Lwiva
JF-Expert Member
- Apr 17, 2015
- 15,416
- 22,334
- Thread starter
- #21
Wewe Nairobi hiko na slum mob. Slum is slum no matter is Kibera or notDar is slum watu zaidi ya 90% wanaishi makao duni na maisha ya chini sana, ya kubahatisha, (sub standard living) kwa ulimwengu wa sasa, wengi bado mpo kwa nyumba design ya 1970s. Sasa mtaanza kuimba kibera na Turkana ili kujiomboleza, Kibera's population is only around 200,000, hili baada ya kudhubitishwa iliwauma watanzania kadhaa humu jf. Shughulikia hali yenyu wacha mbwembwe za ki abunuasi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app