joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Wewe unawakilisha akili za wakenya wengi, sikulaumu kutokana na uwezo wako mdogo wa akili.Hao 2% hawana familia..akili zako huaga zipo zipo tu walai...
Baba akilipwa ksh400,000 per month unafikiria hzo zitakua ni za kwake tu....
Ukumbuke ana wazazi, mke pamoja na watoto na wote watakua wananufaika kutokana na huo mshahara wake...
Elimu mhimu jamaaa...[emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi kampuni lako au biashara yako ikiwa na wafanyakazi kumi, utasema umeajiri wakenya kumi au utasema imeajiri wakenya kumi pamoja baba zao, watoto wao na wake zao?.
Tunaposema KDF imeajiri wakenya elfu 30, au Wizara ya Afya imeajiri madaktari Elfu 10, kwanini huzungumzii familia zao, acha ujinga?
Sent using Jamii Forums mobile app