JNIA vs JKIA tuliwaambia

JNIA vs JKIA tuliwaambia

Dar is slum watu zaidi ya 90% wanaishi makao duni na maisha ya chini sana, ya kubahatisha, (sub standard living) kwa ulimwengu wa sasa, wengi bado mpo kwa nyumba design ya 1970s. Sasa mtaanza kuimba kibera na Turkana ili kujiomboleza, Kibera's population is only around 200,000, hili baada ya kudhubitishwa iliwauma watanzania kadhaa humu jf. Shughulikia hali yenyu wacha mbwembwe za ki abunuasi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe Nairobi hiko na slum mob. Slum is slum no matter is Kibera or not

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Corruption is their undoing, same na your CCM govt, mambo wamewaficha kishenzi, wanawadangnya eti wanafanya maendeleo kwa pesa za ndani, (obvious propaganda), ilhali vyanzo vyenyu vya kutega uchumi haviwezi kutosheleza national budget ya nchi. Nikama mtu anakuambia anajenga nyumba yake kwa kasi akitumia pesa ya mshahara wake, ilhali kwa mfano kipato chake ni tuseme $500 kwa mwezi, mahitaji yake ya mwezi ni $850!., ina maana kushughulikia mahitaji ya mwezi lazima akope, ya kujenga nyumba anatoa wapi?., Tanzania's annual revenue collection inajulikana na national budget pia, wewe jiulize mbona ndege zenyu zinakamatwa kwa aibu vile!!, hakuna watu walumbavu wa kupumbazwa kama raiya wengi wa Tanzania, afadhali Nigeria ni viongozi wabaya lakini raiya wake wanajituma wako kila mahali, ata kwa biashara haramu utwapata. Lakini mitanzania ni kushabikia uzinduzi wa ghorofa yenye lift!!, mko chini sana!!!! lwiva,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tafadhali kaka, nakusihi, tafuta aerial view ya Nairobi nzima, pia kuna Google earth, uangalie sehemu yenye hizo slums na size, kisha fanya utafiti dhabiti ya population ya hizo slums, na ujue watz wengi, waganda, Congolese na Waburundi, wenye wanajaribu kutafuta maisha Nairobi na wafanya biashara wamejazana kwa hizo slums. Juzi mtz na girlfriend yake walishikwa mukuru slums., katika msako.
Wewe ni kichaa nairobl hiko na slum mob.slum is slum no mata is kibera or not

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uchumi wa wanigeria ni wakipumbavu usilingnishe na tz hata siku moja labda uhufananishe na Kenya.ila kama uamini subiri kuanzia mwakani na kuendelea utakuja kukubali wewe mwenyewe .na kuhusu mambo ya ndege na viwànja vya ndege subiri ndege zetu kubwa Mbili zipo kiwandani zitakamilika mwakani ndiyo tutaanza rasmi kutawala anga la Africa wewe unadhani SA wamefanyia figisu ndege zetu bure ?
Ngoja tuanze kutua JKIA ndiyo utajua nguvu zetu lazima airkenya zichanganikiwe
NOTI MAYII WUUUUDIII

Sent using Jamii Forums mobile app
Rekebisha ni Kenya Airways si Air Kenya
 
Yosef Festo, No sensiii inamaana serikali hii inapendwa sana na wazungu ndiyo maana inapatiwa Pesa nyingi kuliko Awamu zote zilizo pita? Kama siyo mbona awamu zilizo pita azikuweza kujenga miradi mikubwa na mingi kama awamu ya magufuli ? Tena magufuli wanawa shikisha adabu wazungu usiku na mchana na wanamtuhumu kuthibiti Uhuru wa habari na kisiasa sasa hela za kujenga miradi mingi watampaje ,hapo ndiyo ujue Tanzania we have power . na ukisema mchina ndiyo katusaidia ni uongo maana mchina katumbuliwa hadharani na mikataba yake ya kihuni ya bagamoyo .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uchumi wa Nigeria na Kenya ni sawa sawa na mwanamke mwenye mataako makubwa ila hana Akili ,ana waza wanaume waje wampatie hela Kwa sababu ya takoo wakati uchumi wa tz ni tofauti wa Nigeria karibu wote lagos 72% wanaishi Kwa slum mbovu sana ndiyo maana wanakimbia nchi yao na kuzagaa dunia nzima ,nikama Nairobi 68% wanaishi Kwa slum
Kenya na Nigeria ni nchi za kinyama kabisa viongozi awajali masikini kabisa ila wakenya shukuruni JF maana hizi Kenya vs Tanzania zinasaidia kuamsha hali ya kuondoa mapungufu na kushindana kimaendeleo Kwa pande zote Mbili za nchi

