JNIA vs JKIA tuliwaambia

Bas kaka point yangu ni hapo tu mm sizungumzii siasa nazungumzia uhalisia unaotokea ambao watu ulimwenguni wanauona pia .
Ila nashukuru kwa kulielewa hilo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
WAJINGA NYINYI

Sent using Jamii Forums mobile app
 

The Tanzania's Land Policy (Full HD Policy) is among the best policies in the world. We have the equitable access to land for all. No land grabbing like in your primitive capitalist economy Kenya.
 
Bado siku 16 ujue.
Wakeii niambieni zimebaki siku ngapi kufika mwakani ? Mwakani mtajua kwanini king kaka wawaiteni wajinga nyinyi na ajakamatwa anadunda tu hapo slum ,sababu ya kutokukamatwa king kaka ni Tanzania yule mama mkikuyu aliye sema atamuonyesha Kwa kumshitaki kanywea sababu unaijua ?? Acha nikudokeze Uhuru K na jubilii walimzuia Kwa siri huyu mama wakimwambia wakenya wamevunjika moyo sababu ya yanayo yasikia tz na yanayo endelea tz .hivyo kumgusa king kaka kutawasha moto Kenya nzima ,mmama akanywea ,na nikweli moto ungewaka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cheki hii kitu matata jayanti ingekuwa Kenya yangetoka kama majengo mawili na nusu maana gorofa zenu ni nyembamba base yake View attachment 1299206

Sent using Jamii Forums mobile app

Haya mavitu mbona yametuchosha kwa wingi hapa, nyie ndio msheherekee kila mkiamsha kimoja maana hamjayazoea, kila siku mnapiga picha ya majengo matatu yale ya pale bandarini,
Mpo bado sana nyie, nchi yote mlisherekea kuzindua flyover ya kwanza mliyopewa msaada na Mjapani, sisi flyover nyingi sana zimetuchosha, tunajenga barabara ya juu itakayokatiza mjini.
 
Mitanzania kweli yanatia raha! Wale wanasoma University of Eldoret wame tii! Outside Dar no town is comparable to Eldy development wise na standards of living, you know guys huku have deep pockets, especially kales. I read arguments here based on what they have googled about Kenya nacheka sana., nchi yao yote is almost equal to Nairobi's GDP! How can you even compare???? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
I like Tanzabians, jamiiforums is a place to relax and have fun.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wasichoelewa wengi ni kuwa uwezo wa Tz kutekeleza miradi mikubwa kwa pesa yake yenyewe unaongezeka, tena kwa kasi ya ajabu. Tofauti na ilivyokuwa siku za nyuma (kwa nchi nyingine kama Kenya ni mpaka sasa) ambapo miradi mikubwa sharti iwe financed na hao wanaoitwa wafadhili.

Hiyo jeuri ndiyo ilimfanya mchina atumbuliwe kwenye Tz SGR, Bagamoyo Port, na Mchuchuma. Wazungu pia wameisoma namba kupitia Barrick/acacia na mradi wa gesi LNG. Sasa Tz sio shamba la bibi tena uikopeshe kwa masharti ambayo ni "mwendawazimu" pekee angekubali.

That way tunapata value for our money kwenye miradi yetu. Pia financing zinakuwa na mutual benefits kwa wote. Come 10 years, kwa pace hii kuna watu watabaki midomo wazi.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
nairobi mna flyover[emoji23][emoji23][emoji23].
 
Uwezo gani????, jua nchi yako kikamilifu Sio kuoutia reports za media, Tanzania haina uwezo wa kufadhili miradi mikubwa kabisaa! We know your revenue collection annually and your national budget. Vyanzo vyenyu vya kutega uchumi havitoshi kufinance national budget 100%, kilaza pekee kama wewe ndio ata amini propaganda za CCM.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chuki za wazi wazi ila namba mnaisoma mdg mdg [emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…