? Ni cheo kipya jeshini?Ila Amri lazima ipimwe kimamlaka Ikifika Zanzibar..
Kwa mujibu wa katiba lazma Kamishna Mkuu wa Jeshi la Jwtz Zanzibar Awasilishe amri hiyo kwa Rais wa zanzibar ili ionekane kama ina mantiki..
Unataka uthibitisho pia?..
Au hujui kuwa Siku ya Mapinduzi rais wa zanzibar huwa amri jeshi mkuu kwa Muda?
Na kingine kwenye Muungano kuna mambo ya Muungano na mambo yasiyo ya Muungano..
πππOngeza kuwa mkoa unaweza kuwa na Jaji mkuu, Mkoa unaweza kuwa na Mahakama kuu, Mkoa unaweza kuwa ana Bunge, Mkoa unaweza kuwa na Rais..
Mkoa Una mihimili Mitatu yote kamilifu
Hahah hapana mkuu Typo (Typing error) nilikuwa namaanisha IGP akitoa Oda kamishna wa Polisi zanzibar ππKamishna wa jwtz zanzibar ndo kitu gani hicho? Ni cheo kipya keshini?
Sawa mkuu ila hata huyo cammissioner wa polisi zanzibar taarifa zake anazituma kwa IGP anafata chain of command, kuhusu maelekezo wote wanapokea maelekezo kutoka kwa amir jeshi mkuu ambae ni rais wa JMTHahah hapana mkuu Typo (Typing error) nilikuwa namaanisha IGP akitoa Oda kamishna wa Polisi zanzibar ππ
Sema akili inawaza jeshi la polisi mkono unawaza Jwtz sorry
Your Reasoning Aint factual Mkuu!..Hao wote uliowataja ni viongozi vivuli ndo maana rais wa Zanzibar ni mjumbe wa baraza la mawaziri huko bara. Hawi rais.
Hapo ndo chanzo cha Maalim (RIP) kudai Zanzibar yenye mamlaka kamili.