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwel kabsa ila watakuja kupinga hapa ngj dada Niki minaji aje[emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dar is slum watu zaidi ya 90% wanaishi makao duni na maisha ya chini sana, ya kubahatisha, (sub standard living) kwa ulimwengu wa sasa, wengi bado mpo kwa nyumba design ya 1970s. Sasa mtaanza kuimba kibera na Turkana ili kujiomboleza, Kibera's population is only around 200,000, hili baada ya kudhubitishwa iliwauma watanzania kadhaa humu jf. Shughulikia hali yenyu wacha mbwembwe za ki abunuasi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tukikuomba uthibitishe kwmb Dar is slum utaweza??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku 15 zimesalia tuone maajabu ya Tanzania kuipiku Kenya, ikizingatiwa kwa sasa uchumi wa Tanzania yote unatoshana na wa Nairobi pekee yake.
Kitu tunachoenda kuifanya Kenya ni zaidi ya kuipiku .sasa tazama Nigeria imeipiku Kenya kiuchumi ila is nothing in katika maisha ya kawaida lagos ni kama Mombasa tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tafadhali kaka, nakusihi, tafuta aerial view ya Nairobi nzima, pia kuna Google earth, uangalie sehemu yenye hizo slums na size, kisha fanya utafiti dhabiti ya population ya hizo slums, na ujue watz wengi, waganda, Congolese na Waburundi, wenye wanajaribu kutafuta maisha Nairobi na wafanya biashara wamejazana kwa hizo slums. Juzi mtz na girlfriend yake walishikwa mukuru slums., katika msako.

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha ubishi wa kijinga mfumo wenu wa kisiasa ni lazima uasababisha m ishi Kwa slum
Kwa sababu mlifuata mfumo wa kibepali bila ya kudumisha haki matokeo yake ni unyama unyamani masikini hana chake ,hapa dar bado ukiwa na dola $500 unapata kiwanja cha m²300 hadi m²400

Pedestrian thinking! Ndio vile wewe unafikiri? usipojituma unakua fukara kama vile wengi wenyu mulivyo sasa hivi, wewe pia. In tz land policy iko tofauti. CCM inamiliki nchi nzima, wewe uko at their mercies. Serikali ina own kila kitu, wewe unakodisha kwa serikali ya ccm

Tatizo ujui misingi ya serikali ya kijamaa, serikali ya kijamaa ni Mali ya wananchi siyo kama Kenya serikali imegeuzwa kuwa Mali ya jubilii na familia ya Kenyatta mm najua kimaisha nimekuzidi sana tena sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
A poor mind arguing![emoji23][emoji23][emoji23] hivyo ndio mnadanganywa?., pole kaka facts and figures don't lie, kama ingekua kweli report ya extreme povert index haingeonyesha mnavyo vuta mkia EAC na SADC, kwa kuongoza kwa namba ya masikini wa kutupwa. LDC period! Sidanganyiki haswa na vigorofa vinne, ka bet, flyover moja na dreamliner., pole najua hali ya mtanzania wa kawaida! Umasikini umeongezeka kwa sasa tokea mwaka wa 2017!., what are those misplaced developments done???

Hawa uchumi wao unamilikiwa na wahindi na waarabu wasiozidi kumi.
 
Back
Top Bottom