JNIA vs JKIA tuliwaambia

JNIA vs JKIA tuliwaambia

Heheheeee!!hta nakuonea huruma[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Vitu kw groun ni different buda...

Leta mishahara ya walimu, madakatari, polisi, before tuendelee

Sent using Jamii Forums mobile app

Kwa Walimu wa shule binafsi, Mwalimu mwenye shahada hapa Tanzania analipwa kuanzia $700-2000$ onwards depending on the poaition and experience,
Those employed by the Government they start from 450$
Teachers are the ones with lower wages as compared to all other Government Employees,
Forexample, the Junior Medical officer starts from 1000$ and a senior super specialist gets up to 3000-5000$ plus benefits depending on the Position and Experience,
Polisi wengi hawana Elimu, their wages starts from 350$ onwards depending on the tittle but they are all eligible to allowances starting from 150$ during the middle of every month,
Those employed in public corporates like NHIF, TRA,NSSF, TPDC, TTCL, POSTA, TPA, TANAPA etc are the mostly paid as compared to all other Government employees.
 
Wanabiashara, watu wa kujituma, sasa vile mko wengi Kampala inamaana Uganda ni big shot EAC?, akili yako finyu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],
Uganda has high population ya Africans, Nigerians wamejaa, Tanzanians, Ethiopians, sasa Wasomali na Sudanese wanetiririka kwa wingi., wewe na hiyo akili ya kishamba utasemaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekuambia onyesha ni nchi gani hapa Africa ambayo wakenya wameanzisha "Diaspora group". Hii ni dalili kwamba Tanzania ni muhimu sana kwa wakenya " next to Europe and USA".

Tanzania ni nchi pekee hapa duniani ambayo Kenya imeanzisha makampuni Mengi zaidi. Hakuna nchi yoyote ile hapa duniani ambayo kuna zaidi ya makampuni 300 ya wakenya, " Tanzania hosts more than 500 Kenyans companies ". Bila Tanzania uchumi wa Kenya lazima utasambaratika kwa kasi zaidi ya sasa hivi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Endelea kujitekenya kisha hakikisha unacheka mwenyewe.
Nimekuambia onyesha ni nchi gani hapa Africa ambayo wakenya wameanzisha "Diaspora group". Hii ni dalili kwamba Tanzania ni muhimu sana kwa wakenya " next to Europe and USA".

Tanzania ni nchi pekee hapa duniani ambayo Kenya imeanzisha makampuni Mengi zaidi. Hakuna nchi yoyote ile hapa duniani ambayo kuna zaidi ya makampuni 300 ya wakenya, " Tanzania hosts more than 500 Kenyans companies ". Bila Tanzania uchumi wa Kenya lazima utasambaratika kwa kasi zaidi ya sasa hivi.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Does it mean by U.S. companies investing in China sasa USA inategemea China?, it's called business, relationship can be either symbiotic or parasitic, no in between. How many investments does Tz have outside its borders?

China kwa sasa ni muhimu zaidi kwa USA kuliko nchi yoyote ile duniani, Makampuni Mengi ya USA yameenda kuwekeza huko China kiasi cha kusababisha uchumi wa USA kuyumba kutokana na upungufu wa ajira kwa wamarekani wengi baada ya ajira nyingi kuoelekwa uchina.

Trump alianzisha vita vya kibiashara na uchina, na kuanzisha Sera mahususi ili kupunguza wimbi la makampuni ya USA kwenda kuwekeza China, badala yake kuyadhaeishi kuwekeza nchini mwao.

Hiki ndicho kinachotokea kati ya Kenya na Tanzania, kutokana na gharama za uzalishaji Kenya kuwa juu ukilinganisha na Tanzania, wawekezaji wengi wanakuja kuwekeza Tanzania. Kama Kenya hatoshituka mapema na kuzuia kwa kuweka Sera nzuri, uchumi wenu utaendelea kuzorota na tatizo la ajira litaongezeka zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lie, Kenya isn’t even in Top 10 of the countries that pay well in Africa,
Tanzanian employees earn more than Kenyan Employees.

Go sing that to the birds. Tanzania with an average monthly salary of $422. 😂😂😂 Does your slow brain even believe that?
That would give you a GDP per capita of $5064.

Wewe na mwandishi wa hio list ni kichaa. And he's most likely from an LDC like yours.
Stick to your $900 gdp per capita.
You have at least 50 years before you get to $5000.
 
Mumekua wengi huku Tanzania hadi mumeamua kuanzisha umoja wenu wa "Kenyans Diaspora in Tanzania", hiyo ni kuonyesha kwamba Tanzania ni baba lao hapa EAC. Onyesha ni nchi gani zingine hapa Africa ambayo kuna chama cha wakenya kama hiki?, hahahaha, hahahaha.

