Bas kaka point yangu ni hapo tu mm sizungumzii siasa nazungumzia uhalisia unaotokea ambao watu ulimwenguni wanauona pia .Trump ni adui wa maendeleo, na kwa mbinu zake zote anazozitumia makampuni mengi yakaanza kumpinga kw sera mbovu za kiuchumi alizokua nazo...
Jamaa mitaani waliamua kuingia barabarani ikashindikana, sera zake yeye sana zinaegemea kw mambo ya kibabe...
Sasa waache walione jote lake, kw sababu kila mtu hufanya kitu kw sababu zake za msingi...
Anajua anachokifanya na ywajua pia km ywalenga nn, sasa wewe uko ldc umefanya kusoma habari za hko mitandaoni ndio unajiona sasa unajua kila kitu mpka unajitia uwalimu...
Sasa wacha nikwambie hivi, mimi labda mtu anifunze maisha na mambo mengine ya msingi wala sio siasa...
Siasa siku zote hazina ukwel, ukwel uutoe wapi wakati wanaojua ni wale wale wanasiasa
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila nashukuru kwa kulielewa hilo.
Sent using Jamii Forums mobile app