JNIA vs JKIA tuliwaambia

Slum dweller, maisha yako duni na uwezo mdogo hauwezi kua kigezo cha kupima maisha ya Kenya, peleka pedestrian thinking ldc. New York ina slums, mimi nukienda kule na kwa uwezo wangu niweze kuishi kwa hizo sehemu duni siwezi conclude maisha ya wamerekani ni duni. Wewe ni masikini, hauna uwezo wa kadri.
Mimi nimekaa nairobi maisha ya kule mabaya sana,bora TZ asee


Sent from my iPhone using JamiiForums

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yosef Festo,
Vijana wa Tandale na uchwara utadhani hata wametoka nje ya wilaya yao kumbe ngoo,,,,,Mdanganyika hata atakuambia amefika Mwezini ,,,,Sijui aliyewaroga alifia wapi tutafute kaburi
 
Yosef Festo,

kwa jinsi ulivyokuwa na kichwa box eti unacomplain ishu za Tanzania kununua ndege kwa pesa za ndani[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji6][emoji6]

Tanzania ina watu wangapi...?,,na izo ndege ni kiasi gani ..?....
hebu wacha upuuzi wa kitoto unajihaibisha Tz ina vyanzo vya mapato vingi tu kila kitu ni usimamizi bora hata nyie mkijisimamia vizuri mnauwezo wa kutenga fungu na kuongeza ndege moja ama miradi kadhaa kila mwaka..


acha umama na ufala wa kutoa pumba za kitoto[emoji28][emoji2][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
vijana wa Tandale na uchwara utadhani hata wametoka nje ya wilaya yao kumbe ngoo,,,,,Mdanganyika hata atakuambia amefika Mwezini ,,,,Sijui aliyewaroga alifia wapi tutafute kaburi
Huko Kenya nimeishi sana Nairobi Maisha ni magumu sana citizens hawathaminiki kabsa labda tajiri tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huko Kenya nimeishi sana Nairobi Maisha ni magumu sana citizens hawathaminiki kabsa labda tajiri tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Maisha kulingana na mfuko wako,ulifikiria nairobi ni km dar una dunda kita halafu mida yake unaenda kula kw shemeji..

Nai ni mji tofauti sana EA, kila mtu na hamsini zake jamaa wako busy na maisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo ya mwakani aina shaka wewe subiri kukili Kwa kinywa chako mwakani utakuwa mwaka mgumu sana Kwa majirani wote wa tz sasa sana mnaojua kiswahili maana mtajua kila kinachoendelea tz ,kagame mwenyewe mlisema tunajifunza kwake ila hata yeye kajua magufuli ni namba chafu sifa za kagame zinamezwa na magufuli kirahisi kabisa ,hiyo video inaonyesha eneo lililo sababisha dar kuitwa fishing village zamani sana chanzo ni ilo eneo ,lione lilivyo jengeka kazi nzuri za wavuvi kujiletea maendeleo
Tusubiri mwakani bana

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli kabisa lwiva kabla ya Magu apa EA aliekuwa anapewa cfa ni kagame ss leo EA nzma ni genius Magu tu anashangaza watu
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani wewe unaijua Tanzania kuliko watanzania wenyewe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…