Sent using Jamii Forums mobile app

Mumekua wengi huku Tanzania hadi mumeamua kuanzisha umoja wenu wa "Kenyans Diaspora in Tanzania", hiyo ni kuonyesha kwamba Tanzania ni baba lao hapa EAC. Onyesha ni nchi gani zingine hapa Africa ambayo kuna chama cha wakenya kama hiki?, hahahaha, hahahaha.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii hapa ni KEDASA a Kenyan community in South Africa, lakini ushamba unakupa upofu! Shirikisha ubongo wakati mwingine!
 
Nilitegemea South Africa kwasababu ya mazingira ya Uchumi wao, South Afrika ni muhimu sana kwa Kenya, kama ilivyo Tanzania muhimu kwa Kenya. Taja nchi zingine za Afrika ukiacha South Afrika na Tanzania

Sent using Jamii Forums mobile app
Ulisema utajiwe nchi nyingine iliyoko Afrika? Sasa umeanza kutapatapa sio?
Hii hapa nyingine tangia 2006 nchi ya Ethiopia.
 
Wananchi club, na Registered Diaspora Organization" ni vitu viwili tofauti. Kumbuka kwamba Tanzania ni miongoni mwa nchi chache sana hapa Afrika ambapo wakenya waliweza kujiandikisha na kupiga kura wakati wa uchaguzi.

Hii inathibitisha umuhimu wa Tanzania kwa Kenya. Ninarudia tena, Tanzania ni nchi pekee hapa duniani ambayo wakenya wamefungua makampuni Mengi kuliko nchi yoyote dunia nzima.

Umuhimu wa Tanzania kwa Kenya, ni kama umuhimu wa China kwa USA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa Walimu wa shule binafsi, Mwalimu mwenye shahada hapa Tanzania analipwa kuanzia $700-2000$ onwards depending on the poaition and experience,
Those employed by the Government they start from 450$
Teachers are the ones with lower wages as compared to all other Government Employees,
Forexample, the Junior Medical officer starts from 1000$ and a senior super specialist gets up to 3000-5000$ plus benefits depending on the Position and Experience,
Polisi wengi hawana Elimu, their wages starts from 350$ onwards depending on the tittle but they are all eligible to allowances starting from 150$ during the middle of every month,
Those employed in public corporates like NHIF, TRA,NSSF, TPDC, TTCL, POSTA, TPA, TANAPA etc are the mostly paid as compared to all other Government employees.
Heheee!!mbna unaogopa kuleta za walimu wenye daraja la chini...manake ukienda hko kw shahada na private schools hutopaweza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
China kwa sasa ni muhimu zaidi kwa USA kuliko nchi yoyote ile duniani, Makampuni Mengi ya USA yameenda kuwekeza huko China kiasi cha kusababisha uchumi wa USA kuyumba kutokana na upungufu wa ajira kwa wamarekani wengi baada ya ajira nyingi kuoelekwa uchina.

Trump alianzisha vita vya kibiashara na uchina, na kuanzisha Sera mahususi ili kupunguza wimbi la makampuni ya USA kwenda kuwekeza China, badala yake kuyadhaeishi kuwekeza nchini mwao.

Hiki ndicho kinachotokea kati ya Kenya na Tanzania, kutokana na gharama za uzalishaji Kenya kuwa juu ukilinganisha na Tanzania, wawekezaji wengi wanakuja kuwekeza Tanzania. Kama Kenya hatoshituka mapema na kuzuia kwa kuweka Sera nzuri, uchumi wenu utaendelea kuzorota na tatizo la ajira litaongezeka zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Story za vijiweni tamu kwel...mpka nacheka mwenyewe walai, sasa yani hyo insha yote umeitoa ubongoni mwako bila ya hta strong evidence

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuletee wewe km jnia ni namba ngapi afrika kw u superiority[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nasubiria jomba, manake naona umejiingiza mkenge

Sent using Jamii Forums mobile app
Ofcz hapa hatubshani u superiority wa jnia in Africa jpo ni ukweli ucohitaj proof yyte kwmb ni moja kati ya viwanja bora kabsa africa ila hapa tunaangalia jnia vs jkia we huoni kwamba hii ni wrong comparison? Hv ata km we ni mzalendo wa namna gn ndo kusema ubora wa jnia terminal 3 unaeza lingansha na jkia kwel [emoji23][emoji23][emoji23]tuwe serious ata kdg bc wakuu

What makes an airport great

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Story za vijiweni tamu kwel...mpka nacheka mwenyewe walai, sasa yani hyo insha yote umeitoa ubongoni mwako bila ya hta strong evidence

Sent using Jamii Forums mobile app
Kaa ufatilie mambo.CHINA NI BABA WA USA KWA SASA USIKALIE KUKESHA JF TU.NA KTK KILA TRADE WAR USA ANASHINDWA MBELE YA CHINA HV HAUJUI HADI IPHONE IMESHUSHWA MAUZO NA KAMPUNI ZA CHINA? KM HAUJUI SEMA HAUCHINJWI.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom