Watumishi wa JKU wote ni watu wa Zanzibar huku jkt kwa kivuli cha jwtz ina watumishi wakaazi wa Zanzibar.
Jkt ikitangaza nafasi za kujitolea vijana wa Zanzibar wanaruhusiwa kuomba ila JKU hairuhusu vijana wa Tanganyika.
Pumzisha dukuduku lako juu ya Zanzibar. Binaadamu huwezi beba matatizo yote ya dunia au ya Zanzibar
Kila wakati utavurumisha uzi wa kinafiki kuhusu muungano.