Wewe Nairobi hiko na slum mob. Slum is slum no matter is Kibera or notDar is slum watu zaidi ya 90% wanaishi makao duni na maisha ya chini sana, ya kubahatisha, (sub standard living) kwa ulimwengu wa sasa, wengi bado mpo kwa nyumba design ya 1970s. Sasa mtaanza kuimba kibera na Turkana ili kujiomboleza, Kibera's population is only around 200,000, hili baada ya kudhubitishwa iliwauma watanzania kadhaa humu jf. Shughulikia hali yenyu wacha mbwembwe za ki abunuasi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ni kichaa nairobl hiko na slum mob.slum is slum no mata is kibera or not
Sent using Jamii Forums mobile app
Rekebisha ni Kenya Airways si Air KenyaUchumi wa wanigeria ni wakipumbavu usilingnishe na tz hata siku moja labda uhufananishe na Kenya.ila kama uamini subiri kuanzia mwakani na kuendelea utakuja kukubali wewe mwenyewe .na kuhusu mambo ya ndege na viwànja vya ndege subiri ndege zetu kubwa Mbili zipo kiwandani zitakamilika mwakani ndiyo tutaanza rasmi kutawala anga la Africa wewe unadhani SA wamefanyia figisu ndege zetu bure ?
Ngoja tuanze kutua JKIA ndiyo utajua nguvu zetu lazima airkenya zichanganikiwe
NOTI MAYII WUUUUDIII
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwel kabsa ila watakuja kupinga hapa ngj dada Niki minaji aje[emoji23][emoji23]Uchumi wa Nigeria na Kenya ni sawa sawa na mwanamke mwenye mataako makubwa ila hana Akili ,ana waza wanaume waje wampatie hela Kwa sababu ya takoo wakati uchumi wa tz ni tofauti wa Nigeria karibu wote lagos 72% wanaishi Kwa slum mbovu sana ndiyo maana wanakimbia nchi yao na kuzagaa dunia nzima ,nikama Nairobi 68% wanaishi Kwa slum
Kenya na Nigeria ni nchi za kinyama kabisa viongozi awajali masikini kabisa ila wakenya shukuruni JF maana hizi Kenya vs Tanzania zinasaidia kuamsha hali ya kuondoa mapungufu na kushindana kimaendeleo Kwa pande zote Mbili za nchi
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilimaanisha sekta yote ya ndege Kenya hadi za binafsiRekebisha ni Kenya Airways si Air Kenya
Tukikuomba uthibitishe kwmb Dar is slum utaweza??Dar is slum watu zaidi ya 90% wanaishi makao duni na maisha ya chini sana, ya kubahatisha, (sub standard living) kwa ulimwengu wa sasa, wengi bado mpo kwa nyumba design ya 1970s. Sasa mtaanza kuimba kibera na Turkana ili kujiomboleza, Kibera's population is only around 200,000, hili baada ya kudhubitishwa iliwauma watanzania kadhaa humu jf. Shughulikia hali yenyu wacha mbwembwe za ki abunuasi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kitu tunachoenda kuifanya Kenya ni zaidi ya kuipiku .sasa tazama Nigeria imeipiku Kenya kiuchumi ila is nothing in katika maisha ya kawaida lagos ni kama Mombasa tuSiku 15 zimesalia tuone maajabu ya Tanzania kuipiku Kenya, ikizingatiwa kwa sasa uchumi wa Tanzania yote unatoshana na wa Nairobi pekee yake.
Then andika hivyo usirembe 🤣
Acha ubishi wa kijinga mfumo wenu wa kisiasa ni lazima uasababisha m ishi Kwa slumTafadhali kaka, nakusihi, tafuta aerial view ya Nairobi nzima, pia kuna Google earth, uangalie sehemu yenye hizo slums na size, kisha fanya utafiti dhabiti ya population ya hizo slums, na ujue watz wengi, waganda, Congolese na Waburundi, wenye wanajaribu kutafuta maisha Nairobi na wafanya biashara wamejazana kwa hizo slums. Juzi mtz na girlfriend yake walishikwa mukuru slums., katika msako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Pedestrian thinking! Ndio vile wewe unafikiri? usipojituma unakua fukara kama vile wengi wenyu mulivyo sasa hivi, wewe pia. In tz land policy iko tofauti. CCM inamiliki nchi nzima, wewe uko at their mercies. Serikali ina own kila kitu, wewe unakodisha kwa serikali ya ccmAcha ubishi wa kijinga mfumo wenu wa kisiasa ni lazima uasababisha m ishi Kwa slum
Kwa sababu mlifuata mfumo wa kibepali bila ya kudumisha haki matokeo yake ni unyama unyamani masikini hana chake ,hapa dar bado ukiwa na dola $500 unapata kiwanja cha m²300 hadi m²400
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo ujui misingi ya serikali ya kijamaa, serikali ya kijamaa ni Mali ya wananchi siyo kama Kenya serikali imegeuzwa kuwa Mali ya jubilii na familia ya Kenyatta mm najua kimaisha nimekuzidi sana tena sanaPedestrian thinking! Ndio vile wewe unafikiri? usipojituma unakua fukara kama vile wengi wenyu mulivyo sasa hivi, wewe pia. In tz land policy iko tofauti. CCM inamiliki nchi nzima, wewe uko at their mercies. Serikali ina own kila kitu, wewe unakodisha kwa serikali ya ccm
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo ujui misingi ya serikali ya kijamaa, serikali ya kijamaa ni Mali ya wananchi siyo kama Kenya serikali imegeuzwa kuwa Mali ya jubilii na familia ya Kenyatta mm najua kimaisha nimekuzidi sana tena sana
Sent using Jamii Forums mobile app
A poor mind arguing![emoji23][emoji23][emoji23] hivyo ndio mnadanganywa?., pole kaka facts and figures don't lie, kama ingekua kweli report ya extreme povert index haingeonyesha mnavyo vuta mkia EAC na SADC, kwa kuongoza kwa namba ya masikini wa kutupwa. LDC period! Sidanganyiki haswa na vigorofa vinne, ka bet, flyover moja na dreamliner., pole najua hali ya mtanzania wa kawaida! Umasikini umeongezeka kwa sasa tokea mwaka wa 2017!., what are those misplaced developments done???
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa uchumi wao unamilikiwa na wahindi na waarabu wasiozidi kumi.
Nishawahi kuwauliza hao wahindi ni raia wa nchi gani, hawajanipa jibu hadi leo hii.Sasa sibora sisi kuliko nyinyi hadi nchi mmeiuza nimali ya mzungu na mchina na waindi bora mngewaachia uchumi mkabaki na nchi yenu
Sent using Jamii Forums mobile app