komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
Tuletee source basi...Hahahaha, maumivu makubwa sana, mumeshindwa katika vigezo vya 1)Biggest, 2)Modern, 3)Beautiful, 4)Technologically advanced Airport, mambo ambayo mlikua mkiringa sana kabla ya kujenga hii terminal 3, sasa mnabadilisha vigezo.
Sikiliza wewe kichaa, ukubwa na uzuri wa wa Nyumba, uwanja wa michezo, gari au ndege, haupimwi kwa wingi wa watu wanaoishi au kutumia hilo gari, au kiwango cha pesa kinachopatikana.
Kasarani na Tanzania National Stadium, haxilinganishwi kutokana na mapato au watu wanaoingia kwa mwaka, Bali vinalinganishwa kwa " Capacity, technology, and beauty ", hata visipotumika kabisa, lakini capacity zao zinajulikana, acha kutapatapa haitokusaidia, kubaliana na ukweli, JNIA is more superior than JKIA kwa sasa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app