asvptx
JF-Expert Member
- Jun 26, 2018
- 1,940
- 1,014
Masafa marefu kuelekea wapi?Angalia itafanya routes Mara ngapi maana ni mwezi mmoja tu Wa August, September inaanza masafa marefu, sidhani kama itafanya safari zaidi ya 3 au 4 kwa siku maana sababu kubwa ya kuanza na safari za ndani ni kuwajengea mazoea marubani wetu na hiki chombo kipya, ndio maana hata bei wameweka ndogo Sana kama 98,000 ivi.