Jnia ranked top in Africa for civil aviation safety

Angalia itafanya routes Mara ngapi maana ni mwezi mmoja tu Wa August, September inaanza masafa marefu, sidhani kama itafanya safari zaidi ya 3 au 4 kwa siku maana sababu kubwa ya kuanza na safari za ndani ni kuwajengea mazoea marubani wetu na hiki chombo kipya, ndio maana hata bei wameweka ndogo Sana kama 98,000 ivi.
Masafa marefu kuelekea wapi?
 
Loss na operation costs zitakuwa kubwa Yes.

It doesn't matter kama booking zimejaa au hazijaa Ndugu...

Hii ndege ni ya masafa marefu na inatakiwa unapoirusha angani WALAU at a minimum of 8hrs ndio ifanye next landing..

Lakini zaidi ni ndege ya kusafiri 14-18hrs non stop.

Sasa Dar-Knjaro kwa ndege hii ni 50min..ni kuua performance ya Ndege na kuongeza gharama za uendeshaji.
Ndege kuwa na uwezo wa kuruka masafa marefu haina maana ikiruka masafa mafupi ni hasara! Mfano kutoka London-Dublin ni umbali almost sawa na Dar- Kia ila midege inayo ruka hiyo route ni mikubwa na inauwezo wa masafa ya marefu. Mimi siyo mtaalamu wa haya mambo ila niki angalia jiografia ya ulaya makes me see umbali wa Dar-Mwanza siyo mdogo kama tunavyo aminishana.
 
Mkuu ile sio gari, rubani hawezi kupewa kurusha ndege flani kabla hajapata uzoefu na hiyo ndege. Safari hizo za ndani sababu zitakuwa nyingine sio kuwajengea mazoea marubani. Wasingekuwa na uzoefu wasingepita kwenye 'rating' ya kuruhusiwa kurusha hizo ndege hasa zikiwa na abiria hata 10 tu.
 
stop tellin' lies bro..!!
 
Simulator inafanya mambo yote ya training
 
Mkuu upo sawa sawa kabisa. Hiyo simulator ndio inakupa uzoefu sababu inafanana kila kitu na hiyo ndege husika. Na lazima ufikishe flying hours kadhaa kabla ya kupata leseni ya kurusha hiyo ndege.

NOTE: hufanana cockpit na controls zote.
 
Training huwa simulator halafu unarushwa kwa 787 kama co-pilot, unapata uzoefu wa kufanya mawasiliano ya radio na control tower pamoja na kuangalia weather radar. Ukifanya kama 2000hrs kama co-pilot upo sawa kuwa captain..
Ndege kuendesha ni kazi rahisi sana, autopilot computer inafanya kazi yote hata take off and landing.
 
Loss na operation costs zitakuwa kubwa Yes.

It doesn't matter kama booking zimejaa au hazijaa Ndugu...

Hii ndege ni ya masafa marefu na inatakiwa unapoirusha angani WALAU at a minimum of 8hrs ndio ifanye next landing..

Lakini zaidi ni ndege ya kusafiri 14-18hrs non stop.

Sasa Dar-Knjaro kwa ndege hii ni 50min..ni kuua performance ya Ndege na kuongeza gharama za uendeshaji.

Huo ni uongo mkubwa. Hamna ndege inayoanzia JNIA kwenda kokote inayoruka zaidi ya saa 12 non stop. LABDA KLM na ndege zingine za Ulaya ndiyo zinazoweza kwenda muda huo.
 
Training huwa simulator halafu unarushwa kwa 787 kama co-pilot, unapata uzoefu wa kufanya mawasiliano ya radio na control tower pamoja na kuangalia weather radar. Ukifanya kama 2000hrs kama co-pilot upo sawa kuwa captain..
Ndege kuendesha ni kazi rahisi sana, autopilot computer inafanya kazi yote hata take off and landing.
Hehehe... training ni kwa simulator lakini kuwasiliana kwenye radio na kuangalia weather radar unahitaji kurushwa?!! Hey!!! Chinekeee! Mh!
 
Hahahaha.... Don't I get entertained by this JF
 
TCAA ndo imetangaza badala ya ICAO... wakuu wa serikali hua wanapenda kuongeza chumvi wakati mwengine... hakuna airport inaishinda Kigali airport kwa usafi, usalama wa abiria, usalama wa ndege...etc...
 
Loss na operation costs zitakuwa kubwa Yes.

It doesn't matter kama booking zimejaa au hazijaa Ndugu...

Hii ndege ni ya masafa marefu na inatakiwa unapoirusha angani WALAU at a minimum of 8hrs ndio ifanye next landing..

Lakini zaidi ni ndege ya kusafiri 14-18hrs non stop.

Sasa Dar-Knjaro kwa ndege hii ni 50min..ni kuua performance ya Ndege na kuongeza gharama za uendeshaji.
Hii yote ni nani alikuambia?
Do you have any mechanical tactics to support this rubbish?

Eti sababu Ferrari ina uwezo wa kukimbia speed ya 260 in just a few seconds kwa hiyo kuendesha 80 kph ni hasara kwa gari?

We kweli kihiyo
 
Ndege kuwa na uwezo wa kuruka masafa marefu haina maana ikiruka masafa mafupi ni hasara! Mfano kutoka London-Dublin ni umbali almost sawa na Dar- Kia ila midege inayo ruka hiyo route ni mikubwa na inauwezo wa masafa ya marefu. Mimi siyo mtaalamu wa haya mambo ila niki angalia jiografia ya ulaya makes me see umbali wa Dar-Mwanza siyo mdogo kama tunavyo aminishana.

Hasara intaokea na minimum revenue per flight.
Dreamliner na ndege zingine kubwa ziko na recommended minimum revenue per flight ili ziwe profitable.

Obviously, safari za masafa marefu zina nauli ya juu, na ndio maana ndege kubwa hutumika tu kwa hizi safari.
Alternatively, kama mtalipisha wasafiri wa Dar - Kia nauli moja na wasafiri wa Dar - London, basi hapo hakuna shida. Lakini realistically that is impossible.
 
Back
Top Bottom